• Intro
  • Kuhusu sisi
  • RSS
Arabic English Persian Turkish Urdu Spanish Indonesian Hindi French Chinese Russian German Melayu Hausa Bengali Azeri Latin Azeri Cyrillic Swahili Myanmar Bosnian Portuguese Sourani Japanese Kurmanji Philippines
  • Habari Kamili
  • Habari Muhimu
  • Iran
  • Asia
  • Ulaya
  • Amerika
  • Afrika
  • Picha
  • Makala
  • Habari maalum
Menu
  • Maskani

  • Habari Kamili

  • Habari Muhimu

  • Iran

  • Asia

  • Ulaya

  • Amerika

  • Afrika

  • Picha

  • Makala

  • Habari maalum

Marekebisho Habari Muhimu
  • Siku ya huzuni kwa Mashia duniani

    Mei 27, 2022 - 1:32 PM

    Siku kama hii ya leo ni siku ulimwengu uliondokewa na mwanazuni muhimu katika historia ya kiislamu nae Imam Jaafar Saadiq(as) mwalimu mwenye taathira kubwa katika kuendeleza harakati za uislamu.

    Endelea ...
  • Nasrullah: Hatua yoyote dhidi ya Msikiti wa al-Aqswa itapelekea kutokea mlipuko Asia Magharibi

    Mei 26, 2022 - 4:44 PM

    Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon sambamba na kuuonya utawala haramu wa Israel amesisitiza kuwa, hatua yoyote iliyo dhidi ya Msikiti wa al-Aqswa italilipua eneo la Asia Magharibi.

    Endelea ...
  • Kiongozi Muadhamu: Kudumu kuwa mwanamapinduzi ni muhimu zaidi kuliko kuwa tu mwanamapinduzi

    Mei 25, 2022 - 5:50 PM

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa kuendelea kubaki kuwa mwanamapinduzi ni muhimu zaidi kuliko kuwa tu mwanamapinduzi.

    Endelea ...
  • Upeo mpya katika uhusiano wa Iran na Oman kufuatia safari ya Raisi mjini Muscat

    Mei 24, 2022 - 6:15 PM

    Kufuatia safari ya Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Oman, upeo mpya umefunguliwa katika uhusiano na ushirikiano wa nchi hizi mbili.

    Endelea ...
  • SEPAH: Maadui wamedhihirisha tena dhati ya shari yao kwa kumuua shahidi Sayyad Khodaei

    Mei 23, 2022 - 8:26 PM

    Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (SEPAH) limelaani mauaji ya mmoja wa askari wake ambaye ni mlinzi wa Haram na kueleza kwamba, maadui kwa mara nyingine tena wamedhihirisha dhati ya shari yao kwa ugaidi.

    Endelea ...
  • Iran na Oman zatiliana saini hati 12 za kustawisha ushirikiano

    Mei 23, 2022 - 8:24 PM

    Leo Jumatatu, Rais Ebrahim Raisi amefanya ziara rasmi ya siku moja nchini Oman na kupokewa kwa heshima zote na Sultan Haitham bin Tariq wa nchi hiyo.

    Endelea ...
  • Iran ina azma ya kufikia mapatano imara katika mazungumzo ya Vienna

    Mei 21, 2022 - 5:49 PM

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesisitiza kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ina azma ya kufikia mapatano mazuri, imara na ya kudumu na nchi za Magharibi katika mazungumzo ya Vienna.

    Endelea ...
  • Iran: Ripoti ya Umoja wa Mataifa imeifedhehesha kwa mara nyingine Marekani

    Mei 19, 2022 - 2:26 PM

    Msemaji wa Serikali ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, hatua ya ripota maalumu wa Umoja wa Mataifa ya kukiri kuwa, vikwazo ilivyowekewa Iran si halali na ni kinyume maadili ya kibinadamu, ni fedheha nyingine iliyoikumba Marekani.

    Endelea ...
  • Khatibzadeh: Marekani inapaswa kuchukua maamuzi ya kisiasa

    Mei 17, 2022 - 9:27 PM

    Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria safari ya mratibu wa mazungumzo ya nyuklia ya Vienna, ubunifu na mapendekezo maalumu ya Iran na kusema kuwa, Marekani inapaswa kuchukua maamuzi ya kisiasa.

    Endelea ...
  • Raisi akutana na ulamaa wa Ahul Sunna Iran, asisitiza umoja wa Shia na Sunni

    Mei 16, 2022 - 7:07 PM

    Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekutana na maulamaa na wanazuoni wa Ahul Sunna wal Jamaa nchini Iran na kusisitiza kwamba umoja wa Shia na Sunni ni suala la kimkakati.

