Serikali ya Sudan imesema kuwa imetuma zana za kijeshi na askari jeshi wa radiamali ya haraka katika jimbo la Darfur ya Kusini ili kudumisha amani na kuwalinda raia katika eneo hilo.
Endelea ...-
-
Rashid al Ghannouchi: Mfumo wa kisiasa wa Tunisia unapasa kubadilika kikamilifu
Januari 31, 2021 - 4:37 alasiriSpika wa bunge la Tunisia amesisitiza kuwa muundo wa kisiasa wa nchi hiyo unapasa kubadilka kikamilifu.
Endelea ... -
Wamarekani wenye asili ya Afrika wanabaguliwa katika chanjo ya COVID-19
Januari 30, 2021 - 4:34 alasiriWamarekani wenye asili ya Afrika wanabaguliwa katika utoaji wa chanjo ya COVID-19 au corona ambapo uchunguzi umebaini kuwa, wazungu ndio wanaopata chanjo hiyo kwa wingi.
Endelea ... -
Viongozi wa kieneo wajadili mgogoro wa Jamhuri ya Afrika ya Kati
Januari 30, 2021 - 4:23 alasiriViongozi wa eneo la Maziwa Makuu barani Afrika wamewataka waasi katika Jamhuri ya Afrika ya Kati kuafiki usitishwaji mapigano.
Endelea ... -
UN: Karibu watu milioni 8.3 Sudan Kusini wanahitajia misaada ya kibinadamu
Januari 27, 2021 - 3:09 alasiriUmoja wa Mataifa umesema kuwa, watu wasiopungua Milioni 8 na laki 3 wanahitaji misaada ya kibinadamu katika nchi isiyo na bahari ya Sudan Kusini yenye watu milioni 11.
Endelea ... -
Kesi ya Sheikh Ibrahim Zakzaky yaakhirishwa; kusikilizwa tena Machi 10
Januari 27, 2021 - 3:05 alasiriKesi ya Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria iliyoanza kusikilizwa wiki hii bila ya yeye kuweko mahakamani imeakhirishwa na sasa imepangwa kusikilizwa tena Machi 10 mwaka huu.
Endelea ... -
Ethiopia yataka Sudan iondoe wanajeshi mpakani ili mazungumzo yafanyike
Januari 27, 2021 - 3:03 alasiriEthiopia imeitaka Sudan iondoe wanajeshi wake katika eneo linalozozaniwa baina ya nchi hizo mbili kabla ya mazungumzo kufanyika.
Endelea ... -
Kesi za COVID-19 barani Afrika zakaribia milioni tatu na nusu
Januari 27, 2021 - 3:01 alasiriTakwimu za Kituo cha Kukinga na Kudhibiti Magonjwa Afrika (Africa CDC) zinaonyesha kuwa, hadi kufikia Jumapili kulikuwa na kesi 3,438,133 zilizothibitishwa kuwa na maambukzi ya virusi vya corona au COVID-19 barani Afrika.
Endelea ... -
Tahadhari ya wimbii jipya la Corona yatanda nchini Tanzania
Januari 27, 2021 - 2:58 alasiriBaraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki nchini Tanzania limewataka Watanzania kuchukua tahadhari juu ya maambukizi ya virusi vya Corona wakati huu dunia ikikabiliwa na janga hilo la kiafya ikiwa ni pamoja na kunawa mikono, kutumia vitakasa mikono, kuvaa barakoa na kuepuka misongamano.
Endelea ... -
Kushadidi malalamiko ya wananchi nchini Sudan
Januari 26, 2021 - 5:22 alasiriSambamba na kushadidi matatizo ya kiuchumi nchini Sudan, wananchi wa nchi hiyo wameanza tena kufanya maandamano wakilalamikia hali hiyo.
