Kiongozi wa chama cha TPLF cha eneo la Tigray kaskazini mwa Ethiopia amesema askari wake wanaendelea kupambana na jeshi la serikali, siku mbili baada ya Waziri Mkuu Abiy Ahmed kutangaza ushindi katika eneo hilo.
Endelea ...-
-
Jeshi la Somalia lawaangamiza mamluki wenye mfungamano na kundi la al Shabaab
Desemba 1, 2020 - 8:15 alasiriMamluki kadhaa wenye mfungamano na kundi la kigaidi la al Shabaab la huko Somalia wameuawa katika mapigano kati ya kundi hilo na jeshi la Somalia.
Endelea ... -
UN yalaani mauaji ya umati yaliyofanywa na Boko Haram dhidi ya raia wa Nigeria
Novemba 30, 2020 - 2:57 alasiriMratibu wa masuala ya kibinadamu wa Umoja wa Mataifa nchini Nigeria, Edward Kallon ameeleza kukasirishwa na kusikitishwa na shambulio lililofanywa na genge la kigaidi na ukufurishaji la Boko Haram dhidi ya raia wa mji wa Maiduguri, makao makuu ya jimbo la Borno, la kaskazini mashariki mwa Nigeria.
Endelea ... -
Sudan yakiri rasmi kutembelea nchi hiyo ujumbe wa utawala wa Kizayuni
Novemba 30, 2020 - 2:52 alasiriMsemaji wa Baraza la Uongozi la Sudan jana Jumapili alithibitisha habari ya kutembelewa nchi hiyo na ujumbe wa utawala wa Kizayuni wa Israel.
Endelea ... -
SADC yaahidi kupigania utatuzi wa migogoro ya Congo DR hadi mwisho
Novemba 30, 2020 - 2:51 alasiriJumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC) imesisitiza kuwa itaendelea kuunga mkono kikamilifu jitihada za kuleta utulivu Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo hata baada ya kumalizika kazi za askari wa kulinda amani wa Umoja wa Mataifa wanaojulikana kwa jina maarufu la MONUSCO.
Endelea ... -
Walioambukizwa COVID-19 barani Afrika wapindukia milioni 2.1
Novemba 29, 2020 - 4:28 alasiriKituo cha Kukinga na Kudhibiti Magonjwa cha Afrika (Africa CDC) kimesema, hadi kufikia jana Jumamosi idadi ya maambukizi ya virusi vya COVID-19 au corona barani humo imefikia 2,137,871, na watu 51,248 wamefariki dunia kutokana na virusi hivyo.
Endelea ... -
Jeshi la Ethiopia laingia mji mkuu wa Tigray, Mekele
Novemba 29, 2020 - 4:28 alasiriWaziri Mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed amesema jeshi la nchi hiyo limeingia katika mji mkuu wa jimbo la Tigray, Mekelle na kuudhibiti kikamilifu.
Endelea ... -
Kwa akali wakulima 43 wauawa na Boko Haram kaskazini mashariki mwa Nigeria
Novemba 29, 2020 - 4:27 alasiriMaafisa wa serikali ya Nigeria wametangaza kuwa, kwa akali watu 43 wameuawa kikatili kufuatia mashambulio yaliyofanywa na kundi la kigaidi la Boko Haram kaskazini mashariki mwa nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika.
Endelea ... -
Afrika Kusini yasisitizia mshikamano wake na wananchi wa Palestina
Novemba 29, 2020 - 4:26 alasiriSerikali ya Afrika Kusini imesisitiza kuunga mkono na kushikamana na wananchi wa Palestina.
Endelea ... -
Waziri wa Kizayuni: Rwanda inafikiria kuhamishia ubalozi wake Beitul-Muqaddas
Novemba 29, 2020 - 4:25 alasiriWaziri wa Mawasiliano wa utawala haramu wa Israel amedai kuwa, wakati wa mazungumzo yake na Rais Paul Kagame hivi karibuni, Rais huyo wa Rwanda alimuahidi kwamba, nchi yake inafikiria suala la kuhamishia ubalozi wake katika mji mtukufu wa Quds huko Palestina unaokaliwa kwa mabavu na utawala huo ghasibu.
