Habari picha/ Zakizakiy gerezani wafuasi wake barabarani/ maandamano ya siku ya Quds mjini Sokoto na Kaduna nchini Nigeria

  • Habari NO : 763518
  • Rejea : ABNA
Shirika la habari AhlulBayt (a.s) ABNA: pamoja ya kuwa majeshi ya Nigeria kufanya juhudi kubwa za kuweka vikwazo vya kutofanyika maandamano ya siku ya Quds nchini humo, ama wananchi wa nchi hiyo wamejitokeza kwa wingi katika mikoa kadhaa wakishiriki kuadhimisha siku ya Quds nchini humo ikiwemo mji wa Zaria, Sokoto, Kaduna nk, ambapo picha za habari hii ni yale maandamano yaliofanyika katika mji wa Kaduna na Sokoto, huku ripoti zikiashiria kufika mwisho kwa maandamano hayo kwa salama na amani, ambapo katika maandamano yaliofanyika katika mji Sokoto imeripotiwa kushiriki kwa naibu wa Sheikh Ibrahim Zakizaky pamoja na wananchi wa mji huo.

Tuma maoni

Email yako haiwezi kutuma, tafadhali chunguza Email yako

*

پیام رهبر انقلاب به مسلمانان جهان به مناسبت حج 1441 / 2020
We are All Zakzaky
Hatuukubali muamala wa Karni