Mbunge wa zamani wa Lebanon amesisitiza kuwa, suala la kulifufua genge la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) ndilo lengo la kiistratijia la Marekani kwani inaamini kwamba genge hilo ni turufu ya kufanikisha malengo yake haramu katika eneo hili.
Endelea ...-
-
Chanjo ya pili iliyotegenezwa Iran kufanyiwa majaribio ya mwanadamu wiki ijayo
Februari 24, 2021 - 3:28 alasiriChanjo ya pili ya Corona au COVID-19 iliyotengenezwa Iran ambayo inajulikana kama COV-Pars itaanza kufanyiwa majaribio ya mwanadamu wiki ijayo.
Endelea ... -
Wahanga nusu milioni wa virusi vya corona nchini Marekani, sababu na taathira zake
Februari 24, 2021 - 3:24 alasiriBaada ya kupita mwaka mmoja sasa tangu kulipotokea mlipukowa ugonjwa wa Covid-19 nchini Marekani na kufeli kwa serikali ya nchi hiyo katika kukabiliana na janga hilo, sasa idadi ya wahanga wa corona imepindukia watu nusu milioni kwa kadiri kwamba, Rais Joe Biden amemuru bendera za nchi hiyo zipepee nusu mlingoti.
Endelea ... -
Biden na machaguo yaliyo mbele yake kuhusu Afghanistan
Februari 23, 2021 - 3:43 alasiriMullah Baradar, mkuu wa ujumbe wa Taliban katika mazungumzo ya amani ameitaka Marekani iheshimu mapatano iliyofikia na kundi hilo kuhusu kuwaondoa askari wake nchini Afghanistan na akaonya kuwa, Taliban haitavumilia uingiliaji wa majeshi ya kigeni nchini humo.
Endelea ... -
UN: Fikra ya kujiona bora watu weupe na ya Kinazi ni tishio la kimuundo duniani
Februari 22, 2021 - 10:10 alasiriKatibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametaka kuongezwa juhudi za kupiga vita fikra za Kinazi, za kujiona bora Wazungu na watu weupe pamoja na ugaidi wa kizazi na kikaumu.
Endelea ... -
Askari polisi wa zamani wa Marekani: NYPD na FBI zilihusika na mauaji ya Malcolm X
Februari 22, 2021 - 10:06 alasiriAliyekuwa askari wa Polisi kuu ya Marekani ya jiji la New York NYPD amesema kabla ya kuaga dunia kwamba polisi hiyo na Polisi ya Upelelezi FBi zilihusika katika mauaji ya Februari 21, 1965 ya aliyekuwa kiongozi wa kupigania haki za kiraia nchini humo Malcolm X.
Endelea ... -
Trump kufungwa miaka 10 jela iwapo atapatikana na hatia ya kuchochea shambulizi dhidi ya Kongresi
Februari 21, 2021 - 10:04 alasiriRipoti zinasema kuwa aliyekuwa rais wa zamani wa Marekani, Donald Trump, yumkini akahukumiwa kifungo cha miaka kumi jela iwapo atapatikana na hatia ya kuhusika na shambulizi lililofanywa na wafuasi wake dhidi ya majengo ya Kongresi ya nchi hiyo licha ya Baraza la Seneti la Marekani kukwamisha muswada wa kumtia hatiani kwa tuhuma za kuchochea shambulizi hilo.
Endelea ... -
Trump aliacha kwa makusudi maambukizo ya corona yaongezeke Marekani baada ya kubwagwa katika uchaguzi
Februari 21, 2021 - 10:02 alasiriMkurugenzi wa Taasisi ya Taifa la Magonjwa ya Kuambukiza ya nchini Marekani amesema kuwa, rais wa zamani wa nchi hiyo Donald Trump aliacha kwa makusudi maambukizo ya ugonjwa wa COVID-19 yaongezeke nchini humo baada ya kubwagwa katika uchaguzi wa Novemba 3, 2020.
Endelea ... -
Ongezeko la wanajeshi wa NATO nchini Iraq, juhudi za kujaza nafasi ya Marekani
Februari 21, 2021 - 10:01 alasiriMajeshi ya nchi za Magharibi yalipelekwa kwa wingi nchini Iraq baada ya Marekani kuivamia ardhi ya nchi hiyo mwaka 2003 na bado yanaendelea kuwepo nchini humo.
Endelea ... -
Unesco: Corona changamoto kubwa zaidi iliyoyumbisha sekta ya elimu katika historia
Februari 20, 2021 - 3:20 alasiriMkurugenzi Mkuu wa Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Umoja wa Mataifa (Unesco) ametahadharisha juu ya hatari zilizosababishwa na maambukizi ya kirusi cha corona na kupelekea kufungwa skuli duniani kote.
