Kiongozi wa operesheni za kijeshi wa tawi la kundi la al-Qaida kanda ya Afrika Kaskazini ameuawa katika operesheni ya jeshi la Ufaransa nchini Mali.
Endelea ...-
-
Rais Uhuru ahutubia taifa huku akiahidi mustakbali mwema wa nchi
Novemba 12, 2020 - 6:14 alasiriRais Uhuru Kenya wa Kenya leo Alhamisi amehutubia taifa kwa mara ya saba bungeni jijini Nairobi akiwaambia Wakenya kwamba taifa hilo lingali lina nguvu, jasiri na lenye matarajio ya mustakbali mwema.
Endelea ... -
UN: Hali ya wakimbizi wa Ethiopia nchini Sudan inatia wasiwasi
Novemba 12, 2020 - 6:12 alasiriUmoja wa Mataifa umetangaza kuwa una wasiwasi kuhusu hali ya wakimbizi wa Ethiopia wanaoendelea kumiminika katika nchi jirani ya Sudan iwapo raia zaidi watalazimika kukimbia mapigano yanayojiri kati ya jeshi la Serikali Kuu ya Ethiopia na wapiganaji wa Harakati ya Wananchi ya Ukombozi wa Tigray (The Tigray People's Liberation Front (TPLF)) huko kaskazini mwa Ethiopia.
Endelea ... -
Ethiopia yatetea oparesheni za kijeshi Tigray, yasema lengo ni kuokoa taifa
Novemba 11, 2020 - 1:55 alasiriEthiopia imetetea operesheni ya kijeshi inayoendelea katika sehemu ya kaskazini mwa nchi hiyo na kusema oparesheni hiyo inalenga kuokoa taifa.
Endelea ... -
Waziri wa Afya wa Sudan aambukizwa COVID-19
Novemba 11, 2020 - 1:55 alasiriKaimu waziri wa Afya wa Sudan Osama Ahmed Abdul Rahim pamoja na mkurugenzi mkuu wa huduma ya msingi ya afya na mkurugenzi mkuu msimamizi wa dawa za kimatibabu wa Wizara ya Afya wamepata ugonjwa wa COVIDI-19.
Endelea ... -
Baraza la Kukurubisha Madhehebu latoa mkono wa pole kwa vifo vya Maqari wa Sudan
Novemba 11, 2020 - 1:52 alasiriBaraza la Kimataifa la Kukurubisha Pamoja Madhehebu za Kiislamu limetoa mkono wa pole kufuatia vifo vya maqarii na mahafidhi wa Qur'ani tukufu nchini Sudan walioaga dunia katika ajali ya gari wakiwa katika safari ya tablighi.
Endelea ... -
Wanigeria waandamana tena kushinikiza kuachiwa huru Sheikh Zakzaky
Novemba 10, 2020 - 1:30 alasiriWafuasi wa Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria wameandamana katika mji mkuu Abuja wakilalamikia kuendelea kushikiliwa kizuizini kiongozi wao pamoja na mkewe.
Endelea ... -
Zaidi ya 50 wauawa kwa kukatwa vichwa na magaidi huko Msumbiji
Novemba 10, 2020 - 1:29 alasiriMakumi ya watu wakiwemo vijana mabarobaro wameuawa kwa kukatwa vichwa na genge la wanamgambo wenye mfungamano na kundi la kigaidi la Daesh (ISIS), kaskazini mashariki mwa Msumbiji.
Endelea ... -
Waasi wa Uganda washambulia mashariki mwa Congo DR, waua watu 13
Novemba 9, 2020 - 2:05 alasiriMaafisa wa serikari ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wametangaza kuwa waasi wa Uganda jana Jumapili walifanya mashambulizi mawili katika eneo la Beni lililoko katika mkoa wa Kivu Kaskazini na kuua zaidi ya raia kumi wa eneo hilo.
Endelea ... -
Waziri wa Mambo ya Nje, Mkuu wa Ujasusi, kamanda wa jeshi, watimuliwa Ethiopia
Novemba 9, 2020 - 2:04 alasiriWaziri Mkuu wa Ethiopia, Abiy Ahmed jana Jumapili aliwafuta kazi Waziri wa Mambo ya Nje, mkuu wa shirika la kijasusi la nchi hiyo na kamanda wa jeshi la nchi hiyo.
