ABNA swahili
  • HABARI KAMILI
  • HABARI MUHIMU
  • Iran
  • ASIA
  • ULAYA
  • AMERIKA
  • AFRIKA
  • PICHA
  • MAKALA
العربية English فارسی Türkçe اردو Español bahasa Indonesia हिन्दी français 汉语 русский Deutsch Melayu Hausa বাংলা Азәрбајҹан Азәрбајҹан әлифбасы Kiswahili မြန်မာဘာသာ bosanski português سورانی 日本語 Kurmancî Pilipinas Тоҷик italiano 한국어
×
filterHabari za leo
  • Darasa la Qur’an Tukufu Lawa Kivutio cha Kiroho na Kielimu kwa Wanafunzi wa Jamiat al-Mustafa (s) Dar-es-Salaam +Picha

    Darasa la Qur’an Tukufu Lawa Kivutio cha Kiroho na Kielimu kwa Wanafunzi wa Jamiat al-Mustafa (s) Dar-es-Salaam +Picha

    Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) - Leo hii tarehe 25-09-2025 ; Darasa la Qur’ani Tukufu limeendelea katika Chuo Cha Al-Mustafa - Dar-es-salaam - Tanzania chini ya usimamizi wa Walimuajiri na Wapenzi wa Qur'an Tukufu: Sheikh Muhammad Jaafar na Qaari Sheikh Hamis Mpili Kikao hiki cha Kielimu kiliandaliwa kwa lengo la kuinua uelewa wa Qur’an, kuboresha usomaji sahihi kwa kutumia kanuni za Tajwidi na kuwahimiza wanafunzi kufuata mafundisho ya Qur’an Tukufu. Qaari Sheikh Hamis, kwa usomaji wake mzuri wa Qur’an, aliunda mazingira ya kiroho yenye mvuto wa pekee, na Sheikh Muhammad Jaafar alieleza kwa undani maana na ujumbe wa Aya husika za Qur'an Tukufu.

    2025-09-25 23:51
  • Sheikh Dr. Abdur-Razak Amir - Naibu Katibu Mkuu wa JMAT-TAIFA - Aibuka Mshindi wa Tuzo Bora ya Uandishi Katika Elimu ya Kiislamu +Picha

    Sheikh Dr. Abdur-Razak Amir - Naibu Katibu Mkuu wa JMAT-TAIFA - Aibuka Mshindi wa Tuzo Bora ya Uandishi Katika Elimu ya Kiislamu +Picha

    Samahat Sheikh Dr. Abdur-razak Amir Msuya, Naibu Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Maridhiano na Amani Tanzania (JMAT-TAIFA), katika Hafla Tuzo za Kielimu za Mufti (Mufti Education Awards) aliibuka mshindi wa "Tuzo Bora ya Uandishi Katika Elimu ya Kiislamu". Tuzo hiyo imetambua mchango wake mkubwa katika kuandika na kueneza maudhui yenye kuelimisha na kujenga jamii kwa misingi ya Kiislamu.

    2025-09-24 22:26
  • Maulid Kubwa Masjid Majmuuat - Temeke Mwisho Kufanyika Ijumaa Oktoba 17, 2025

    Maulid Kubwa Masjid Majmuuat - Temeke Mwisho Kufanyika Ijumaa Oktoba 17, 2025

    Sheikh Dr.Alhad Mussa Salum amewahimiza Waumini wa Dar es Salaam na maeneo ya jirani kuhudhuria kwa wingi, akisisitiza kuwa mwaka huu Maulid itakuwa na vionjo vya pekee, ikiwa ni kumbukumbu ya kumsifu na kufuata nyayo za Mtume Muhammad (s.a.w).

    2025-09-24 06:56
  • Darasa la Qur’an Tukufu katika Madrasat ya Mabanati ya Hazrat Zainab (sa) Laendelea kwa Mafanikio Makubwa

    Darasa la Qur’an Tukufu katika Madrasat ya Mabanati ya Hazrat Zainab (sa) Laendelea kwa Mafanikio Makubwa

    Darsa hili la Qur’an Tukufu linawafundisha zaidi Wanafunzi kuwa Qur'an ni mshirika na muombezi wa yeyote mwenye kushikamana nayo Siku ya Kiyama, hummulikia njia yake hapa duniani, na humuinua katika ngazi za juu Peponi

    2025-09-23 19:01
  • Mufti Education Awards”: Tanzania Yaadhimisha Siku ya Mufti kwa Kuthamini Elimu na Maarifa | Tuzo bora zaidi ya 30 zimetolewa +Picha

    Mufti Education Awards”: Tanzania Yaadhimisha Siku ya Mufti kwa Kuthamini Elimu na Maarifa | Tuzo bora zaidi ya 30 zimetolewa +Picha

    Mufti wa Tanzani:  “Ni jukumu la kila mtu kumthamini anayeithamini elimu, kwa sababu Mtume Muhammad (s.a.w.w) amesema: Elimu ndio uhai wa Uislamu. Ujinga ni aibu kubwa, na hakuna anayeridhia ujinga isipokuwa punda.”

