Maandamano ya Siku ya Kimataifa ya Quds yanafanyika kote nchini Iran ambapo idadi kubwa ya wananchi wamejitokeza kutangaza uungaji mkono wao kwa harakati za ukombozi wa Palestina sambama na kulaani jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel.
Endelea ...-
-
Wairan leo wanaadhimisha miaka 43 ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu
Februari 11, 2022 - 3:17 PMLeo Ijumaa tarehe 22 Bahman, sawa na tarehe 11 Februari, wananchi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wanaadhimisha sherehe za miaka 43 ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu hapa nchini.
Endelea ... -
Sera za kigeni za serikali ya Raeisi; ushirikiano erevu na ulimwengu, mtazamo maalumu kwa majirani
Agosti 7, 2021 - 3:22 AMRais wa nane wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amebainisha katika hotuba yake ya kwanza mara baada ya kuapishwa kuhusiana na utendaji wa serikali mpya ya Iran kuhusiana na sera za kigeni kwa ajili ya kudhamini maslahi ya kitaifa katika uga wa kieneo na kimataifa.
Endelea ... -
Pongezi kwa kuadhimisha Sikukuu ya Eid Ghadir Khum
Julai 29, 2021 - 9:28 AMLeo Alhamisi tarehe 29 Julai mwaka 2021 inayosadifiana na tarehe 18 Dhul-hija mwaka 1442 Hijria ni Sikukuu ya Idd Sayyid Ghadir Khum, moja ya Idd kubwa za Waislamu.
Endelea ... -
Kuakhirishwa kesi ya Sheikh Zakzaky na njama za mabeberu nchini Nigeria
Julai 3, 2021 - 4:17 PMMahakama ya Nigeria kwa mara nyingine tena imeakhirisha kikao cha kusikilizwa kesi ya kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria (IMN), Sheikh Ibrahim Zakzaky hadi tarehe 28 Julai licha ya Waislamu wa nchi hiyo kutaka mwanazuoni huyo aachiwe huru.
Endelea ... -
Uchaguzi wa rais nchini Iran wamalizika baada ya upigaji kura wa masaa 19
Juni 19, 2021 - 4:16 PMUchaguzi wa urais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran umemalizika mapema leo asubuhi baada ya upigaji kura wa masaa 19 ambapo mamilioni ya wapiga kura wamejitokeza.
Endelea ... -
Kiongozi Muadhamu: Jamhuri ya Kiislamu ni ubunifu muhimu zaidi wa Imam Khomeini (MA)
Juni 4, 2021 - 7:39 PMKiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema taifa la Iran hii leo na katika mustakabali wa mbali linapaswa kulinda kumbukumbu ya Imam Khomeini, Mwenyezi Mungu amrehemu.
Endelea ... -
Hotuba ya Kiongozi Muadhamu katika sikukuu ya Mab’ath; sisitizo la kusimama kidete Iran dhidi ya mfumo wa ubeberu
Machi 13, 2021 - 3:19 PMKiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, malengo ya zawadi kubwa ya Mwenyezi ya kubaathiwa na kupewa Utume Mtume Muhammad SAW ni kuanzishwa utawala wa sheria za Mwenyezi Mungu, kuleta uadilifu na kupatikana maisha mazuri na yaliyo bora.
Endelea ... -
Sisitizo la Kiongozi Muadhamu la Iran kusimama kidete kuhusu suala la nyuklia
Februari 23, 2021 - 3:46 PMKama ilivyo hali kuhusu masuala mengine, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran haitalegeza msimamo wake kuhusu kadhia ya nyuklia, na itaendelea kusimamam imara na kutetea suala hilo kwa nguvu zake zote kwa ajili ya kulinda maslahi ya leo na ya kesho ya taifa hili.
