Wamarekani wafanya Maandamano ya kupinga mauaji yaliyofanywa na jeshi la Nigeria dhidi ya Mashia

  • Habari NO : 726053
  • Rejea : abna.ir
Brief

Hizi ni picha za wakazi wa mji wa Newyork Marekani wakipinga mauaji na dhuluma iliyofanywa na majeshi ya Nigeria dhidi ya waislamu wa dhehebu la Shia.
ambapo jeshi hilo lilivamia waumini hao na kuua mamia ya waislamu hao wasio na hatia.


Tuma maoni

Email yako haiwezi kutuma, tafadhali chunguza Email yako

*

پیام رهبر انقلاب به مسلمانان جهان به مناسبت حج 1441 / 2020
We are All Zakzaky
Hatuukubali muamala wa Karni