Mkuu wa jumuia ya umoja wa mataifa amtaka Trump kusitisha kanuni yake

  • Habari NO : 809074
  • Rejea : ABNA
Brief

Kiongozi mkuu wa jumuia ya umoja wa mataifa amemuomba rais wa Marekani Donald Trumpo kuvunja kanuni alioitoa hivi karibuni ya kuto ziruhusu nchi kadhaa kuingia nchini Marekani

Shirika la habari AhlulBayt (a.s) ABNA: “Antonio Guterres” kiongozi mkuu wa jumuia ya umoja wa mataifa amemtaka Donald Trump rais wa Marekani kuvunja kanuni yake aliotoa hivi karubuni dhidi ya nchini saba kuinia nchini Marekani.
Aidha mkuu wa umoja wa mataifa amesema kwamba kuzuia kuingia katika nchi hiyo si njia ya kuilinda Marekani au nchi nyingine yeyote hile katika kukabiliana na ugaidi, hivyo Guterres amemtaka Trump kuacha kuifanyia kazi sheria hiyo haraka iwezekanavyo.
Kiongozi huyo pia amesema kuwa anasubiri muda muafaka wakwenda kuonana na Rais wa Marekani Donald Trump ambapo atakwenda mji mkuu wa Marekani Washington
mwisho/290


Tuma maoni

Email yako haiwezi kutuma, tafadhali chunguza Email yako

*

Mourining of Imam Hossein
پیام رهبر انقلاب به مسلمانان جهان به مناسبت حج 1440 / 2019
We are All Zakzaky