Endelea ... -
Mkutano wa OIC wamalizika Niger; cheo cha Katibu Mkuu chaenda Chad
Novemba 29, 2020 - 4:23 alasiriMkutano wa siku mbili wa 47 wa Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu OIC uliokuwa ukifanyika huko Niamey mji mkuu wa Niger ulimalizika jana ambapo pamoja na mambo mengine umemchagua Katibu Mkuu mpya wa jumuiya hiyo.
Endelea ... -
Waziri Mkuu wa Ethiopia atoa amri ya kushambuliwa makao makuu ya Tigray
Novemba 26, 2020 - 3:34 alasiriWaziri Mkuu wa Ethiopia, Abiy Ahmed ametoa amri ya kushambuliwa makao makuu ya jimbo la Tigray, la kasikazini mwa nchi hiyo.
Endelea ... -
Walibya wakubaliana kuitisha kikao kingine; safari hii ndani ya Libya
Novemba 26, 2020 - 3:33 alasiriWawakilishi wa makundi mbalimbali ya Libya wanaoshiriki katika kikao cha mjini Tangier, Morocco, wamekubaliana kuitisha kikao kingine katika mji wa Gadamis ndani ya Libya ili kujadiliana suala la kuunganisha mabunge ya nchi hiyo.
Endelea ... -
Sudan yakanusha kupiga kura kwa manufaa ya Israel katika Umoja wa Mataifa
Novemba 26, 2020 - 3:23 alasiriWizara ya Mambo ya Nje ya Sudan imetoa taarifa na kukanusha taarifa zilizosambazwa na vyombo vya habari vya utawala wa Kizayuni vilivyodai kwamba Khartoum imepiga kura kwa manufaa ya Israel katika Umoja wa Mataifa.
Endelea ... -
Waziri Mkuu wa Ethiopia aitaka jamii ya kimataifa kujiweka mbali na mgogoro wa Tigray
Novemba 25, 2020 - 11:31 alasiriWaziri Mkuu wa Ethiopia ameitaka jamii ya kimataifa kujiweka mbali na mgogoro unaoendelea wa jimbo la Tigray lililoko kaskazini mwa nchi hiyo ya Pembe ya Afrika.
Endelea ... -
Polisi ya Uganda yasema, waliopoteza maisha katika machafuko ya uchaguzi ni watu 45
Novemba 24, 2020 - 2:52 alasiriTakwimu mpya zilizotolewa na jeshi la polisi nchini Uganda zinaonesha kuwa, watu waliofariki dunia katika maandamano ya fujo yaliyoikumba nchi hiyo wiki iliyopita, imepanda na kufikia watu 45.
Endelea ... -
Rais wa zamani wa Sierra Leone ahojiwa kuhusu uchunguzi wa ufisadi
Novemba 24, 2020 - 2:51 alasiriErnest Bai Koroma Rais wa zamani wa Sierra leone jana alihojiwa na kamisheni ya uchunguzi kufuatia madai ya kujiri ubadhirifu na matumizi mabaya ya fedha za umma wakati wa uongozi wake.
Endelea ... -
Mazungumzo baina ya makundi hasimu ya Libya yanaendelea
Novemba 24, 2020 - 2:50 alasiriMakundi hasimu ya Libya yanaendelea na awamu ya pili ya mazungumzo yao yalilyoanza jana Jumatatu kujadiliana njia za kiutaalamu za kuunda serikali ya mpito ambayo itaongoza hadi utakapofanyika uchaguzi mkuu mwezi Disemba 2021.
Endelea ... -
Waziri Mkuu wa Morocco: Wamorocco wanaiunga mkono Palestina kwa karne kadhaa sasa
Novemba 23, 2020 - 6:18 alasiriWaziri Mkuu wa Morocco amesema kuwa wananchi wa Morocco wanaiunga mkono Palestina kwa karne kadhaa sasa.
Endelea ... -
Libya kuanza mazungumzo kwa ajili ya kuyaunganisha mabunge ya mashariki na magharibi mwa nchi
Novemba 23, 2020 - 6:16 alasiriWabunge wa Libya wanajiandaa kuanza mazungumzo kwa ajili ya kuyaunganisha mabunge mawili ya nchi hiyo yenye makao yao mashariki na magharibi mwa nchi.