    2025-09-22 16:10
  • Miaka 120 ya Mapambano ya Familia ya Khamenei | Kizazi cha Upinzani na Mapambano | “Ninajivunia Kwamba Huyu Mtu Mashuhuri ni Babu Yangu"

    Sehemu ya Kwanza:

    Miaka 120 ya Mapambano ya Familia ya Khamenei | Kizazi cha Upinzani na Mapambano | “Ninajivunia Kwamba Huyu Mtu Mashuhuri ni Babu Yangu"

    Msimamo wa kupinga dhuluma na mapambano umekuwa miongoni mwa sifa kuu za familia ya Khamenei tangu karne zilizopita hadi sasa. Ingawa hakuna historia iliyoandikwa rasmi kuhusu mapambano ya familia hii, kuna ushahidi wa kihistoria na vielelezo vya wazi vinavyoonyesha kuwepo kwa historia ya miaka 120 ya mapambano yao.

    2025-09-19 12:22
  • Rais wa Jamiat al-Mustafa (s) - Tanzania, Dkt. Ali Taqavi, akifuatilia kwa karibu zaidi maendeleo ya Wanafunzi katika Sayansi za Qur’an Tukufu +Picha

    Rais wa Jamiat al-Mustafa (s) - Tanzania, Dkt. Ali Taqavi, akifuatilia kwa karibu zaidi maendeleo ya Wanafunzi katika Sayansi za Qur’an Tukufu +Picha

    Wanafunzi wa Jamiat al-Mustafa (s) wanazidi kubobea katika taaluma za Qur’an Tukufu na kuandaliwa kuwa wahudumu bora wa Kitabu Kitukufu cha Mwenyezi

    2025-09-18 21:24
  • Kikao Muhimu cha Walimu wa Jamiat al-Mustafa (s) – Tanzania +Picha

    Kikao Muhimu cha Walimu wa Jamiat al-Mustafa (s) – Tanzania +Picha

    Walimu wamekubaliana kwamba mwaka mpya wa masomo 2026 – 2027 utakuwa ni mwaka wa ubunifu na marekebisho ya kimbinu, ili kuhakikisha wanafunzi wa Jamiat al-Mustafa (s) wanapata elimu ya kina ya sekula na elimu ya Hawza kwa uwiano bora, bila upande mmoja kuathiriwa na mwingine.

    2025-09-18 16:06
  • Uwajibikaji na Utawala Bora | Bi.Leila Bhanj Aiwakilisha JMAT-TAIFA Katika  Kikao cha Mihimili ya Sheria Dodoma - Tanzania

    Uwajibikaji na Utawala Bora | Bi.Leila Bhanj Aiwakilisha JMAT-TAIFA Katika Kikao cha Mihimili ya Sheria Dodoma - Tanzania

    Ushiriki wa Bi.Leila katika kikao hicho umetajwa kuwa ni uwakilishi mkubwa wa JMAT-TAIFA, ambapo mijadala ilihusu masuala ya utawala bora na uwajibikaji katika mfumo wa sheria.

    2025-09-17 23:27
  • Dr. Ali Taqavi Aongoza Kikao cha Walimu wa Jamiat al-Mustafa (s) – Tanzania Kujadili Masuala Muhimu ya Maendeleo ya Taasisi +Picha

    Dr. Ali Taqavi Aongoza Kikao cha Walimu wa Jamiat al-Mustafa (s) – Tanzania Kujadili Masuala Muhimu ya Maendeleo ya Taasisi +Picha

    Dr.Taqavi, aliwapongeza walimu na wasimamizi kwa juhudi zao za kuhakikisha malengo ya taasisi yanatekelezwa ipasavyo.

