Siku kama hii ya leo ni siku ulimwengu uliondokewa na mwanazuni muhimu katika historia ya kiislamu nae Imam Jaafar Saadiq(as) mwalimu mwenye taathira kubwa katika kuendeleza harakati za uislamu.
Endelea ...-
-
Indhari ya Antonio Guterres kuhusu ukimbizi; Asia Magharibi kitovu cha mgogoro
Mei 26, 2022 - 4:45 PMAntonio Guterres, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amekosoa vikali mwenendo wa kulazimika watu wa mataifa mbalimbali kuyakimbia makazi yao na kuutaja ukimbizi kuwa ni mgogoro wa kisiasa.
Endelea ... -
Nasrullah: Hatua yoyote dhidi ya Msikiti wa al-Aqswa itapelekea kutokea mlipuko Asia Magharibi
Mei 26, 2022 - 4:44 PMKatibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon sambamba na kuuonya utawala haramu wa Israel amesisitiza kuwa, hatua yoyote iliyo dhidi ya Msikiti wa al-Aqswa italilipua eneo la Asia Magharibi.
Endelea ... -
ICC yatakiwa ichunguze uhalifu wa kivita wa Israeli Gaza
Mei 26, 2022 - 4:43 PMMashirika kadhaa ya kutetea haki za Wapalestina yameikabidhi Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) maelezo ya kina kuhusu jinai za kivita na jinai dhidi ya binadamu zilizofanywa na utawala wa Israel wakati wa hujuma zake za kijeshi dhidi ya Wapalestina katika Ukanda wa Gaza mwaka 2021.
Endelea ... -
HAMAS yawataka Wapalestina kujitokeza kwa wingi kuutetea Msikiti wa al-Aqswa
Mei 25, 2022 - 6:00 PMMsemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amewatolea wito Wapalestina wote kujitokeza kwa wingi katika msikiti wa al-Aqswa kwa ajili ya kulitetea eneo hilo takatifu.
Endelea ... -
Jeshi la Yemen latungua ndege ya tatu ya kijasusi ya Saudi Arabia
Mei 25, 2022 - 5:59 PMJeshi la Yemen limetangaza kuwa limefanikiwa kutungua droni yaani ndege isiyo na rubani ya Saudi Arabia katika eneo la kaskazini magharibi mwa Yemen.
Endelea ... -
Mkuu wa maulamaa wa Iraq: Marekani inadhamini 85% ya silaha za DAESH (ISIS)
Mei 25, 2022 - 5:57 PMMkuu wa Muungano wa Maulamaa wa Kiislamu Iraq amesema, Marekani ndiyo inayodhamini asilimia 85 ya silaha za kundi la kigaidi na ukufurishaji la DAESH (ISIS).
Endelea ... -
Uturuki yazidi kustawisha uhusiano na Israel, waziri wake wa mambo ya nje awasili Tel Aviv
Mei 25, 2022 - 5:56 PMWaziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki Mevlut Cavusoglu amewasili uwanja wa ndege wa Ben Gurion mjini Tel Aviv katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu (Israel).
Endelea ... -
Jibu la Pakistan kwa msimamo wa India kwamba Kashmir itaendelea kuwa sehemu ya ardhi yake
Mei 24, 2022 - 6:16 PMMwakilishi wa Pakistan katika Umoja wa Mataifa amepinga msimamo uliotangazwa na India kwamba eneo la Kashmir halitatenganishwa na ardhi ya nchi hiyo na akasisitiza kwa mara nyingine tena kuwa, Jamu na Kashmir haijawahi na wala katu haitakuwa sehemu ya India; na New Delhi haina haki yoyote katika eneo hilo.
Endelea ... -
Jeshi la Yemen latungua ndege ya kivita ya Saudia katika anga ya Sana'a
Mei 24, 2022 - 6:14 PMMuungano vamizi unaoongozwa na Saudi Arabia umerusha ndege ya kivita isiyo na rubani katika anga ya mji mkuu wa Yemen, Sana'a kwa lengo la kutekeleza oparesheni za kichokozi lakini Jeshi la Yemen limefanikiwa kuitambua ndege hiyo vamizi ya adui na kuitungua papo hapo.
