Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu azuru haram ya Imam Khomeini (MA) na maziara ya Mashahidi
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amezuru haram toharifu ya Imam Khomeini (MA), mwasisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa kumuenzi na kumsomea Faatiha kiongozi huyo mwenye adhama kubwa wa taifa la Iran.