Iran yapeperusha bendera ya Imam Husein kwenye mlima mrefu kuliko yote Ulaya

  • Habari NO : 784018
  • Rejea : abna.ir
Brief

Iran nachi nyingine ambazo zinazifuata utawala wa kizazi cha mtume Muhammad s.a.w wanaadhimisha tukio hilo la kuchinjwa kwa mjukuu wa mtume ambalo lilitokea katika mji wa Karbalaa Iraq .

Shirika la habari la ABNA linaripoti kuwa: Muiran aliyepeperusha Bendera ya Imam Hussein a.s ambaye ni mjukuu wa mtume Muhammad s.a.w aliyeuawa kikatili kwa kukatwa kichwa na baadhi ya waliokuwa maswahaba wa mtume huyo.

Iran nachi nyingine ambazo zinazifuata utawala wa kizazi cha mtume Muhammad s.a.w wanaadhimisha tukio hilo la kuchinjwa kwa mjukuu wa mtume ambalo lilitokea katika mji wa Karbalaa Iraq .

Bendera hiyo ya Imam Husein imepeperushwa na Yasir Sutudee kwenye kilele cha mlima  Alborz uliopo Urusi ambao ni mlima mrefu zaidi baran Ulaya, wenye urefu wa mita 5642 ambapo upo kwenye mgando wa barafu lenye nyuzi 60 chini ya sifuri.

Tuma maoni

Email yako haiwezi kutuma, tafadhali chunguza Email yako

*

پیام رهبر انقلاب به مسلمانان جهان به مناسبت حج 1441 / 2020
We are All Zakzaky
Hatuukubali muamala wa Karni