Endelea ... -
Mahakama ya Uganda yaiamuru polisi imuondolee Bobi Wine kizuizi cha nyumbani
Januari 25, 2021 - 8:23 alasiriMahakama nchini Uganda imeamuru vikosi vya usalama vya nchi hiyo viondoe mzingiro vilioweka kwenye nyumba ya kiongozi wa upinzani Robert Kyagulanyi, maarufu kama Bobi Wine, ambaye yuko kwenye kizuizi cha nyumbani tangu ulipofanyika uchaguzi wa rais januari 14.
Endelea ... -
UN yatoa wito wa kurejeshwa operesheni za uokozi baada ya wahajiri 43 kupoteza maisha
Januari 21, 2021 - 8:23 alasiriMashirika ya Umoja wa Mataifa ya uhamiaji IOM na lile la kuhudumia wakimbizi UNHCR yametoa wito kwa nchi kurejesha operesheni za kuwasaka na kuwaokoa watu kwenye bahari ya Mediterania baada ya wahajiri wengine 43 kupoteza maisha katika ajali ya boti iliyotokea siku ya Jumatatu katika pwani ya Libya.
Endelea ... -
Waziri wa Mambo ya Nje wa Zimbabwe aaga dunia kwa corona
Januari 21, 2021 - 8:22 alasiriWaziri wa Mambo ya Nje wa Zimbabwe, Sibusiso Moyo ameaga dunia kutokana na ugonjwa wa Covid-19.
Endelea ... -
Macron: Ufaransa haitaiomba radhi Algeria kwa dhulma za enzi za ukoloni
Januari 21, 2021 - 8:21 alasiriRais Emmanuel Macron wa Ufaransa amesema nchi hiyo ya Ulaya 'haitatubu' wala kuiomba radhi Algeria kutokana na jinai zilizofanywa na Wafaransa katika zama walipoikoloni nchi hiyo ya Kiafrika.
Endelea ... -
Marekani yatangaza vikwazo dhidi ya maafisa wa serikali ya Tanzania waliovuruga uchaguzi
Januari 20, 2021 - 2:03 alasiriSerikali ya Marekani imetangaza vikwazo vya kuingia nchini humo maafisa wa juu wa serikali ya Tanzania, wanaotuhumiwa kuhujumu uchaguzi mkuu uliofanyika mwaka uliopita na kumuwezesha rais John Pombe Magufuli kupata ushindi wa zaidi ya asilimia 80.
Endelea ... -
Mhubiri wa Kikristo: Vyombo vya habari havimzungumzii Sheikh Zakzaky kwa kuiogopa serikali
Januari 20, 2021 - 2:01 alasiriMhubiri mmoja wa Kikristo nchini Nigeria amevikosoa vyombo vya habari vya nchi hiyo kwa kufumbia macho dhulma iliyofanywa dhidi ya Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria pamoja na wafuasi wake.
Endelea ... -
UNHCR: Wakimbizi wa Jamhuri ya Afrika ya Kati wanaoingia Cameroon wanaongezeka
Januari 20, 2021 - 2:00 alasiriShirika la Kuhudumia Wakimbizi la Umoja wa Mataifa (UNHCR) limetangaza kuwa, idadi ya raia wa Jamhuri ya Afrika ya Kati wanaokimbia makazi yao na kuelekea Cameroon inazidi kuongezeka.
Endelea ... -
Uganda yaikosoa Marekani kwa kuingilia siasa zake za ndani
Januari 20, 2021 - 1:59 alasiriUganda imeikosoa vikali Marekani kwa kuingilia masuala ya ndani ya nchi hiyo ya Afrika Mashariki.
Endelea ... -
Human Rights Watch yakosoa hali ya haki za binadamu nchini Morocco
Januari 20, 2021 - 1:58 alasiriShirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limekosoa hali ya haki za binadamu nchini Morocco na kutangaza kuwa, maafisa wa nchi hiyo wamezidisha mminyo na ukandamizaji wa uhuru wa raia.
Endelea ... -
Trump ampa Mfalme wa Morocco tuzo kwa kuanzisha uhusiano na Israel
Januari 17, 2021 - 2:14 alasiriRais Donald Trump wa Marekani amemtunuku tuzo ya kifahari Mfalme Mohammed wa Sita wa Morocco, kutokana na hatua yake ya kukubali kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni wa Israel.
