Mkuu wa Jumuiya ya Muungano wa Kimataifa wa Wanazuoni wa Kiislamu amejibu matamshi ya kihasama ya Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa kuhusu Uislamu na kusema kuwa Uislamu hauko wala hautakuwa katika mgogoro.
Endelea ...-
-
Sudan na makundi makuu ya waasi zatia saini rasmi makubaliano ya amani
Oktoba 3, 2020 - 2:28 alasiriSerikali ya Sudan pamoja na makundi makuu ya waasi, leo Jumamosi yametia saini makubaliano rasmi ya kuunda serikali ya mseto na kumaliza mgogoro wa makumi ya miaka ambao umepelekea mamilioni ya watu kuwa wakimbizi na mamia ya maelfu ya wengine kuuawa.
Endelea ... -
Shujaa wa filamu ya 'Hotel Rwanda' akataliwa ombi la kuachiliwa kwa dhamana
Oktoba 3, 2020 - 2:27 alasiriPaul Rusesabagina anayejulikana kama Shujaa wa filamu ya 'Hotel Rwanda' inayosimulia kisa cha mauaji ya kimbari ya mwaka 1994 nchini Rwanda ataendelea kubakia rumande baada ya mahakama ya Rwanda kwa mara nyingine tena kukataa ombi la kumuachilia huru kwa dhamana.
Endelea ... -
Baraza la Fiqhi la Sudan laharamisha kuanzisha uhusiano na Israel
Oktoba 1, 2020 - 1:56 alasiriBaraza la Fiqhi ya Kiislamu la Sudan limesema kuwa haijuzu kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel.
Endelea ... -
Watu milioni moja waathiriwa na mafuriko nchini Ethiopia
Oktoba 1, 2020 - 1:55 alasiriUmoja wa Mataifa umeripoti kuwa watu milioni moja wameathiriwa na mafuriko yaliyosababishwa na mvua kubwa zinazonyesha nchini Ethiopia, ambapo laki tatu miongoni mwao wamelazimika kuyahama makazi yao.
Endelea ... -
Watoto 144 waaga dunia kwa utapiamlo nchini Angola
Oktoba 1, 2020 - 1:54 alasiriWatoto 144 wamepoteza maisha kutokana na utapiamlo katika kipindi cha miezi sita ya kwanza ya mwaka huu katika mkoa wa Bié katikati mwa Angola.
Endelea ... -
Kesi ya Félicien Kabuga sasa kusikilizwa nchini Tanzania
Oktoba 1, 2020 - 1:53 alasiriMahakama ya rufaa nchini Ufaransa imekubali kumpeleka mshukiwa wa mauaji ya kimbari nchini Rwanda Felicein Kabuga kushtakiwa katika mahakama ya Umoja wa Mataifa yenye makao yake mjini Arusha Tanzania.
Endelea ... -
UN: Mazungumzo ya amani Libya yamalizika; Imarati bado yatuma silaha kimagendo
Oktoba 1, 2020 - 1:48 alasiriUmoja wa Mataifa umetangaza kuwa mazungumzo ya makundi mbalimbali ya Libya ya kutafuta amani ya nchi yao yamemalizika nchini Misri na matokeo ya mazungumzo hayo ni mazuri.
Endelea ... -
Sudan Kusini kufungua tena shule baada ya kupungua kesi za Covid-19
Septemba 30, 2020 - 2:07 alasiriHuku nchi kadhaa za Afrika zikiendelea kulegeza sheria kali za kudhibiti maambukizi ya virusi vya Corona kutokana na kupungua kwa kasi ya maambukizi ya ugonjwa wa Covid-19, serikali ya Sudan Kusini imetangaza kuwa shule nchini humo zitaanza kufunguliwa kuanzia mwezi ujao wa Oktoba.
Endelea ... -
UN: Afrika imepoteza dola bilioni 800 kutokana na magendo
Septemba 30, 2020 - 2:00 alasiriShirika la Biashara na Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNCTAD) limesema bara la Afrika limepoteza zaidi ya dola bilioni 800 ndani ya miaka michache iliyopita kutokana na magendo na mzunguko haramu wa fedha.