Endelea ... -
Maadhimisho ya Bahman 22, nembo ya umoja na nguvu laini za taifa la Iran mbele ya maadui
Februari 11, 2021 - 4:23 PMLeo Jumatano, Februari 10, 2021 zimefikia kileleni sherehe za Bahman 22 za ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya nchini Iran. Sherehe hizo ni kumbukumbu ya moja ya matukio muhimu sana katika historia ya taifa la Iran. Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran yalipata ushindi tarehe 11 Februari 1979 kwa uongozi wa mwanachuoni shujaa, Imam Khomeini MA.
Endelea ... -
Kiongozi Muadhamu: Sharti la Iran la kurejea katika ahadi zake za JCPOA ni Marekani kuondoa vikwazo kivitendo
Februari 7, 2021 - 4:01 PMKiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa, Iran itarejea katika ahadi zake za makubaliano ya nyuklia ya JCPOA pale Marekani itakapoliondolea taifa hili vikwazo vyake vyote tena kivitendo na sio kwa maneno matupu au katika makaratasi tu.
Endelea ... -
Maelfu waandamana kwa siku ya pili Myanmar kulalamikia mapinduzi ya kijeshi
Februari 7, 2021 - 3:50 PMMakumi ya maelfu ya wananchi wa Myanmar wameandamana kwa siku ya pili mtawalia katika mji wa Yangon moja ya miji muhimu ya nchi hiyo licha vitisho vya jeshi na hatua ya utawala wa kijeshi nchini humo ya kukata mawasiliano ya intaneti.
Endelea ... -
Ayatullah Khamenei: Uislamu na Jamhuri ya Kiislamu vinamtazama mwanamke kwa jicho la heshima
Februari 3, 2021 - 3:39 PMKiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameashiria tofauti za kimsingi za mtazamo wa Uislamu na ulimwengu wa Magharibi mwa mwanamke na kusema kuwa,Uislamu na Jamhuri ya Kiislamu vinamtazama mwanamke kwa jicho la heshima ilihali mtazamo ulionea Magharibi kuhusu mwanamke ni wa kumtazama kiumbe huyu kama bidhaa na wenzo.
Endelea ... -
Jeshi la Myanmar latwaa madaraka ya nchi; rais na viongozi wengine watiwa mbaroni
Februari 1, 2021 - 4:28 PMJeshi la Myanmar limethibitisha kulidhibiti madaraka ya nchi baada ya kumkamata Rais wa nchi na viongozi wengine akiwemo Aung San Suu Kyi mapema hii leo.
Endelea ... -
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu azuru haram tukufu ya Imam Khomemeini (M.A)
Januari 31, 2021 - 4:47 PMSambamba na kuanza maadhimisho ya alfajiri kumi na katika kukaribia maadhimisho ya mwaka wa 42 wa ushindi mtukufu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Khamenei Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu mapema leo asubuhi amezuru katika haram tukufu la mwasisi mkuu wa Mapinduzi ya Kiislamu na kuenzi kumbukumbu ya imamu huyo adhimu wa taifa la Iran kwa kusali na kusoma Qurani.
Endelea ... -
Kiongozi Muadhamu amuenzi shahidi Fakhrizadeh kwa kipawa chake kikubwa cha elimu na ikhlasi ya kupigiwa mfano
Januari 26, 2021 - 5:14 PMFamilia ya mwanasayansi bingwa na mwenye kipawa cha juu katika masuala ya nyuklia na ulinzi wa Iran shahidi Mohsen Fakhrizadeh jana ilimtembelea Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei.
Endelea ... -
Picha: Hiyana ya umoja wa Ulaya kwa Italy
Machi 24, 2020 - 10:38 PMKatika hali ambayo Italy inahitajia msaada zaidi, Umoja wa Ulaya umeonekana kutupilia mbali mawazo ya kuisaidia hata katika misaada ya kitabibu.