Endelea ... -
UN yataka kuwasilishwa nyaraka zinazoonyesha kuwa hai binti ya mtawala wa Dubai
Februari 20, 2021 - 3:19 alasiriKamishna wa Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa ameutaka Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) uwasilishe nyaraka zinazoonyesha kwamba Mwanamfalme Latifa binti wa mtawala wa Dubai Sheikh Mohammed Al Maktoum yuko hai na salama salimini.
Endelea ... -
Pentagon: Wanajeshi wa Marekani wataendelea kuhudumu huko Afghanistan
Februari 20, 2021 - 3:18 alasiriKatika hali ambayo serikali iliyotangulia ya Washington iliahidi kuwa, wanajeshi wa Marekani wataondoka Afghanistan hadi kufikia mwezi Mei mwaka huu; Mkuu wa Wizara ya Ulinzi ya Marekani (Pentagon) ametangaza kuwa bado uamuzi haujachukuliwa kuhusu suala hilo na hivi sasa wanajeshi wao wanaendelea kuwepo huko Afghanistan.
Endelea ... -
Kiongozi wa Ansarullah: Yemen haitawekwa chini ya mamlaka ya Saudia, Marekani wala Israel
Februari 20, 2021 - 3:14 alasiriKiongozi wa harakati ya Ansarullah ya Yemen amesisitiza kuwa watu wa nchi hiyo hawatawekwa chini ya mamlaka ya Saudi Arabia, Imarati, Marekani au utawala wa Kizayuni wa Israel.
Endelea ... -
Katibu Mkuu wa UN akosoa ubaguzi katika ugavi wa chanjo ya corona
Februari 18, 2021 - 10:07 alasiriKatibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema kuwa kushadidi kwa maambukizi ya virusi vya corona kunazidisha ukosefu wa usalama duniani na amekosoa ubaguzi unaoonekana katik ugavi usio wa kiadilifu wa chanjo ya corona.
Endelea ... -
Biden: Ubaguzi wa rangi ni tatizo lililokita mizizi ndani ya Marekani
Februari 17, 2021 - 2:18 alasiriRais wa Marekani amesisitiza udharura wa kushughulikiwa tatizo la ubaguzi wa rangi ambalo amesema limekita mizizi nchini Marekani.
Endelea ... -
Katibu Mkuu wa UN: Corona imesababisha mgogoro wa haki za binadamu
Februari 17, 2021 - 2:14 alasiriKatibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametahadharisha kuhusu hali mbaya ya haki za binadamu inayoonekana kujitokeza kutokana na janga la corona na kutoa mwito wa kuwepo mshikamano wa kimataifa kwa ajili ya kupambana na kirusi hicho.
Endelea ... -
Tangu wafuasi wa Trump wavamie bunge, maelfu ya Wamarekani wamekihama chama cha Republican
Februari 17, 2021 - 2:13 alasiriVyombo vya habari vya habari nchini Marekani vimetangaza kuwa maelfu ya wanachama rasmi wa chama cha Republican wamejitoa katika chama hicho kufuatia uvamizi na hujuma zilizofanywa na wafuasi wa Donald Trump katika jengo la kongresi ya nchi hiyo.
Endelea ... -
Hofu ya kushadidi matatizo ya kiuchumi na kijamii nchini Marekani
Februari 16, 2021 - 3:02 alasiriKatika miaka ya hivi karibuni, hali ya kiafya na tiba nchini Marekani daima imekuwa ikizorota na kuvurugika zaidi.
Endelea ... -
Kubuniwa kamati maalumu ya kuchunguza shambulio dhidi ya Congress
Februari 16, 2021 - 3:01 alasiriSpika wa bunge la wawakilishi la Marekani Congress, ametoa taarifa akitangaza habari ya kubuniwa kamati huru kama ile iliyobuniwa tarere 11 Septemba kwa ajili ya kuchunguza zaidi shambulio lililofanywa na wafuasi wa rais wa zamani wa nchi hiyo Donald Trump kwenye jengo la bunge hilo.
Endelea ... -
Ilhan Omar: Ubaguzi wa rangi bado unatawala Marekani
Februari 15, 2021 - 2:50 alasiriMbunge Muislamu katika Kongresi ya Marekani Ilhan Omar amesema kuwa kutohukumiwa rais wa zamani wa nchi hiyo, Donald Trump ni ishara ya kuendelea mgawanyiko wa kisiasa na kijamii na vilevile ubaguzi wa rangi katika nchi hiyo. Ilhan Omar ametahadharisha kuhusu athari mbaya za kutohukumiwa Trump katika vikao vya Baraza la Seneti ya Marekani.