Endelea ... -
Marufuku ya kupaa katika anga ya Qadarif nchini Sudan
Januari 15, 2021 - 2:42 alasiriMaafisa wa Sudan wameanza kutekeleza sheria ya kuzuia ndege kupaa kwa masafa yaliyoainishwa katika anga ya mkoa wa Qadarif.
Endelea ... -
Watu 46 wauawa katika shambulio la kundi la waasi wa ADF mashariki mwa DRC
Januari 15, 2021 - 2:41 alasiriRaia wasiopungua 46 wanaripotiwa kuuawa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo baada ya waasi kufanya mashambulio mashariki mwa nchi hiyo.
Endelea ... -
Ethiopia yaonya kuwa inakaribia kuingia vitani na Sudan
Januari 13, 2021 - 3:20 alasiriEthiopia imeituhumu Sudan kuwa imetuma idadi kubwa ya wanajeshi katika eneo la mpakani linalozozaniwa na nchi mbili huku ikitahadharisha kuwa makabiliano ya kijeshi yanakaribia.
Endelea ... -
Ethiopia yasema imeua wapiganaji 15 wa eneo la Tigray
Januari 12, 2021 - 3:06 alasiriJeshi la Ethiopia limetangaza habari ya kuua wanachama wengine 15 wa Harakati ya Ukombozi ya Watu wa Tigray TPLF, ambacho kilikuwa chama tawala katika eneo la Tigray, kaskazini mwa nchi.
Endelea ... -
Wanigeria waendeleza maandamano ya kutaka kuachiwa huru Sheikh Zakzaky
Januari 12, 2021 - 3:05 alasiriWafuasi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria (IMN) wamefanya maandamano makubwa katika maeneo mbalimbali ya nchi hiyo wakitaka kuachiwa huru kiongozi wa harakati hiyo Sheikh Ibrahim Zakzaky anayeshikiliwa jela kwa miaka kadhaa sasa.
Endelea ... -
Spika wa Bunge la Zambia aambukizwa virusi vya corona
Januari 10, 2021 - 1:15 alasiriSpika wa Bunge la Zambia amethibitisha kuwa ameambukizwa ugonjwa wa COVID-19 au corona.
Endelea ... -
Gambia yakamata tani 3 za cocaine, shehena kubwa zaidi kuwahi kukamatwa Afrika Magharibi
Januari 10, 2021 - 1:14 alasiriMaafisa wa Gambia wamekamata takriban tani tatu za madawa ya kulevya aina ya cocaine yaliyokuwa yanatokea nchini Ecuador kwa jina la chumvi ya viwandani. Msemaji wa serikali ya Gambia amethibitisha habari hiyo na kusema kuwa, hiyo ni shehena kubwa zaidi ya mihadarati kuwahi kukamatwa Afrika Magharibi.
Endelea ... -
Zimbabwe yarefusha marufuku ya kuuza pombe madukani
Januari 10, 2021 - 1:13 alasiriSerikali ya Zimbabwe imerefusha marufuku ya kuuza pombe madukani wakati huu wa kuenea maambukizo ya kirusi cha corona nchini humo.
Endelea ... -
Uchaguzi wa kwanza nchini Libya mwaka huu wa 2021
Januari 10, 2021 - 1:10 alasiriSambamba na juhudi za kidiplomasia zinazofanyika kwa shabaha ya kupata ufumbuzi wa mgogoro wa Libya na hatimaye kufikia mapatano ya kudumu ya kisiasa, kumefanyika uchaguzi wa kwanza wa mabaraza ya miji katika nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika.
Endelea ... -
Waziri Mkuu wa zamani wa Algeria ahukumiwa kifungo miaka 7 jela
Januari 5, 2021 - 3:26 alasiriMahakama nchini Algeria imemhukumu kifungo cha miaka 7 jela Waziri Mkuu wa zamani wa nchi hiyo kwa kufanya ufisadi katika sekta ya utalii katika mkoa wa Skikda kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.
Endelea ...