Wananchi wa Kashmir waandamana kupinga mauaji ya Nigeria dhidi ya waislamu wa dhehebu la Shia

  • Habari NO : 725827
  • Rejea : abna.ir
Brief

Picha za wananchi wa Kashimir wa Pakistan wakipinga mauji yaliyofanywa na jeshi la Nigeria dhidi ya waislamu wa dhehebu la Shia.
ambapo jeshi hilo lilivamia nyumba ya kiongozi mkuu wa mashia wa Nigeria sheikh Zakizaki na kuwamwagia risasi kwa kila waliyemuona mbele yao.


Taarifa zinazohusiana

Tuma maoni

Email yako haiwezi kutuma, tafadhali chunguza Email yako

*

پیام رهبر انقلاب به مسلمانان جهان به مناسبت حج 1441 / 2020
We are All Zakzaky
Hatuukubali muamala wa Karni