Endelea ... -
Waziri Mkuu wa zamani wa Pakistan aitisha maandamano ya amani dhidi ya serikali
Mei 24, 2022 - 6:09 PMImran Khan Waziri Mkuu wa zamani wa Pakistan ametangaza kuitisha maandamano ya amani dhidi ya serikali ya Islamabad.
Endelea ... -
China yawaasa viongozi wa Marekani wachunge kauli zao kuhusiana na Taiwan
Mei 24, 2022 - 6:09 PMChina imetoa jibu kali dhidi ya uingiliaji wa waziwazi wa Marekani katika masuala ya ndani ya nchi hiyo. Beijing imewaasa viongozi wa Washington wachunge kauli wanazotoa kuhusiana na Taiwan.
Endelea ... -
Watangazaji wanawake Afghanistan wafunika nyuso baada ya kukaidi agizo la Taliban kwa siku moja
Mei 23, 2022 - 8:43 PMWatangazaji wanawake wa televisheni nchini Afghanistan wameridhia kutangaza wakiwa wamefunika nyuso zao kulingana na agizo lililotolewa na serikali ya Taliban, baada ya kukaidi kufanya hivyo kwa muda wa siku moja.
Endelea ... -
Walowezi wa Kizayuni waendelea kuuhujumu Msikiti wa Al Aqswa
Mei 23, 2022 - 8:42 PMMakumi ya walowezi wa Kizayuni wameuvamia tena Msikiti wa al-Aqswa huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu na kuuvunjia heshima msikiti huo mtakatifu.
Endelea ... -
Iraq yapinga Waarabu kutumia jina "nchi ya Israel" badala ya "utawala ghasibu wa Israel"
Mei 23, 2022 - 8:22 PMSpika wa Bunge la Iraq amelalamikia jina la utawala wa Kizayuni lilivyotajwa katika taarifa ya mwishoni mwa mkutano wa umoja wa mabunge ya nchi za Kiarabu na kutaka libadilishwe.
Endelea ... -
Gazeti la Kizayuni: Israel imepoteza kikamilifu uwezo wa kuzuia mashambulio ya HAMAS
Mei 23, 2022 - 8:21 PMGazeti la Kizayuni la Maariv limekiri kuwa utawala wa Kizayuni wa Israel hauna uwezo wa kukabiliana na Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS.
Endelea ... -
Jeshi la Yemen latungua droni nyingine ya kijasusi ya Saudia mkoani Hajjah
Mei 22, 2022 - 4:50 PMMsemaji wa majeshi ya Yemen ametangaza kuwa, jeshi la nchi hiyo limefanikiwa kutungua droni - yaani ndege isiyo na rubani - ya kijasusi ya Saudi Arabia katika mkoa wa Hajjah.
Endelea ... -
Al-Houthi: Lengo la adui ni kudhoofisha mshikamano na nguvu za wananchi wa Yemen
Mei 22, 2022 - 4:50 PMKatibu Mkuu wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema kuwa, lengo la adui ni kudhoofisha viini vyote vya mshikamano na nguvu za wananchi ili arahisishe njia ya kuwadhibiti.
Endelea ... -
Bunge la Iraq: Tumeazimia kuzuia kuanzishwa uhusiano wa kawaida na Israel
Mei 22, 2022 - 4:47 PMSpika wa Bunge la Iraq amesisitiza kuwa, taasisi hiyo imeazimia kuzuia kuanzishwa uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel unaozikalia kwa mabavu ardhi za Palestina.
Endelea ... -
Reuters: Makabidhiano ya madaraka yamekaribia nchini Saudi Arabia
Mei 22, 2022 - 4:46 PMShirika la habari la Reuters limezinukuu duru za Saudi Arabia zikisema kuwa, hatua ya kuweko Abdul Aziz bin Ahmad katika msafara wa Mohammad bin Salman, mrithi wa ufalme wa Saudi Arabia alipotembelea Imarati hivi karibuni, ni ishara kwamba mchakato wa kukabidhiana madaraka umekaribia huko Saudia.
Endelea ... -
Jihad al Islami: Muda mrefu sasa utawala wa Kizayuni haujaonja ushindi
Mei 22, 2022 - 4:45 PMKiongozi mmoja wa ngazi za juu wa harakati ya Jihad al Islami ya Palestina amesema kuwa, tangu baada ya vita vya siku sita vya 1967, jeshi la utawala wa Kizayuni halijawahi tena kuonja ladha ya ushindi dhidi ya mataifa ya Waislamu na Waarabu.
