Kiongozi muadhamu wa mapinduzi ya Iran ndiye atakaye ongoza ibada ya kusalia mwili wa Ayatullah Rafsanjani

  • Habari NO : 803925
  • Rejea : ABNA
Brief

Kiongozi wa mapinduzi ya Kiislamu ya Iran Ayatullah Sayyed Ali Khamenei kesho ataongoza ibada ya kuusalia mwili wa marehemu Ayatullah Sheikh Ali Akbar Hashemi Rafsanja asubuhi ya kesho na baada ya hapo atakwenda kuzikwa katika mahali alipozikwa Imam Khumeini pembezoni mwa mji wa Teheran

Shirika la habari AhlulBayt (a.s) ABNA: Ayatullah Sayyed Ali Khamenei asubuhi ya kesho Jumanne ataudhuria katika kuomboleza kifo cha Ayatullah Hashemi Rafsanjani ambapo pia ataongoza ibada ya kumsalia marehemu huyo na baadaye ataenda kuzikwa mahala alipozikwa Ayatullah Imam Khumeiniy mwana mapinduzi ya kiislamu ya Iran.
mwisho wa habari/290


Tuma maoni

Email yako haiwezi kutuma, tafadhali chunguza Email yako

*

پیام رهبر انقلاب به مسلمانان جهان به مناسبت حج 1441 / 2020
We are All Zakzaky
Hatuukubali muamala wa Karni