Picha za wananchi wa Iran wakiandamana mbele ya ubalozi wa Nigeria kupinga mauaji yalifanywa na jeshi la Nigeria dhidi ya Mashia

  • Habari NO : 725259
  • Rejea : abna.ir
Brief

Wairan wa mji wa Mash-had wameandamana mbele ya ubalozi wa Nigeria kupinga mauaji ya kinyama yaliyofanywa na jeshi la Nigeria dhidi ya waislamu wa dhehebu la Shia, ambao hawana hatia ya Ugaidi wala si kitisho cha serikali bali wao ni miongoni mwa vikundi vinavyowindwa na kundi la Bokoharam.
Jeshi la Nigeria badala ya kuwalinda waumini hawa, limechukua jukumu la kuwasaidia Bokoharam kuwaua waumini hawa madhulumu.


Taarifa zinazohusiana

Tuma maoni

Email yako haiwezi kutuma, tafadhali chunguza Email yako

*

پیام رهبر انقلاب به مسلمانان جهان به مناسبت حج 1441 / 2020
We are All Zakzaky
Hatuukubali muamala wa Karni