-
Idadi ya watu duniani yapindukia bilioni 8 huku idadi ya wanaozeeka ikiongezeka
Idadi ya watu duniani wenye umri wa miaka 65 na zaidi imeongezeka karibu mara mbili huku hali hii ikitazamiwa kuendelea. Idadi ya watu duniai inazidi kuongezeka katika pembe mbalimbali na tayari imepindukia watu bilioni 8.
-
Rais wa Bolivia: Mapambano ya Wapalestina ni ya kupigania kurejesha ardhi yao
Rais wa Bolivia amesema kuwa, mapambano ya Wapalestina dhidi ya utawala wa Kizayuni kutaka kurejesha ardhi zao zilizoporwa ni haki ya taifa la Palestina.
-
Trump amwalika tena Biden kufanya mdahalo mwingine wiki hii
Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump amemwalika mpinzani wake katika uchaguzi, Rais aliyeko madarakani Joe Biden, kufanya mdahalo mwingine wiki hii kama fursa ya "kujiokoa" baada ya utendaji mbaya wa hivi majuzi aliounyesha katika mdahalo huo.
-
White House yakanusha madai kwamba Biden anatibiwa ugonjwa wa Parkinson
Ikulu ya Rais wa Marekani, White House, imekanusha kuwa Rais Joe Biden wa nchi hiyo anatibiwa ugonjwa wa Parkinson baada ya kitabu cha kumbukumbu za wageni kuonyesha kuwa daktari bingwa wa neva aliitembelea White House mara nane katika miezi ya karibuni.
-
Ripoti katika picha | Marasimu ya maombolezo ya Usiku wa kwanza wa Muharram katika jimbo la California, Marekani
Kwa mujibu wa ripoti ya Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt(a.s) - ABNA - hafla ya maombolezo ya usiku wa kwanza wa Muharram ilifanyika katika Kituo cha Kiislamu cha Imam Hussein (a.s) katika mji wa "Bell" katika jimbo la "California" nchini Marekani, ambapo wafuasi wengi wa Madhehebu ya Shia walihudhuria kwa wingi.
-
Rais wa Marekani alikoroga tena; asema: Naona fahari kuwa mwanamke mweusi
Rais Joe Biden wa Marekani kwa mara nyingine tena ameboronga katika uzungumzaji na kuonyesha udhaifu wa kiakili, baada ya kudai kuwa yeye ni mwanamke mweusi.
-
Kukiri kushindwa sera za Biden mkabala wa vita vya Gaza
Maafisa 12 wa serikali ya Marekani ambao wamejiuzulu nyadhifa zao wakipinga na kulalamikia vita dhidi ya Gaza wamesisitiza katika taarifa yao kuwa sera za Rais Joe Biden wa Marekan mkabala wa Gaza zimefeli, na kutahadharisha kuwa kufeli kisiasa Washington mkabala wa Gaza ni tishio kwa usalama wa taifa wa Marekani.
-
Maafisa wa Marekani waliojiuzulu wakiri kushindwa siasa za Washington kuhusu Gaza
Maafisa 12 waliojiuzulu wa serikali ya Marekani wamekiri kushindwa siasa za Rais Joe Biden wa Marekani kuhusu Ukanda wa Gaza.
-
Vikwazo, dhulma na jinai: Mhimili wa haki za binadamu wa Marekani dhidi ya taifa la Iran
Ali Bagheri Kani, Kaimu Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran amesema ukiukaji wa haki za watu wa Iran vikiwemo vikwazo vya kidhalimu dhidi yao, ndio msingi wa haki za binadamu wa Marekani.
-
Chile yajiunga na malalamiko ya Afrika Kusini dhidi ya utawala wa Kizayuni
Chile imetangaza kujiunga kwenye kesi ya Afrika Kusini dhidi ya utawala wa Kizayuni kwa kufanya jinai ya mauaji ya halaiki katika Ukanda wa Gaza.
-
New York Times, Gazeti la kwanza la Marekani kumtaka Biden ajiondoe katika uchaguzi wa rais 2024
Gazeti la New York Times limekuwa gazeti la kwanza la Marekani kumtaka rais aliyeko madarakani, Joe Biden, kujiondoa kwenye kinyang'anyiro cha uchaguzi wa urais wa 2024 kufuatia utendaji dhaifu katika mdahalo dhidi ya rais wa zamani wa nchi hiyo, Donald Trump siku chache zilizopita.
-
Watu 6 wauawa katika ufyatuaji risasi Las Vegas, Marekani
Takriban watu 6 wameuawa kwa kupigwa risasi huko Las Vegas, Nevada, huko Marekani akiwemo mshukiwa.
-
Wataalamu wa UN: Wauzaji silaha kwa Israel wanashiriki katika ukiukaji wa haki za binadamu
Kundi la wataalamu wa Umoja wa Mataifa limewaonya watengenezaji wa silaha na zana za kivita kuhusu kupeleka silaha kwa utawala ghasibu wa Israel na kutangaza kuwa, wanaofanya hivyo ni washirika wa utawala wa Kizayuni katika kukiuka haki za binadamu na sheria za kimataifa.
-
Rais wa Brazil alaani jinai za utawala wa Kizayuni Israel Gaza
Rais Luiz Inacio Lula da Silva wa Brazil amesema kuwa, haki ya kujihami inayodaiwa na utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukanda wa Gaza imegeuka na kuwa haki ya kulipiza kisasi katika kivuli cha ukiukwaji wa kila siku wa sheria na haki binadamu.
-
Polisi Argentina wakabiliana na waandamanaji wanaopinga mageuzi
Mamia ya polisi wa kutuliza fujo nchini Argentina wametumia mabomu ya machozi na maji ya kuwasha kuwatawanya waandamanaji wenye hasira katika mji mkuu wa nchi hiyo, Buenos Aires.