    Endelea ...
  • Shamkhani: Mazungumzo ya Vienna yatafunguka iwapo utatuzi wa kimantiki wa Iran utaheshimiwa

    Mei 14, 2022 - 9:54 PM

    Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran amesema mazungumzo ya Vienna yamefika awamu ambayo fundo hilo linaweza kufunguliwa iwapo tu ipande uliokiuka makubaliano ya JCPOA utashehimu njia za ufumbuzi wa kimantiki na kwa mujibu wa kanuni.

    Endelea ...
  • Kiongozi Muadhamu: Kuna haja ya kulea kizazi chenye utambulisho wa kitaifa kwa ajili ya ustaarabu wa Kiislamu

    Mei 11, 2022 - 11:16 PM

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, Wizara ya Mafunzo na Malezi ni mlezi na muandaji wa kizazi chenye kujenga ustaarabu.

    Endelea ...
  • Jinai mpya ya Wazayuni! Wamuua shahidi mwandishi wa al Jazeera kwa damu baridi kabisa!

    Mei 11, 2022 - 11:11 PM

    Wanajeshi makatili wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamefanya jinai nyingine ya kumuua kikatili na kidhulma, kwa damu baridi kabisa na kutokea nyuma, mwandishi mashuhuri na nguli wa televisheni ya al Jazeera, Shirin Abu Akleh alipokuwa katikati ya kazi zake kwenye kambi ya Jenin.

    Endelea ...
  • Kiongozi Muadhamu: Syria imeibuka mshindi katika vita vikubwa vya kimataifa

    Mei 8, 2022 - 6:39 PM

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, kusimama kidete taifa na serikali ya Syria na kuibuka mshindi katika vita vikubwa vya kimataifa kumeandaa mazingira ya kupata hadhi na kuheshimika zaidi nchi hiyo duniani.

    Endelea ...
  • Marekani; chanzo cha kusita kwa muda mrefu mazungumzo ya Vienna

    Mei 8, 2022 - 6:37 PM

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema katika mazungumzo ya simu na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres kuwa, sera ghalati za mashinikizo ya kiwango cha juu za Marekani ndio sababu ya hali ya sasa ya mambo inayoshuhudiwa katika mazungumzo ya Vienna.

    Endelea ...
  • Kamanda Salami: Chuki za Marekani kwa SEPAH hazina mwisho

    Mei 6, 2022 - 6:51 PM

    Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu SEPAH amesema kuwa, chuki na uadui wa Marekani kwa jeshi hilo la Iran hauna mwisho na hakuna siku utamalizika.

    Endelea ...
  • Marais wa Iran na Indonesia wasisitiza kupanua uhusiano katika nyanja mbalimbali

    Mei 6, 2022 - 1:23 AM

    Marais wa Iran na Indonesia wamefanya mazungumzo ya simu wakijadili uwezo wa nchi hizo mbili katika nyanja mbalimbali na kusisitiza ulazima wa kufanyika juhudi za pamoja za kuboresha kiwango cha ushirikiano wa pande mbili.

    Endelea ...
  • Raisi: Uhusiano wa Iran na Kuwait unarejea katika hali yake ya kawaida

    Mei 4, 2022 - 10:36 PM

    Rais wa Iran ameutaja msimamo imara wa Kuwait mkabala wa njama mbalimbali katika eneo la Magharibi mwa Asia kuwa makini; na huku akikumbushia uhusiano mzuri kati ya Iran na Kuwait huko nyuma, amesisitiza kuwa, uhusiano wa pande hizo mbili zikiwa nchi mbili marafiki wa muda mrefu, unapasa kurejea katika uwezo wake halisi.

    Endelea ...
  • Iran: Marekani ndio iliyokwamisha mchakato wa mazungumzo ya Vienna Austria

    Mei 2, 2022 - 5:00 PM

    Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiiislamu ya Iran ameashiria mazungumzo ya nyuklia ya Vienna Austria na kusema kuwa, hati ya makubaliano hayo ipo tayari kwa ajili ya kusainiwa, lakini Marekani ndiyo iliyokwamisha mchakato huo.

    Endelea ...
  • Ujumbe wa Siku ya Quds kutoka kwa viongozi wa Palestina huko Sanaa; uzinduzi wa muungano wa kimkakati wa makundi ya mapambano ya Yemen na Palestina

    Mei 1, 2022 - 11:13 PM

    Moja kati ya sifa za Siku ya Kimataifa ya Quds ya mwaka huu ambayo pia ni kielelezo cha maendeleo ya kistratijia, ni hotuba za Khaled al-Batsh ambaye ni miongoni mwa viongozi wa harakati ya Jihad Islamu ya Palestina na Ismail Haniyeh, Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Hrakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) mwishoni mwa maandamano ya Siku ya Quds yaliyofanyika Sana'a mjini mkuu wa Yemen.