Endelea ... -
Picha: Ushindi wa wananchi wa Yemen dhidi ya vita
Machi 17, 2020 - 11:24 AMPamoja na kuwa katika vita kali zenye kuandaliwa dhidi yao, wananchi madhulumu wa Yemen bado wana kila njia ya kukabiliana na hatimaye kushinda kila aina ya vita hizo.
Endelea ... -
Picha: Sherehe maalumu za kuadhimisha kifo cha Qasem Suleimani nchini Syria
Januari 27, 2020 - 3:15 PMSherehe maalumu kabisa za kuadhimisha na kukumbuka kifo cha aliyekuwa kiongozi wa Jeshi la Quds nchini Iran zimefanyika nchini Syria.
Endelea ... -
habari za picha
Mamilioni ya wananchi wa Iraq wajitokeza dhidi ya Marekani-3
Januari 24, 2020 - 10:52 PMShirika la habari AhlulBayt (a.s) ABNA: mamilioni ya wananchi wa Iraq waandamana kupinga kuwepo kwa majeshi ya Marekani nchini humo maandamano ambayo yameitishwa na kiongozi wa kikundi cha Sadr ambaye ni Muqtada Sadr na kufanya leo siku ya Ijumaa nchini humo.
Endelea ... -
Picha :“...wale mabwana waliokuwepo katika meza ya makubaliano, ndio hao hao magaidi ya uwanja wa ndege wa Baghdad.."
Januari 24, 2020 - 11:09 AMKupitia ukurasa maalumu wa kiongozi mkuu wa mapinduzi ya Kiislamu ya Iran Ayatollah Khamenei, imeenea picha yenye kuonyesha uhalisia wa tukio la kuuwawa kishahidi Qasem Suleimani.
Endelea ... -
habari za picha
Sauti ya kuilaani Marekani yasikika mkabala na ubalozi mdogo wa Marekani mjini Lahore Pakistan
siku kumi baada ya mauaji
Januari 13, 2020 - 8:34 AMShirika la habari AhlulBayt (a.s) ABNA: mamia ya wananchi wa mji wa (Lahore) Pakistan wamepaza sauti zao nchini humo wakiwa mkabala na ubalozi mdogo wa Marekani wakipinga mauaji ya kikatili yaliofanywa na sirikali ya Marekani dhidi ya Kamanda Qasim Soleimani Abumahdi Almuhandisi, hiyo ikiwa ni siku ya Jumapili sawa na siku ya kumi ya kuuwawa kishujaa kwa Kamanda Qasim Soleimani Abumahdi Almuhandisi na waambata wao. Walioshiriki katika maandamano hayo walitoa heshima za dhati kwa mashujaa hao huku wakiiani vikali serikali ya Marekani kwa kujihusisha na mauaji hao.
Endelea ... -
habari za picha
Maandamano makubwa yafanyika mjini New Delhi India kupinga mauaji ya Marekani dhidi ya kamanda Qasim Soleimani na wenzake
Januari 13, 2020 - 8:10 AMShirika la habari AhlulBayt (a.s) ABNA: mamia ya wananchi wa mji wa (New Delhi) ambao ni mji mkuu wa India wamemiminika barabarani siku ya Jumapili kupinga mauaji ya kigaidi yaliofanywa na serikali ya Marekani dhidi ya Kamanda Qasim Soleimani na Abumahdi Almuhandisi pamoja na waambata wao. Walioshiriki katika maandamano hayo, walikuwa wameshika picha za mashujaa waliowawa kikatili na serikali ya Trump, kwa upande mwingine wakiwa na picha za kiongozi muadhamu wa mapinduzi ya kiislamu ya Iran Ayatollah Sayed Ali Khamenei na kiongozi wa kikundi cha Hizbullah Sayed Hasan Nasrullah nk, huku wakiwa wanalaani vikali utawala wa Marekani na utawala haramu wa Israel kwa kujihusisha na mauaji hayo. Alkadhalika wiki iliopita mamia ya waislamu wa India walikusanyika mkabala na ubalozi wa Marekani mjini New Delhi kwaajili ya kuonyesha kutoridhishwa kwao na kitendo cha kigaidi cha utawala wa Marekani.
