Sherehe ya kumuenzi Hujjatul-Islam Sayyid Hassan Nasrullah, Katibu Mkuu wa Shahidi wa Hizbullah ya Lebanon, pamoja na mashahidi wa Fronti ya Muqawama nchini Lebanon, yenye kaulimbiu “Hakika Sisi Tuko Juu ya Ahadi”, ilifanyika Jumatatu jioni (6 Mehr 1405), katika ukumbi wa Imam Khomeini (r.a.), ndani ya Haram Tukufu ya Imam Ridha (a.s).
29 Septemba 2026 - 23:18
Msimbo wa Habari: 1871812

Maoni yako