-
Mtoto wa rais wa Marekani Joe Biden apatikana na hatia kwenye kesi tatu
Mtoto wa rais wa Marekani amepatikana na hatia katika kesi zote tatu zilizokuwa zinamkabili ikiwa ni pamoja na uhalifu wa kununua silaha wakati akiwa mtumiaji wa dawa za kulevya.
-
Ripoti: Ukatili dhidi ya watoto katika maeneo ya vita uliongezeka sana 2023
Vitendo vya ukatili dhidi ya watoto viliripotiwa kuongezeka sana mwaka jana (2023) katika maeneo yanayoshuhudia vita na mapigano.
-
Wanachama wa BRICS wasisitiza kuundwa sarafu moja ya kidijitali
Katika Kongamano la 27 la Kimataifa la Kiuchumi la Saint Petersburg nchini Russia, nchi wanachama wa BRICS zimetangaza tena utayari wa kutekeleza kivitendo hatua ya kuunda sarafu moja ya kidijitali.
-
Baraza la Wawakilishi la Marekani lakabiliana na Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC
Kufuatia ombi la mwendesha mashtaka wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) la kutoa kibali cha kukamatwa viongozi wa utawala haramu wa Israel, Baraza la Wawakilishi la Marekani mnamo Jumanne, Juni 4, liliidhinisha mpango wa kuiwekea vikwazo mahakama hiyo ikiwa ni katika kuitetea Tel Aviv kwa hali na mali.
-
Katibu Mkuu wa UN: Lengo la kudhibiti ongezeko la joto duniani 'linaning’inia'
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres ametahadharisha kuhusu hatari ya wazi ya uwezekano wa kutokea ongezeko la joto juu ya nyuzijoto 1.5 za selsiasi linaloukabili ulimwengu ikiwa uzalishaji wa hewa chafuzi utaendelea kwa viwango vya sasa.
-
Polisi wa US wakamata waandamanaji 70 baada ya kuvamia ubalozi wa Israel, San Fransisco
Polisi wa Marekani katika mji wa San Fransisco wamewakamata waandamanaji wapatao 70 wanaotetea na kuunga mkono Palestina baada ya kuingia kwenye ukumbi wa ubalozi mdogo wa utawala wa Kizayuni wa Israel ulioko kwenye mji huo.
-
Sanders: Inasikitisha kuona Netanyahu anaalikwa kuhutubia Kongresi ya US
Seneta wa jimbo la Vermont nchini Marekani amewakosoa vikali viongozi wa Kongresi ya nchi hiyo kwa kumualika 'mtenda jinai' Waziri Mkuu wa utawala wa Israel, Benjamin Netanyahu kuhutubia kikao cha pamoja cha Baraza la Wawakilishi na Baraza la Seneti la Marekani.
-
Hizbullah ya Lebanon yadungua ndege isiyo na rubani ya utawala wa Kizayuni
Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Lebanon Hizbullah imeidungua ndege isiyo na rubani ya jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel ndani ya anga ya Lebanon.
-
Maandamano ya kutaka kusitishwa 'jinai za kivita' Gaza yaendelea kufanyika Ulaya na Asia
Maandamano ya kulaani mauaji ya halaiki yanayofanywa na jeshi la uutawala haramu wa Israel huko Gaza yanaendelea kushuuhudiwa katika mataifa mbalimbali barani Ulaya na Asia.
-
Mbunge wa Marekani: Biden ni punguani, hana akili timamu
Wawakilishi wawili wa Marekani wamekosoa vikali uamuzi wa Joe Biden wa kuondoa vikwazo kwa Kiev vya kutumia silaha za Marekani kushambulia ardhi ya Russia.
-
Biden atangaza mpango wa kukomesha vita Ghaza, Netanyahu asisitiza vita vitaendelea
Ofisi ya waziri mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel Benjamin Netanyahu imesisitiza juu ya nia ya serikali ya Netanyahu ya kuendeleza mashambulizi ya kinyama dhidi ya Ukanda wa Ghaza hadi itakapohakikisha malengo yote ya vita ya Tel Aviv yamefikiwa.
-
Trump, Rais wa zamani wa Marekani apatikana na hatia ya makosa ya jinai
Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump amepatikana na hatia katika makossa 34 ya jinai katika kesi ya kihistoria ambayo huenda ikatikisa kampeni za uchaguzi wa rais mwaka huu wa 2024 nchini humo.
-
Katibu Mkuu wa UN ashiriki kikao cha kumunezi hayati Raisi katika Baraza Kuu
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amepongeza ufahamu wa kisiasa wa hayati Ebrahim Raisi wakati wa kikao kilichofanyika katika Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kumuenzi rais huyo wa Iran aliyekufa shahidi katika ajali ya helikopta akiwa a wenzake kadhaa.
-
Rais wa Cuba: Shambulio la Israel dhidi ya Rafah ni jinai kubwa dhidi ya ubinadamu
Rais wa Cuba ameulaani utawala wa Kizayuni kwa kuishambulia kwa mabomu kambi ya wakimbizi wa Kipalestina katika mji wa Rafah wa Ukanda wa Gaza, na kutaka kuchukuliwa hatua za kimataifa ili kuzima mashambulizi ya utawala huo ghasibu.
-
Rais wa Venezuela: Marekani na EU zinanyamazia kimya jinai za Kinazi za Israel huko Gaza
Rais wa Venezuela amezilaani Marekani na Umoja wa Ulaya kwa kutofanya lolote kukomesha mauaji "ya kutisha" ya Israel dhidi ya Wapalestina.