    2025-09-17 19:48
  • Video | Sherehe Adhimu na ya Hamasa kubwa ya Wapenzi wa Ahlul-Bayt (a.s) kwa Kuzaliwa kwa Mtume wa Rehema (saww) na Imam Sadiq (as) nchini Tanzania

    Video | Sherehe Adhimu na ya Hamasa kubwa ya Wapenzi wa Ahlul-Bayt (a.s) kwa Kuzaliwa kwa Mtume wa Rehema (saww) na Imam Sadiq (as) nchini Tanzania

    Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Ahlul-Bayt (a.s) -ABNA- Kutoka Dar es Salaam - Tanzania, Sherehe adhimu ya mwaka wa 1,500 tangu kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (s.a.w.w) pamoja na kuzaliwa kwa Imam Ja‘far al-Sadiq (a.s) imefanyika katika Chuo cha Kisayansi cha Hazrat Zainab (s.a) Kigamboni - Dar es Salaam, Tanzania, kwa kuhudhuriwa na idadi kubwa ya wapenzi wa Ahlul-Bayt (a.s). Shule hii yenye kutoa ilmu na maarifa matukufu ya kidini inafanya kazi chini ya usimamizi wa tawi la Jami‘at al-Mustafa (s) nchini Tanzania.

    2025-09-15 22:28
  • Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani atazuru Qatar kesho

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani atazuru Qatar kesho

    Gazeti la Washington Post, likinukuu maafisa wawili wa serikali ya eneo hilo, limeripoti kuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani anatarajiwa kufanya ziara nchini Qatar kesho, siku ya Jumanne.

    2025-09-15 22:03
  • Netanyahu: "Tutaendelea Kuwalenga Viongozi wa Hamas"

    Netanyahu: "Tutaendelea Kuwalenga Viongozi wa Hamas"

    Kiongozi wa serikali ya Kizayuni (Israel) katika mkutano wa waandishi wa habari pamoja na Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, alitetea shambulio la uvamizi la taifa hilo dhidi ya Qatar lililolenga kuuwa viongozi wa Hamas, na hakukatisha nafasi ya kuonyesha kuwa shambulio kama hilo linaweza kurudiwa dhidi ya nchi nyingine za eneo.

    2025-09-15 19:12
  • Maadhimisho ya Maulid ya Mtume Muhammad (S.A.W.W) Yafanyika kwa Mafanikio Katika Hawza ya Imam Ridha - Ikwiriri-Tanzania +Picha

    Maadhimisho ya Maulid ya Mtume Muhammad (S.A.W.W) Yafanyika kwa Mafanikio Katika Hawza ya Imam Ridha - Ikwiriri-Tanzania +Picha

    Kwa uongozi na mchango mkubwa wa Maulana Sayyid Arifu Naqawi, Hujjatul Asr Society of Tanzania iliandaa na kuadhimisha Maulid ya Mtume Muhammad (S.A.W.W) katika kituo cha Hawzat Imam Ridhwa (A.S).

    2025-09-15 18:54
  • Zaidi ya Magaidi 110 wa al-Shabaab Wauawa na Kujeruhiwa Nchini Somalia

    Zaidi ya Magaidi 110 wa al-Shabaab Wauawa na Kujeruhiwa Nchini Somalia

    Vyombo vya habari vya Somalia vimeripoti kuwa magaidi 110 waliuawa na kujeruhiwa katika mapigano kati ya jeshi la nchi hiyo na kundi la al-Shabaab.

    2025-09-13 21:12
  • Makumi ya raia wameuawa katika shambulio la umwagaji damu mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo

    Makumi ya raia wameuawa katika shambulio la umwagaji damu mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo

    Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kwa mara nyingine imeshuhudia mauaji ya umwagaji damu; angalau watu 60 wameuawa katika shambulio la kundi la watu wenye silaha wanaoshirikiana na ISIS dhidi ya kijiji cha Natwiyo.

    2025-09-12 00:00
  • Usiku wa Maulid Wafana Kigogo Post | Maelfu Wajitokeza Kuadhimisha Kilele cha Maulid - 2025 - Katika Viwanja vya Pipo - Jijini Dar es Salaam +Picha

    Usiku wa Maulid Wafana Kigogo Post | Maelfu Wajitokeza Kuadhimisha Kilele cha Maulid - 2025 - Katika Viwanja vya Pipo - Jijini Dar es Salaam +Picha

    Muendelezo wa Mapenzi kwa Mtume (saww) Hafla ya Maulid Kigogo ni moja ya mfululizo wa matukio yanayoandaliwa kila mwaka kwa lengo la kuimarisha mapenzi ya Waislamu kwa Mtume Muhammad (saww), sambamba na kuhimiza utekelezaji wa mafundisho yake katika maisha ya kila siku.