Endelea ... -
Uchaguzi CAR: Rais Touadera kuchuana na Samba-Panza na Bozize katika kiti cha urais
Septemba 29, 2020 - 2:44 alasiriRais wa Jamhuri ya Afrika ya Kati Faustin Archange Touadera ametangaza nia yake ya kuwania tena uongozi wa nchi hiyo kwa muhula wa pili.
Endelea ... -
Mamia ya raia wakamatwa Misri katika maandamano dhidi ya Rais al Sisi
Septemba 29, 2020 - 2:43 alasiriMashirika ya kutetea haki za binadamu nchini Misri yametangaza kuwa mamia ya watu wametiwa nguvuni katika maandamano yanayofanywa na wananchi kwa siku kadhaa mtawalia wakimtaka Rais Abdel Fattah al Sisi ajiuzulu na kuondoka madarakani.
Endelea ... -
Al Sisi adai: Wananchi hawako pamoja na waandamanaji nchini Misri
Septemba 28, 2020 - 1:57 alasiriRais wa Misri amedai kuwa wananchi hawajaunga mkono harakati za maandamano makubwa yanayoendelea katika maeneo mbalimbali ya nchi hiyo dhidi ya utawala wake.
Endelea ... -
Muamala wa Khartoum-Washington kwa ajili ya kuondoa jina la Sudan katika orodha ya waungaji mkono ugaidi
Septemba 28, 2020 - 1:56 alasiriKatika miezi ya karibinu Marekani imefanya jitihada kubwa za kuzishawishi nchi za Kiarabu na Kiislamu, ikiwemo Sudan, kuanzisha uhusiano wa kidiplomasia na utawala haramu wa Israel.
Endelea ... -
Sudan: Kuondolewa katika orodha ya ugaidi kusihusishwe na kuanzisha uhusiano na Israel
Septemba 27, 2020 - 1:47 alasiriWaziri Mkuu wa Sudan amesema taifa hilo la Kiarabu la kaskazini mwa Afrika halitaki suala la kuondolewa jina la nchi hiyo katika orodha ya ugaidi ya Marekani lifungamanishwe na kadhia ya kuanzisha uhusiano wa kidoplomasia na utawala haramu wa Israel.
Endelea ... -
Wanajeshi wa Kenya na Somalia washambuliana kwa risasi mpakani
Septemba 27, 2020 - 1:46 alasiriWanajeshi wa Kenya na Somalia wamekabiliana kwa risasi katika mpaka wa pamoja wa nchi mbili hizo jirani za Afrika Mashariki.
Endelea ... -
Iran na Nigeria kushirikiana zaidi katika masuala ya nishati
Septemba 24, 2020 - 2:13 alasiriJamhuri ya Kiislamu ya Iran na Nigeria zimetilia mkazo wajibu wa kustawishwa uhusiano wao katika nyuga mbalimbali hasa za nishati kwa kadiri inavyowezekana.
Endelea ... -
28 wauawa katika mripuko wa lori la mafuta Nigeria
Septemba 24, 2020 - 2:12 alasiriKwa akali watu 28 wamepoteza maisha katika mripuko wa lori la mafuta katika jimbo la Kogi, katikati mwa Nigeria.
Endelea ... -
Rais wa Algeria asisitizia udharura wa kuundwa taifa huru la Palestina
Septemba 24, 2020 - 2:12 alasiriKwa mara nyingine tena, Rais Abdelmadjid Tebboune wa Algeria amesisitiza kuwa, nchi yake iko pamoja na wananchi madhulumu wa Palestina na kwamba itaendelea kusimama nao hadi pale watakapofanikiwa katika malengo yao matukufu.
Endelea ... -
Rais wa Ghana: Nitafanya jitihada za kuimarisha uhusiano wetu na Iran
Septemba 24, 2020 - 2:10 alasiriRais Nana Akufo-Addo wa Ghana amesema atafanya juu chini kuimarisha uhusiano wa pande mbili na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
Endelea ... -
WHO: Corona imevuruga matibabu ya HIV na TB; milioni 1 kufa Afrika
Septemba 24, 2020 - 2:09 alasiriShirika la Afya Duniani (WHO) limeonya kuwa, huenda watu milioni moja wenye virusi vya HIV na wanaougua maradhi ya Kifua Kikuu (TB) wakapoteza maisha kutokana na janga la corona kuwasimamishia matibabu.