Endelea ... -
Ripoti: Trump alikuwa na mpango wa kufanya mauaji ya kigaidi dhidi ya Bashar Assad
Februari 15, 2021 - 2:48 alasiriNaibu mshauri wa zamani wa Usalama wa Taifa wa Marekani amefichua kuwa, rais wa zamani wa nchi hiyo, Donald Trump alikuwa na mpango wa kufanya mauaji ya kigaidi dhidi ya Rais Bashar Assad wa Syria.
Endelea ... -
UNESCO: Redio itaendelea kuwa chombo muhimu katika jamii za sasa
Februari 14, 2021 - 5:08 alasiriSiku ya Redio Duniani imeadhimishwa na kutoa fursa ya kuangazia mabadiliko, ubunifu na uunganishaji wa chombo hicho ambacho kimetimiza miaka 110.
Endelea ... -
Kutolewa hatiani Trump na matokeo ya uamuzi huo uliochukuliwa na Seneti ya Marekani
Februari 14, 2021 - 5:07 alasiriKama ilivyokuwa ikitarajiwa, aliyekuwa rais wa Marekani Donald Trump ametolewa hatiani kwa mara ya pili katika kesi iliyokuwa imefunguliwa dhidi yake katika Baraza la Seneti la nchi hiyo.
Endelea ... -
Pelosi: Warepublican waliomuondoa Trump hatiani ni waoga
Februari 14, 2021 - 5:06 alasiriSpika wa Baraza la Wawakilishi la Marekani amewakosoa vikali Maseneta wa chama cha Republican waliopiga kura kumuondoa hatiani aliyekuwa rais wa nchi hiyo, Donald Trump.
Endelea ... -
Wakili wa William Ruto achaguliwa kuwa Mwendesha Mashtaka Mkuu wa mahakama ya ICC
Februari 14, 2021 - 5:05 alasiriMahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) imepata Mwendesha Mashtaka Mkuu mpya Karim Khan ambaye anachukua nafasi ya mtangulizi wake Bi Fatou Bensouda.
Endelea ... -
UN: Watoto wasiopungua laki nne wako hatarini kufa kwa njaa mwaka huu nchini Yemen
Februari 13, 2021 - 2:39 alasiriMashirika manne ya utoaji huduma ya Umoja wa Mataifa yametahadharisha kuwa, ikiwa hatua za haraka hazitachukuliwa, watoto wasiopungua laki nne wa umri chini ya miaka mitano wanaweza kupoteza maisha nchini Yemen mwaka huu kutokana na hali mbaya sana ya lisheduni iliyosababishwa na athari za vita na janga la virusi vya corona.
Endelea ... -
Biden atoa ahadi ya kufunga Guantanamo waliyoshindwa kutekeleza na Obama
Februari 13, 2021 - 2:26 alasiriRais Joe Biden wa Marekani ameahidi kuwa serikali yake itahakikisha kuwa gereza la kutisha la Guantanamo linafungwa kufikia mwishoni mwa uongozi wake.
Endelea ... -
Marekani yaonesha undumakuwili wake kwa kukosoa jibu la Yemen badala ya uchokozi wa Saudia
Februari 11, 2021 - 4:20 alasiriIkulu ya Marekani White House imekosoa jibu la shambulio lililofanywa na ndege zisizo na rubani za Yemen dhidi ya Saudi Arabia badala ya kulaani mashambulio na jinai zinazofanywa na muungano vamizi wa kijeshi unaoongozwa na utawala wa Riyadh dhidi ya nchi hiyo.
Endelea ... -
Ripoti: Sera mbovu za Trump ziliua maelfu ya Wamarekani
Februari 11, 2021 - 4:18 alasiriSera mbovu na ghalati za utawala uliopita wa Donald Trump nchini Marekani zilipelekea mamia ya maelfu ya Wamarekani kupoteza maisha.
Endelea ... -
Umoja wa Afrika waitaka Marekani ihitimishe vikwazo na mzingiro dhidi ya Cuba
Februari 9, 2021 - 2:14 alasiriUmoja wa Afrika umetaka kuhitimishwa vikwazo na mzingiro wa kiuchumi, kibiashara na kifedha iliowekewa Cuba kupitia amri ya utekelezaji iliyosainiwa mwaka 1962 na aliyekuwa rais wa wakati huo wa Marekani John F. Kennedy.
Endelea ...