Endelea ... -
Haftar aamua kuvunja makundi ya wanamgambo mkoani Benghazi
Novemba 9, 2020 - 2:03 alasiriKundi linalojiiita jeshi la kitaifa la Libya linaloongozwa na Khalifa Haftar limetangaza kuwa limeandaa mpango wa kuyavunja makundi yenye silaha na kuondoka katika makazi yake katika mkoa wai Benghazi nchini humo.
Endelea ... -
Makaburi zaidi ya umati yagunduliwa Libya
Novemba 8, 2020 - 1:00 alasiriMiili ya watu 17 imegunduliwa katika kaburi la umati huko magharibi mwa Libya, mkoani Tarhuna, na hivyo kufanya jumla ya miili iliyofukuliwa katika miezi ya hivi karibuni kufikia 112.
Endelea ... -
Kinara wa upinzani Ivory Coast akamatwa kwa kuunda serikali hasimu
Novemba 8, 2020 - 12:59 alasiriKiongozi wa upinzani na Waziri Mkuu wa zamani wa Ivory Coast, Pascal Affi N’Guessan amekamatwa na vyombo vya usalama nchini humo kwa kuunda serikali hasimu, siku chache baada ya Tume Huru ya Uchaguzi (CEI) kumtangaza Rais Alassane Ouattara kuwa mshindi wa uchaguzi wa urais uliofanyika Oktoba 31.
Endelea ... -
Kinara wa upinzani DRC Moise Katsumbi kukutana na Tshisekedi
Novemba 7, 2020 - 12:38 alasiriKinara wa upinzani nchini Jamhuri ya Kidemokarsia ya Kongo Moise Katumbi jana alirejea katika mji mkuu Kinshasa baada ya miaka mitano na leo anatazamiwa kukutana na Rais Felix Tshisekedi.
Endelea ... -
Uganda yatangaza tarehe ya uchaguzi mkuu, kampeni kuanza Jumatatu
Novemba 5, 2020 - 3:41 alasiriTume ya Uchaguzi Uganda (EC) imetangaza tarehe 14 Januari mwaka ujao 2021 kuwa siku ya kufanyika uchaguzi mkuu ukiwemo wa urais.
Endelea ... -
Rais wa Algeria aambukizwa virusi vya corona, apatiwa matibabu Ujerumani
Novemba 4, 2020 - 1:36 alasiriOfisi ya Rais wa Algeria imetangaza kuwa rais Abdelmadjid Tebboune amepatwa na ugonjwa wa Covid-19 baada ya kuambukizwa virusi vya corona vinavyosababisha ugonjwa huo.
Endelea ... -
Marekani sasa inaishinikiza Somalia kuanzisha uhusiano na Israel
Novemba 2, 2020 - 4:18 alasiriVyombo vya habari nchini Somalia vimeripoti kuwa, Marekani inaishinikiza nchi hiyo ianzishe uhusiano na utawala wa Kizayuni wa Israel.
Endelea ... -
Watu 12 wameuawa katika shambulio la Boko Haram kaskazini mashariki mwa Nigeria
Novemba 2, 2020 - 4:15 alasiriWanamgambo wa kundi la kigaidi la Boko Haram jana Jumapili walikishambulia kijiji karibu na eneo la Chibok kaskazini mashariki mwa Nigeria na kuua watu 12 na kujeruhi wengine 7.
Endelea ... -
Mkuu wa Baraza la Uongozi Sudan ameanza ziara ya kiduru huko Ethiopia; na kisha kuzitembelea nchi nyingine za eneo
Novemba 2, 2020 - 4:13 alasiriMkuu wa Baraza la Uongozi la Sudan amewasili nchini Ethiopia katika awamu ya kwanza ya ziara yake ya kiduru katika nchi kadhaa za Kiafrika.
Endelea ... -
UN: Ahadi za kurejesha amani CAR zitimizwe kikamilifu
Novemba 1, 2020 - 4:45 alasiriNaibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa anayeshughulikia operesheni za kulinda amani Jean-Pierre Lacroix amesema ahadi za kurejesha amani huko Jamhuri ya Afrika ya Kati (CAR) zinapaswa kutimizwa kikamilifu.
