ABNA swahili
  • HABARI KAMILI
  • HABARI MUHIMU
  • Iran
  • ASIA
  • ULAYA
  • AMERIKA
  • AFRIKA
  • PICHA
  • MAKALA
العربية English فارسی Türkçe اردو Español bahasa Indonesia हिन्दी français 汉语 русский Deutsch Melayu Hausa বাংলা Азәрбајҹан Азәрбајҹан әлифбасы Kiswahili မြန်မာဘာသာ bosanski português سورانی 日本語 Kurmancî Pilipinas Тоҷик italiano 한국어
×
filterHabari za leo
  • Mwenyekiti wa JMAT-TAIFA Ashiriki Harusi ya Mtoto wa Rais wa Zanzibar +Picha

    Mwenyekiti wa JMAT-TAIFA Ashiriki Harusi ya Mtoto wa Rais wa Zanzibar +Picha

    Aidha, Sheikh Dkt.Alhad Mussa Salum, ametumia fursa hiyo kutoa pongezi kwa niaba ya JMAT na ambapo alisema: "Jumuiya ya Maridhiano na Amani Tanzania (JMAT-TAIFA) inatoa pongezi za dhati kwa familia ya Mheshimiwa Rais wa Zanzibar na kuwaombea wanandoa wapya maisha yenye upendo, baraka na amani ya kudumu".

    2025-08-19 08:23
  • Mwitikio wa Al-Azhar kwa Udanganyifu wa Kuundwa kwa "Israeli Kubwa"

    Mwitikio wa Al-Azhar kwa Udanganyifu wa Kuundwa kwa "Israeli Kubwa"

    Taasisi ya Al-Azhar ya Misri imelaani matamko ya Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni kuhusu "Israeli Kubwa" na kuelezea maneno hayo kama "udanganyifu" na "hotuba za uchochezi".

    2025-08-18 13:18
  • Walimu Wapya Watambulishwa Madrasa ya Fatima Zahraa (s.a), Waumini Wajumuika na Sayyid Arif Naqvi katika Sala ya Jamaa

    Walimu Wapya Watambulishwa Madrasa ya Fatima Zahraa (s.a), Waumini Wajumuika na Sayyid Arif Naqvi katika Sala ya Jamaa

    Sheikh Eid aliwapa wanafunzi nasaha kuhusu umuhimu wa kujitahidi katika masomo yao na kusisitiza nafasi ya elimu ya dini katika kujenga jamii yenye maadili mema.

    2025-08-18 13:06
  • Majlisi ya Arubaini ya Imam Hussein (as) - Arusha Tanzania +Picha

    Majlisi ya Arubaini ya Imam Hussein (as) - Arusha Tanzania +Picha

    Khatibu wa Majlis (Shekh Ridhwa Dosa), aliangazia Falsafa ya Maombolezo ya Arubaini ya Imam Hussein (as) Fadhila za kumzuru Mjukuu wa Mtume (saww), Hussein bin Ali bin Abi Talib (as).

    2025-08-16 22:29
  • Hawza ya Sayansi ya Kiislamu ya Imam Ridha (a.s) Ikwiriri - Rufiji, Tanzania yafanya Maadhimisho ya Arubaini ya Imam Hussein(a.s) + Picha

    Hawza ya Sayansi ya Kiislamu ya Imam Ridha (a.s) Ikwiriri - Rufiji, Tanzania yafanya Maadhimisho ya Arubaini ya Imam Hussein(a.s) + Picha

    Majlisi hii imehudhuriwa na waumini wengi kutoka maeneo mbalimbali, jambo lililoonesha wazi upendo, uaminifu na utiifu wao kwa mjukuu wa Mtume Muhammad (s.a.w.w), Imam Hussein (a.s).

    2025-08-16 18:41
  • Mitihani ya Kila Wiki - Chuo Kikuu cha Al-Mustafa(s), Dar es Salaam - Tanzania

    Mitihani ya Kila Wiki - Chuo Kikuu cha Al-Mustafa(s), Dar es Salaam - Tanzania

    Mchakato huu umefanyika chini ya usimamizi makini wa walimu na uongozi wa chuo ili kuhakikisha haki, uadilifu wa kielimu na nidhamu ya kimasomo vinazingatiwa ipasavyo.

    2025-08-16 18:16
  • Muendelezo wa Majalisi za Arubaini ya Imam Hussein (a.s) - Arusha, Tanzania +Picha

    Muendelezo wa Majalisi za Arubaini ya Imam Hussein (a.s) - Arusha, Tanzania +Picha

    Majalisi hizi pia zimekuwa fursa ya kuonesha mshikamano wa Waislamu wa Tanzania na ulimwengu mzima katika kuhuisha kumbukumbu ya Arubaini ya Imam Hussein (a.s), tukio linalojulikana kwa kuwakutanisha mamilioni ya waumini katika mji wa Karbala kila mwaka.