Endelea ... -
UN: Idadi ya watu wanaohitajia misaada na ulinzi duniani imeongezeka kwa asilimia 10
Mei 22, 2022 - 4:27 PMIdadi ya watu wanaohitaji misaada ya dharura ya kibinadamu na ulinzi duniani imeongezeka kwa asilimia 10 hadi hivi sasa tangu mwanzoni mwa mwaka huu wa 2022.
Endelea ... -
UN yataka Kenya, Somalia na Ethiopia zisaidiwe kukabili ukame
Mei 21, 2022 - 5:58 PMUmoja wa Mataifa umetoa mwito wa dharura wa kupatikana fedha ili kusaidia mataifa ya Pembe ya Afrika ambayo kwa miezi yameshuhudia hali ya ukame inayotishia kuwa mbaya zaidi.
Endelea ... -
Al-Houthi: Marekani inasaidiana na magaidi kujenga vituo vya kijeshi Yemen
Mei 21, 2022 - 5:57 PMKiongozi wa harakati ya wananchi ya Ansarullah ya Yemen amesema Marekani, ikishirikiana na magaidi wakufurishaji ambao ni waitifaki wake, inajenga vituo kadhaa vya kijeshi katika mikoa ya mashariki mwa nchi hiyo ya Hadhramaut na al-Mahrah na hali kadhalika mji wa Aden na pwani ya Bahari ya Sham.
Endelea ... -
Sayyid Nasrallah: Kukaliwa kwa mabavu Palestina kulikuwa pigo kwa nchi za Kiarabu
Mei 21, 2022 - 5:56 PMSayyid Hassan Nasrallah, Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amehutubu kwa munasaba wa kukumbuka kuuawa shahidi Sayyid Mustafa Badruddin na kusema kukaliwa kwa mabavu ardhi za Palestina kulikuwa pigo kwa nchi za Kiarabu na mataifa yote ya eneo.
Endelea ... -
Saudia yaendeleza sera za kuwaua Mashia, vijana wawili wahukumiwa kumyongwa
Mei 21, 2022 - 5:54 PMMahakama ya Juu ya Saudia imeendeleza sera za kuwaua Waislamu wa madhehebu ya Shia kwa kuidhinisha hukumu ya kuwanyonga vijana wawili raia wa Bahrain.
Endelea ... -
Makumi ya maelfu ya Wapalestina washiriki sala ya Ijumaa katika Msikiti wa Al Aqsa
Mei 21, 2022 - 5:53 PMMakumi ya maelfu ya Wapalestina wameshiriki katika Sala ya Ijumaa katika Msikiti wa Al Aqsa katika mji wa Quds (Jerusalem) pamoja na kuwa utawala wa Kizayuni wa Israel ulijaribu kuwazuia waumini kufika katika eneo hilo takatifu.
Endelea ... -
Mwaka mmoja baada ya Vita vya Seif al-Quds
Mei 21, 2022 - 5:52 PMMwaka mmoja umepita tangu kutokea Vita vya Seif al-Quds. Licha ya kupita mwaka mmoja tangu kumalizika vita hivyo, lakini natija ya vita hivyo haijaishia katika siku 12 tu za vita hivyo.
Endelea ... -
Televisheni ya Kizayuni: Israel kuchukua hatua dhidi ya Iran ni vitisho vya maneno tu
Mei 21, 2022 - 5:50 PMTelevisheni ya Kizayuni ya Kan 11 imesema, madai yote yanayotolewa na utawala wa Kizayuni wa Israel kwmba utachukua hatua dhidi ya Iran ni vitisho vya maneno matupu.
Endelea ... -
Wanaharakati wa asasi za kiraia Korea Kusini waandamana kupinga safari ya Biden
Mei 21, 2022 - 5:47 PMBaadhi ya wanaharakati wa asasi mashuhuri za kiraia nchini Korea Kusini wamekusanyika katika mji mkuu wa nchi hiyo Seoul kupinga safari ya Rais Joe Biden wa Marekani nchini humo.
Endelea ...