Endelea ... -
habari za picha
Mamilioni ya wananchi wa Kerman Kuagwa mwili wa kamanda Qasim Soleimani
Januari 8, 2020 - 11:17 PMShirika la habari AhlulBayt (a.s) ABNA: mamilioni ya wananchi wa Kerman wafurika katika mji huo kwaajili ya kuaga mwili wa kamanda Qasim Soleimani, ambapo mji ndio mahala alipozaliwa na ambapo atazikwa katika mahala hapo
Endelea ... -
habari za picha
Kuagwa kwa miili ya makamanda Qasim Soleimani na Abumahdi Almuhandisi na waambata wao katika mji wa Qom
Januari 8, 2020 - 10:59 PMShirika la habari AhlulBayt (a.s) ABNA: mamilioni ya wananchi wa Qom wafurika katika barabara za mji wa Qom kwaajili ya kuaga miili ya makamanda Qasim Soleimani na Abumahdi Almuhandisi na waambata wao.
Endelea ... -
habari za picha
Kuagwa kwa miili ya makamanda Qasim Soleimani na Abumahdi Almuhandisi na waambata wao katika mji wa Ahvaz
Januari 8, 2020 - 10:27 PMShirika la habari AhlulBayt (a.s) ABNA: mamilioni ya wananchi wa Ahvaz wafurika katika barabara mji wa Ahvaz kwaajili ya kuaga miili ya makamanda Qasim Soleimani na Abumahdi Almuhandisi na waambata wao
Endelea ... -
habari za picha
Kuagwa kwa miili ya makamanda Qasim Soleimani na Abumahdi Almuhandisi na waambata wao katika haramu ya Imam Ali
Januari 8, 2020 - 9:33 PMShirika la habari AhlulBayt (a.s) ABNA: maelfu ya wananchi wa Iraq wafurika katika Haram ya Imam Ali “mahala alipozikwa Imam Ali bin Abitwalib” katika mji mtukufu wa Najaf Ashraf kwaajili ya kuaga mwili wa makamanda Qasim Soleimani na waambata wao
Endelea ... -
habari za picha
Maandamano dhidi ya Marekani nchini Pakistani wakipinga mauaji ya kamanda Qasim Soleiman
Januari 7, 2020 - 11:26 PMShirika la habari AhlulBayt (a.s) ABNA: kufuatia mauaji ya kikatili yaliofanywa na utawalka wa Marekani na Israel dhidi ya Kamanda Qasim Soleiman na Abumahdi Almuhandisi pamoja na waambata wao, wananchi wa Pakistan katika mji wa Karachi wameandamana katika maeneo mbalimbali ya mji huo kupinga mauaji hayo ya kikatili yaliofanywa na majeshi ya Marekani katika kiwanja cha ndege cha Baghdad nchini Iraq
Endelea ... -
Ayatullah Khamenei: Tunafuata nyayo za Sayyidu Shuhadaa, hatutasalimu amri mbele ya Marekani
Oktoba 14, 2019 - 10:31 AMKiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa kwa mujibu wa falsafa ya harakati ya Bwana wa Mashahidi (Imam Hussein bin Ali (as)), taifa la Iran linakutambua kupambana na kambi ya ukafiri, uzayuni na Marekani kuwa ni wajibu wake, na kutosalimu amri kwa Iran mbele ya Marekani kunafanyika kwa msingi huo.
Endelea ... -
Maalum kwa mtandao wa Alkafeel: Picha za matembezi ya Towareji ya kuomboleza
Septemba 12, 2019 - 11:40 AMPicha za matembezi ya Towareji ya kuomboleza yaliyo fanyika leo Jumanne mwezi kumi Muharam (1441h) sawa na (10 Sptemba 2019m) baada ya swala ...
Endelea ...