    2025-08-16 17:59
  • Dakika za Mwisho za Maisha ya Mtume Muhammad (s.a.w.w) - Uchambuzi wa Matukio ya Kihistoria ya Kabla ya Mauti yake (s.a.w.w) +Picha

    Dakika za Mwisho za Maisha ya Mtume Muhammad (s.a.w.w) - Uchambuzi wa Matukio ya Kihistoria ya Kabla ya Mauti yake (s.a.w.w) +Picha

    Tukio la Ghadir Khum na Tangazo la Wilayat: Tarehe na sehemu ya tukio (18 Dhulhijjah, Ghadir). Kauli ya Mtume (s.a.w.w): “من كنت مولاه فهذا علي مولاه” Ushuhuda wa Masahaba waliompongeza Imam Ali (a.s). Tofauti kati ya pongezi hizo na matendo yao baada ya kufariki Mtume (s.a.w.w).

    2025-08-16 17:31
  • Sheikh Juma Shughuli Kupitia Mahdi TV, Nairobi asisitiza kuwa: "Imani ya Mja Iwajibike na Vitendo"

    Sheikh Juma Shughuli Kupitia Mahdi TV, Nairobi asisitiza kuwa: "Imani ya Mja Iwajibike na Vitendo"

    Hii ni tafsiri muhimu inayoonyesha kuwa ushuhuda wa imani unaonyeshwa kivitendo, si kwa historia au usuhuba wa Mtu kwa Mtume au kuishi Zama moja na Mtume (saww).

    2025-08-15 23:31
  • Chuo Kikuu cha al-Mustafa (s) Dar es Salaam - Tanzania Chaandaa Kongamano la Kielimu Kuhusu: "Dakika za Mwisho za Maisha ya Mtume Muhammad (s.a.w.w)"

    Chuo Kikuu cha al-Mustafa (s) Dar es Salaam - Tanzania Chaandaa Kongamano la Kielimu Kuhusu: "Dakika za Mwisho za Maisha ya Mtume Muhammad (s.a.w.w)"

    Mtoa Mada: Sheikh Taqi Zakariya. Tarehe: Jumamosi, 16-08-2025. Muda: Kuanzia Saa 4:00 Ask Asubuhi hadi 6:00 Mchana. Eneo: Muswalla wa Chuo Kikuu cha Al-Mustafa (s) - Dar-es-salaam. Mwaliko huu ni kwa Wote.

    2025-08-15 23:00
  • Sheikh Mtulya Aonya Kuhusu "Shirki" Katika Khutba ya Ijumaa - Jamiat al-Mustafa (s), Dar es Salaam - Tanzania +Picha

    Sheikh Mtulya Aonya Kuhusu "Shirki" Katika Khutba ya Ijumaa - Jamiat al-Mustafa (s), Dar es Salaam - Tanzania +Picha

    Sheikh Mtulya: "Ni wajibu wa kila Muislamu kujihadhari na vitendo vyote vinavyosababisha Shirki na kuiepuka kwa kauli na vitendo, ili kulinda usafi wa imani na utiifu kwa Mwenyezi Mungu Mmoja".

    2025-08-15 22:37
  • Maadhimisho ya Arobaini ya Imam Hussein (a.s) Yafanyika Jamiat al-Mustafa (a.s), Dar es Salaam, Yakiangazia Umuhimu wa Ziara ya Arobaini + Picha

    Maadhimisho ya Arobaini ya Imam Hussein (a.s) Yafanyika Jamiat al-Mustafa (a.s), Dar es Salaam, Yakiangazia Umuhimu wa Ziara ya Arobaini + Picha

    Dkt. Sheikh Reyhan: "Ziara ya Arobaini ya Imam Hussein (a.s) si ibada ya kimwili pekee, bali ni ahadi ya kudumu katika kushikamana na malengo ya Kihusseini na kusimama dhidi ya dhulma na batili".

    2025-08-15 22:05
  • Khutba ya Ijumaa Masjid Al-Ghadir: Sheikh Hemed Jalala Aeleza Misingi ya Kuimarisha Imani na Mapenzi kwa Imam Hussein (AS) + (Video + Picha)

    Khutba ya Ijumaa Masjid Al-Ghadir: Sheikh Hemed Jalala Aeleza Misingi ya Kuimarisha Imani na Mapenzi kwa Imam Hussein (AS) + (Video + Picha)

    Khutba ya Ijumaa Masjid Al-Ghadir: Sheikh Hemed Jalala Aeleza Misingi ya Kuimarisha Imani na Mapenzi kwa Imam Hussein (AS)

    2025-08-15 15:00
  • Mufti wa Tanzania, Sheikh Dkt. Abubakar Zuber, Arejea Nchini Baada ya Kikao cha Kimataifa Nchini Misri