    Endelea ...
  • Shamkhani: Sauti ya kuvunja mifupa ya Uzayuni imeanza kusikika

    Aprili 30, 2022 - 5:29 PM

    Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran amesema: "Sauti ya kuvunjwa mifupa ya Uzayuni inasikika zaidi na zaidi kimataifa."

    Endelea ...
  • Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu: Palestina yote imekuwa uwanja wa mapambano, mipango ya kupatana na adui Mzayuni imebatilika

    Aprili 30, 2022 - 1:51 AM

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Ali Khamenei amesema, Palestina nzima imekuwa uwanja wa mapambano, na kwamba mipango yote ya suluhu na kufanya mapatano na adui Mzayuni imebatilishwa.

    Endelea ...
  • Maandamano ya Siku ya Quds kote Iran, Kiongozi Muadhamu kuhutubia umma

    Aprili 29, 2022 - 6:50 PM

    Maandamano ya Siku ya Kimataifa ya Quds yanafanyika kote nchini Iran ambapo idadi kubwa ya wananchi wamejitokeza kutangaza uungaji mkono wao kwa harakati za ukombozi wa Palestina sambama na kulaani jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel.

    Endelea ...
  • Muqawama wa kutumia silaha; aina bora kabisa ya kupambana na utawala wa Kizayuni

    Aprili 29, 2022 - 1:50 AM

    Makundi ya muqawama ya Palestina yametoa tamko la pamoja katika wakati huu wa kukaribia mno Siku ya Kimataifa ya Quds ambayo ni kesho Ijumaa tarehe 29 Aprili 2022 na mbali na kuashiria jinai za utawala wa Kizayuni yamesema kwamba, mapambano ya kutumia silaha ndio muqawama bora kabisa wa kukabiliana na utawala wa Kizayuni.

    Endelea ...
  • Iran: Kipaumbele chetu katika ulimwengu wa Kiislamu ni Palestina na kutokomea Israel

    Aprili 26, 2022 - 5:43 PM

    Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kipaumbele cha Tehran katika ulimwengu wa Kiislamu ni Palestina na kutokomea utawala vamizi wa Israel.

    Endelea ...
  • Maarifa ya kina ni siri ya dua na minong'ono ya Imam Ali AS na Mola wake Mlezi

    Aprili 23, 2022 - 9:14 PM

    Tuko katika kumbukumbu ya tukio chungu la kuuawa shahidi Imam Ali bin Abi Twalib AS ambaye ni shakhsia wa pili katika Uislamu baada ya Mtume Muhammad SAW.

    Endelea ...
  • Raisi: Hatima ya Palestina itaamuliwa kwa irada na azma ya Mujahidina

    Aprili 23, 2022 - 6:54 PM

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa: Hii leo, hatima ya Palestina itaamuliwa kwa matakwa na irada ya Mujahidina.

    Endelea ...
  • Rais wa Iran alaani hujuma ya kigaidi Afghanistan

    Aprili 20, 2022 - 4:57 PM

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelaani hujuma ya kigaidi dhidi ya shule kadhaa katika mji mkuu wa Afghanistan, Kabul sambamba na kutuma salamu za rambirambi kwa familia za waliopoteza maisha.

    Endelea ...
  • Velayati: Iran itaendelea kuunga mkono watu wa Palestina

    Aprili 18, 2022 - 9:37 PM

    Mshauri wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amepongeza mafanikio ya hivi karibuni ya harakati za kupigania ukombozi wa Palestina na kuongeza kuwa Iran itaendelea kuunga mkono watu wa Palestina.

    Endelea ...
  • Raisi aionya Israel isithubutu kuichokoza Iran hata kidogo

    Aprili 18, 2022 - 9:34 PM

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema uwezo wa majeshi ya Iran ni uwezo wa kumzuia adui na kuongeza kuwa, uchokozi hata mdogo zaidi wa maadui kama vile utawala wa Kizayuni wa Israel hautafumbiwa macho na vikosi vya ulinzi vya Iran.

    Endelea ...
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5
  • 6
  • 7
  • 8
  • 9
  • Next
Haki zote zimehifadhiwa

All Content by AhlulBayt (a.s.) News Agency - ABNA is licensed under a Creative Commons Attribution 4.0 International License