Endelea ... -
Wafaransa walitumia mifupa ya wapigania uhuru wa Algeria kutengenezea sabuni
Oktoba 31, 2020 - 6:20 alasiriMshauri wa masuala ya historia wa Rais wa Algeria amefichua jinai ambazo Ufaransa ilitenda nchini humo katika enzi za ukoloni.
Endelea ... -
Uchaguzi Tanzania; Upinzani wapoteza viti vingi vya ubunge na udiwani
Oktoba 29, 2020 - 3:48 alasiriMatokeo ya awali ya uchaguzi wa Bunge nchini Tanzania yanaonyesha kuwepo mpambano mkali kati ya chama tawala CCM na chama kikuu cha upinzani Chadema; ambapo upinzani umeonekana kupoteza viti vingi.
Endelea ... -
Al Azhar: Itungwe sheria ya kutambua hujuma dhidi ya Uislamu kuwa ni uhalifu
Oktoba 29, 2020 - 3:46 alasiriSheikh Mkuu wa al Azhar nchini Misri amekosoa matamshi ya chuki na hujuma ya Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa dhidi ya Uislamu na kutoa wito wa kutungwa sheria inayotambua chuki na uhasama dhidi ya Waislamu kuwa ni uhalifu.
Endelea ... -
Imarati yaipa Sudan mamilioni ya dola baada ya kuanzisha uhusiano na Israel
Oktoba 28, 2020 - 6:09 alasiriUmoja wa Falme za Kiarabu umeipa Sudan msaada wa dola nusu bilioni za Marekani, siku chache baada ya Khartoum kukubali kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni wa Israel.
Endelea ... -
Umoja wa Afrika: Mazungumzo kuhusu mgogoro wa Bwawa la al-Nahdha kuanza tena leo
Oktoba 27, 2020 - 2:34 alasiriUmoja wa Afrika umetangaza kuwa, mazungumzo kuhusiana na mzozo wa Bwawa la al-Nahdha yaliyokuwa yamesimama kwa miezi miwili baada ya Misri kujitoa, yanatarajiwa kuanza tena Jumanne ya leo.
Endelea ... -
Libya yamtaka Macron awaombe radhi Waislamu duniani
Oktoba 27, 2020 - 2:33 alasiriWizara ya Mambo ya Nje ya Serikali ya Mwafaka wa Kitaifa ya Libya imelaani matamshi ya rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron, ya kumvunjia heshima Mtume Muhammad SAW na Uislamu na kumtaka afanye haraka kuwaomba radhi Waislamu duniani.
Endelea ... -
Al Burhan: Bunge la Sudan linaweza kubadilisha uamuzi kuhusu makubaliano tuliyofikia na Israel
Oktoba 27, 2020 - 2:33 alasiriKiongozi wa baraza la utawala la Sudan ametetea makubaliano ya kuaibisha iliyofikia serikali ya mpito ya nchi hiyo na Israel na kudai kuwa bunge la Sudan linaweza kuupitia upya uamuzi huo wa kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni.
Endelea ... -
Watu kadhaa waripotiwa kuuawa na kujeruhiwa Pemba, Tanzania katika ghasia za kabla ya upigaji kura ya mapema
Oktoba 27, 2020 - 2:32 alasiriWatu kadhaa wanaoaminika kuwa wafuasi wa chama cha ACT Wazalendo wameripotiwa kuwa wameuawa na kujeruhiwa usiku wa kuamkia leo kisiwani Pemba, Zanzibar kabla ya kufanyika upigaji kura ya mapema ambao umezusha taharuki visiwani humo.
Endelea ... -
Raia 51, maafisa usalama 18 wameuawa katika maandamano ya ghasia Nigeria
Oktoba 24, 2020 - 2:46 alasiriMakumi ya watu wameuawa katika machafuko na maandamano yanayoendelea kushuhudiwa katika maeneo mbalimbali ya Nigeria.
Endelea ... -
Afisa wa Sudan: Nchi inakaribia kuanzisha uhusiano na utawala wa Kizayuni
Oktoba 24, 2020 - 2:45 alasiriAfisa mmoja wa Sudan ambaye hakutaka jina lake litajwe amedai kuwa muda wa nchi hiyo kuanzisha uhusiano na utawala wa Kizayuni wa Israel umekaribia licha ya vyama mbalimbali na wananchi kupinga jambo hilo.
Endelea ...