    2025-09-10 23:57
  • KIGOGO: Jumuiya ya Shia Ithna'ashariyyah Tanzania Yaandaa Zafa ya Maulid ya Mtume Muhammad (S.A.W.W) +Picha

    KIGOGO: Jumuiya ya Shia Ithna'ashariyyah Tanzania Yaandaa Zafa ya Maulid ya Mtume Muhammad (S.A.W.W) +Picha

    "Mtume wa Amani - Uchaguzi Uwe wa Haki, Demokrasia na Amani"

    2025-09-10 22:59
  • Maadhimisho ya Kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.A.W.W) Yafanyika Jamiat Al-Mustafa(s), Dar es Salaam - Tanzania +Picha

    Maadhimisho ya Kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.A.W.W) Yafanyika Jamiat Al-Mustafa(s), Dar es Salaam - Tanzania +Picha

    "Mtume Muhammad (saww) ni Kiumbe Bora na Mkamilifu Zaidi wa Mwenyezi Mungu"

    2025-09-10 20:25
  • Qudumi: Jaribio la Kuua Kigaidi Viongozi wa Hamas huko Doha Limefeli

    Qudumi: Jaribio la Kuua Kigaidi Viongozi wa Hamas huko Doha Limefeli

    Mwakilishi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hamas mjini Tehran, Khaled Qudumi, amesema kuwa jaribio la kigaidi lililofanywa kwa lengo la kuwaua viongozi wa Hamas katika mji mkuu wa Qatar, Doha – ambalo liliratibiwa kwa usaidizi wa Marekani – limekwama.

    2025-09-10 17:30
  • Maulid - Burundi | Maadhimisho ya Kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.A.W.W) Yafanyika Katika Msikiti wa Imam Zainul Abidin (A.S) + Picha

    Maulid - Burundi | Maadhimisho ya Kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.A.W.W) Yafanyika Katika Msikiti wa Imam Zainul Abidin (A.S) + Picha

    Sheikh Jabir Jamal alisisitiza umuhimu wa siku hii adhimu, akisema:"Katika historia ya Mwanadamu, daima wamekuwepo wale waliotaka kuizima nuru ya Mtume na ujumbe wa Uislamu. Lakini nuru hii ya kimungu haizimiki, itaendelea kuangaza ulimwengu hadi mwisho wa wakati."

    2025-09-10 17:04
  • Burundi | Sherehe ya Kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.A.W.W) Yafanyika Kwa Ustadi Mkubwa Katika Husainiyya ya Jumuiya ya Khoja

    Burundi | Sherehe ya Kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.A.W.W) Yafanyika Kwa Ustadi Mkubwa Katika Husainiyya ya Jumuiya ya Khoja

    Washiriki wa Sherehe hiyo pia walimuenzi Mtume Mtukufu (S.A.W.W) kwa heshima kubwa, na walieleza haja ya mshikamano, maelewano, na Umoja wa Umma wa Kiislamu katika kukabiliana na changamoto zinazoukabili ulimwengu wa Kiislamu kwa ujumla.

    2025-09-10 14:53
  • "Tuweke roho ya Kazi na Juhudi juu ya hali ya Kutokuwa Vitani wala kuwa na Amani (Hali ya 'si vita, si amani')

    Kiongozi wa Mapinduzi Katika Mkutano na wanachama wa Serikali:

    "Tuweke roho ya Kazi na Juhudi juu ya hali ya Kutokuwa Vitani wala kuwa na Amani (Hali ya 'si vita, si amani')

    Ayatollah Khamenei katika kikao na Rais pamoja na Baraza la Mawaziri alisisitiza juu ya umuhimu wa 'kutawala kwa hali ya kazi, juhudi na matumaini' dhidi ya 'hali ya si vita wala amani'

    2025-09-08 16:53
  • Kozi zenye Mada Maalum | “Misingi ya Itifaki na Ustaarabu”, "Dhana, Historia, Dira, Dhima na Hadhi ya JMAT", Na Zingine Zitatolewa kupitia JMAT

    Kozi zenye Mada Maalum | “Misingi ya Itifaki na Ustaarabu”, "Dhana, Historia, Dira, Dhima na Hadhi ya JMAT", Na Zingine Zitatolewa kupitia JMAT

    Lengo kuu la kozi hizi ni kuwajengea washiriki uwezo wa kuwa mabalozi wa maadili, ustaarabu na mawasiliano bora katika jamii na katika nafasi zao za kazi au uongozi.