    Mufti wa Tanzania, Sheikh Dkt. Abubakar Zuber, Arejea Nchini Baada ya Kikao cha Kimataifa Nchini Misri

    "Tumejadili namna bora ya kumaliza mzozo huo kwa njia ya amani. Na tunawaombea ndugu zetu wa Gaza ili Mwenyezi Mungu awape amani na kumaliza mgogoro huu wa muda mrefu,"

    2025-08-15 10:25
  • Viongozi wa Kitaifa wa JMAT-TAIFA Wajadili Ajenda za Amani na Maridhiano Jijini Arusha

    Jumuiya ya Maridhiano na Amani Tanzania:

    Viongozi wa Kitaifa wa JMAT-TAIFA Wajadili Ajenda za Amani na Maridhiano Jijini Arusha

    Askofu Profesa Rejoice Ndalima: "Inafaa na inapendeza kwa viongozi wa kijamii na kidini kuungana ili kupunguza migawanyiko na kuondoa maneno ya chuki miongoni mwa Wananchi".

    2025-08-15 00:17
  • Ziara ya Arubaini ya Imam Hussein (a.s.): Maana na Athari Zake

    Ziara ya Arubaini ya Imam Hussein (a.s.): Maana na Athari Zake

    Ziara ya Arubaini ya Imam Hussein (a.s.) ni shule kamili ya roho, akili, jamii, na siasa. Ni fursa ya kuimarisha imani, kukuza undugu, kupandikiza roho ya kupinga dhulma, na kudumisha kumbukumbu ya kujitolea kwa ajili ya haki. Kuendeleza ibada hii ni njia ya kudumisha maadili ya kimungu na kibinadamu, na kuisambaza kwa vizazi vijavyo.

    2025-08-09 14:46
  • Mitihani ya Kila Wiki kwa Ajili ya Kuinua Viwango vya Kielimu vya Wanafunzi wa Kidini | Jamiatul Mustafa (s) - Mbezi Beach +Picha

    Mitihani ya Kila Wiki kwa Ajili ya Kuinua Viwango vya Kielimu vya Wanafunzi wa Kidini | Jamiatul Mustafa (s) - Mbezi Beach +Picha

    Idara husika ya Taaluma imesisitiza kuwa uendelevu wa mitihani hii una nafasi muhimu katika kuboresha ubora wa elimu ya chuo na kukuza wanafunzi wenye uwezo na ujuzi wa hali ya juu.

    2025-08-09 13:18
  • Wanafunzi wa Chuo cha Kimataifa cha Al-Mustafa (s) Foundation wakihuisha Usomaji wa Dua ya Nudba Leo hii Mbezi Beach, Jijini Dar-es-Salaam

    Wanafunzi wa Chuo cha Kimataifa cha Al-Mustafa (s) Foundation wakihuisha Usomaji wa Dua ya Nudba Leo hii Mbezi Beach, Jijini Dar-es-Salaam

    Matukio kama haya ya Usomaji wa Dua mbalimbali yanaongeza moyo wa ibada miongoni mwa wanafunzi na hutoa nafasi ya kuungana kiroho katika jamii ya hawza hiyo, huku yakihimiza umuhimu wa dua kama silaha ya waumini katika maisha ya kila siku.

    2025-08-08 13:17
  • Dua ya Nudba Yafanyika Leo hii Ijumaa Katika Hawza ya Mabanati ya Hazrat Zainab (sa), Kigamboni - Dar-es-Salam

    Dua ya Nudba Yafanyika Leo hii Ijumaa Katika Hawza ya Mabanati ya Hazrat Zainab (sa), Kigamboni - Dar-es-Salam

    Usomaji wa Dua wa namna hii kawaida huvutia ushiriki mkubwa wa Wanafunzi na Wapenzi wa Ibada na Dua, na kuleta hali ya utulivu wa kiibada katika mazingira ya Chuo hiki cha Kiislamu.

    2025-08-08 13:01
  • Sudan Kusini na Israel: Ushirikiano wa Kistratejia au Mgongano wa Maslahi?

    Sudan Kusini na Israel: Ushirikiano wa Kistratejia au Mgongano wa Maslahi?

    Kwa ziara rasmi ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Sudan Kusini nchini Israel, uhusiano wa muda mrefu lakini wa kimya wa mataifa haya mawili umeingia katika hatua mpya.

    2025-08-08 00:02
  • Kabla
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5
  • 6
  • 7
  • 8
  • 9
  • 10
  • 11
  • Baada
Sauti ya Mashia wasio na Vyombo vya Habari.
Desktop version Mobile version

Nukuu ya "Maudhui" inaruhusiwa bila kutaja chanzo

Nastooh Saba Newsroom