Endelea ... -
AU yataka Afrika iwe na 'sauti' katika Baraza la Usalama la UN
Septemba 23, 2020 - 1:40 alasiriRais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini ambaye ni Mwenyekiti wa kiduru wa Umoja wa Afrika (AU) amesema muundo wa hivi sasa wa Baraza la Usalama la umoja huo unapaswa kuangaliwa upya kwa kuwa namna ulivyo hauakisi taswira halisi ya dunia ya leo.
Endelea ... -
Sudan yatoa sharti la kupatiwa dola bilioni 1ili ianzishe uhusiano na utawala haramu wa Israel
Septemba 21, 2020 - 1:19 alasiriDuru za habari za Kizayuni zimefichua kuwa, Sudan imeomba kupatiwa msaada wa dola bilioni moja za Kimarekani kama sharti la kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala dhalimu wa Israel.
Endelea ... -
Uganda yaendelea kulegeza vizuizi dhidi ya corona; shule kufunguliwa mwezi ujao
Septemba 21, 2020 - 1:18 alasiriRais Yoweri Museveni wa Uganda ametangaza kuwa, shule na taasisi zingine za elimu ya juu, zitafunguliwa tena kuanzia mwezi ujao wa Oktoba tangu zilipofungwa Machi mwaka huu.
Endelea ... -
Maandamano wa wapinzani wa el Sisi yafanyika nchini Misri
Septemba 19, 2020 - 1:49 alasiriBaadhi ya wananchi wa Misri wamefanya maandamano katika mji wa Suez wa mashariki mwa mji mkuu Cairo kupinga siasa za rais wa nchi hiyo, Abdel Fattah el Sisi.
Endelea ... -
Afrika Kusini: Tutaendelea kuliunga mkono taifa la Palestina
Septemba 19, 2020 - 1:48 alasiriNaledi Pandor, Waziri wa Mambo ya Nje wa Afrika Kusini amesema katika mazungumzo ya simu aliyofanya jana Ijumaa na waziri mwenzake wa Palestina, Riyadh al Maliki, kwamba Pretoria itaendelea kuliunga mkono taifa la Palestina.
Endelea ... -
Magaidi 7 wa al-Shabaab waangamizwa na askari kusini mwa Somalia
Septemba 17, 2020 - 2:13 alasiriWanachama kadhaa wa kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab wameangamizwa katika operesheni ya jeshi la Somalia huko kusini mwa nchi hiyo ya Pembe ya Afrika.
Endelea ... -
Liberia yatangaza ubakaji kuwa tatizo la dharura kitaifa
Septemba 13, 2020 - 3:29 alasiriRais Goerge Weah wa Liberia ametangaza kuwa, vitendo vya ubakaji ni tatizo la dharura la kushughulikiwa kitaifa na ametangaza sheria mpya za kupambana na mgogoro huo baada ya kesi za ubakaji kuongezeka mno katika nchi hiyo maskini ya Afrika Magharibi.
Endelea ... -
Wanajeshi Mali waunga mkono serikali ya mpito ya miezi 18
Septemba 13, 2020 - 3:27 alasiriKiongozi wa wanajeshi waliofanya mapinduzi nchini Mali, Kanali Assimi Goita jana alitangaza kuunga mkono mpango wa kuundwa serikali ya mpito ya miezi 18 na kuahidi kurejesha utawala wa kiraia baada ya kipindi hicho.
Endelea ... -
Meli mbili za Iran ziko njiani kulizunguka bara la Afrika kuipelekea mafuta Venezuela
Septemba 12, 2020 - 3:32 alasiriTaarifa za vyombo mbalimbali vya habari zimesema kuwa, meli mbili za mafuta za Iran hivi sasa ziko njiani kulizunguka bara la Afrika kwa ajili ya kuifikishia mafuta Venezuela ambayo iko chini ya mashinikizo makubwa ya Marekani.
Endelea ...