    2025-09-08 13:24
  • Hafla Ya Kumbukumbu ya Kuzaliwa Kwa Mtume Muhammad (s) Yazindua Mjadala Kuhusu Heshima Ya Mwanamke | Sh.Dr.Alhad M.Salum Asisitiza Mwanamke ni Dhahabu

    Hafla Ya Kumbukumbu ya Kuzaliwa Kwa Mtume Muhammad (s) Yazindua Mjadala Kuhusu Heshima Ya Mwanamke | Sh.Dr.Alhad M.Salum Asisitiza Mwanamke ni Dhahabu

    Hafla Kubwa Ya Kumbukumbu Za Kuzaliwa Mtume Muhammad (SAW) na Imam Ja'far Sadiq (AS) Yazikutanisha Wataalamu na Wageni Wapatao 1500 Dar-es-Salaam.Hafla hii imekuwa ni fursa muhimu ya kuimarisha uelewa wa maisha ya Mtume Muhammad (s.a.w.w) na mafanikio ya Imam Ja'far Sadiq (AS) pamoja na kuhamasisha Umoja baina ya Waislamu na Heshima kwa Wanawake katika jamii zetu.

    2025-09-07 23:53
  • Watu 55 wauawa katika shambulio la kigaidi kaskazini Mashariki mwa Nigeria

    Watu 55 wauawa katika shambulio la kigaidi kaskazini Mashariki mwa Nigeria

    Mmoja wa walionusurika, Malam Bukar, alisema: "Walivamia kijiji wakipiga mayowe na kuanza kuwashambulia watu kiholela. Tuliporudi asubuhi, miili ya watu ilikuwa imetapakaa kila mahali."

    2025-09-07 08:17
  • Qarii Mashuhuri wa Iran Azikonga Nyoyo za Waumini Usiku wa Maulidi ya Mtume Muhammad (s.a.w.w) +Picha

    Qarii Mashuhuri wa Iran Azikonga Nyoyo za Waumini Usiku wa Maulidi ya Mtume Muhammad (s.a.w.w) +Picha

    Hafla hiyo imekuwa sehemu ya maandalizi muhimu ya kusherehekea siku hii tukufu, ikisisitiza umuhimu wa Qur’an katika maisha ya Waislamu na nafasi ya umoja wa waumini katika kuiadhimisha kwa heshima siku ya kuzaliwa kwa Mtume wa mwisho wa Mwenyezi Mungu.

    2025-09-07 00:41
  • Balozi wa Iran na Waislamu wa Mihango Waadhimisha Maulidi ya Miaka 1500 ya Mtume Muhammad kwa Umoja na Mshikamano +Picha

    Balozi wa Iran na Waislamu wa Mihango Waadhimisha Maulidi ya Miaka 1500 ya Mtume Muhammad kwa Umoja na Mshikamano +Picha

    Mheshimiwa Balozi pamoja na Mshauri wa Masuala ya Kitamaduni walipanda Mti wa Kumbukumbu katika Kituo cha Imam Reza kilichopo Mihango.

    2025-09-07 00:19
  • Maulidi ya Wanawake wa Jumuiya ya Shia Ithna Ashari Tanzania (T.I.C) Yafanyika Masjid Ghadir, Kigogo Post – Dar es Salaam +Picha

    Maulidi ya Wanawake wa Jumuiya ya Shia Ithna Ashari Tanzania (T.I.C) Yafanyika Masjid Ghadir, Kigogo Post – Dar es Salaam +Picha

    Sheikh Muhammad Abdu: “Mtume wetu Muhammad (s.a.w.w) alikuwa mfano bora wa kuwaenzi wanawake na kuwapa nafasi ya msingi katika jamii. Ni juu yetu kufuata nyayo zake kwa kuendeleza elimu, maadili na heshima kwa wanawake katika Uislamu"

    2025-09-06 20:02
  • Qaswida Adhimu ya Sheikh Eid Wambua Yamsifu Mtume Muhammad (s.a.w.w) kwa Mapenzi ya Dhati +Video

    Qaswida Adhimu ya Sheikh Eid Wambua Yamsifu Mtume Muhammad (s.a.w.w) kwa Mapenzi ya Dhati +Video

    Nukuu kutoka Sheikh Eid: “Mtume (s.a.w.w) si kiongozi wa wakati wake tu, bali ni nuru inayomulika vizazi vyote. Qaswida hii ni wito wa upendo, ufuasi na kuhuisha sunna zake katika kila nyanja ya maisha yetu.”

    2025-09-06 18:56
  • Kabla
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5
  • 6
  • 7
  • 8
  • 9
  • 10
  • 11
  • Baada
Sauti ya Mashia wasio na Vyombo vya Habari.
Desktop version Mobile version

Nukuu ya "Maudhui" inaruhusiwa bila kutaja chanzo

Nastooh Saba Newsroom