Endelea ... -
Sudan yasusia kikao cha kujadili bwawa la al Nahdha
Novemba 22, 2020 - 3:48 alasiriSudan imesusia kushiriki katika kikao cha mawaziri cha kujadili mradi wa bwawa la al Nahdha la nchini Ethiopia, ikiwa ni kulalamikia jinsi mazungumzo yanavyoendeshwa na nchi tatu za Ethiopia, Misri na Sudan.
Endelea ... -
Uchaguzi wa Burkina Faso unafanyika leo chini ya wingu zito la ukosefu wa amani
Novemba 22, 2020 - 3:47 alasiriUchaguzi wa rais nchini Burkina Faso unafanyika leo Jumapili, Novemba 22, 2020 huku ukosefu wa amani na usalama ukiigubika nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika.
Endelea ... -
Bobi Wine: Rais Museveni anakabiliwa na kizazi chenye hasira na njaa
Novemba 22, 2020 - 3:46 alasiriMgombea urais wa upinzani nchini Uganda Robert Kyagulanyi, maarufu Bobi Wine amesema kuwa, Rais Yoweri Museveni wa nchi hiyo anakabiliana na kizazi ambacho kitafanya kila iwezelo kupigania uhuru.
Endelea ... -
Boko Haram yatungua helikopta Nigeria na kuua watu 5
Novemba 19, 2020 - 2:36 alasiriKundi la kigaidi la Boko Haram limetungua ndege aina ya helikopta huko kaskazini mashariki mwa Nigeria na kuua watu watano.
Endelea ... -
Maandamano ya kutaka kuachiliwa huru Sheikh Ibrahim Zakzaky yafanyika tena Nigeria
Novemba 19, 2020 - 2:35 alasiriMji mkuu wa Nigeria Abuja umeshuhudia maandamano mengine ya kutaka kuachiliwa huru Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria pamoja na mkewe wanaoshikiliwa gerezani.
Endelea ... -
Jeshi la Ethiopia lasonga mbele kuelekea makao makuu ya Tigray; vita vyapamba moto
Novemba 18, 2020 - 7:13 alasiriVikosi vya Ethiopia vimesonga mbele leo Jumatano kuelekea Mekele, mji mkuu wa jimbo la Tigray, licha ya wito wa kimataifa wa mazungumzo kati ya Addis Ababa na mamlaka katika eneo hili linalotaka kujitenga ili kumaliza mzozo ambao umedumu kwa muda wa wiki mbili sasa.
Endelea ... -
Sababu na shabaha za Saudia za kushirikiana na Wazayuni kuipiga vita Ikhwanul Muslimin
Novemba 18, 2020 - 7:08 alasiriBaraza la Maulamaa Wakuu wa Saudi Arabia limetoa taarifa likidai kuwa Ikhwanul Muslimin ni la kigaidi ambalo linapigania malengo ya kichama. Aidha baraza hilo limeituhumu Ikhwanul Muslimin kuwa inazusha mifarakano, inaeneza fitna na inaendesha machafuko na vitendo vya kigaidi.
Endelea ... -
Watu wasiopungua 34 wauawa katika shambulio la basi la abiria magharibi mwa Ethiopia
Novemba 16, 2020 - 2:19 alasiriKamisheni ya Taifa ya Haki za Binadamu ya Ethiopia imetangaza kuwa watu wasiopungua 34 wameuawa katika shambulio lililofanywa na watu waliokuwa na silaha dhidi ya basi la abiria magharibi mwa nchi hiyo.
Endelea ... -
Misri na Sudan kufanya mazoezi ya pamoja ya kijeshi kukabiliana na Ethiopia
Novemba 16, 2020 - 2:15 alasiriMajeshi ya Misri yametoa taarifa kuhusu mpango wa kufanyika luteka na mazoezi ya pamoja ya anga ya kijeshi kati ya nchi hiyo na Sudan katika anga ya Sudan.
Endelea ... -
Makundi ya Libya yafikia mapatano, uchaguzi mkuu kufanyika Disemba 2021
Novemba 14, 2020 - 1:21 alasiriMjumbe maalumu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Libya amesema kuwa makundi hasimu na vyama vya siasa nchini humo vimefikia makubaliano ya kuainisha wakati wa kufanyika chaguzi za Rais na Bunge.
Endelea ...