-
serviceKiongozi Muadhamu atoa mkono wa pole kufuatia mripuko 'mchungu' kusini mwa Iran
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei ametoa salamu za rambirambi kwa familia zinazoomboleza wahanga wa mripuko "mchungu" katika Bandari ya Shahid Rajaee katika mji wa kusini…
-
serviceDuru ya nne ya mazungumzo ya Iran na Marekani kufanyika karibuni
Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran, Ismail Baqaei, amesema kuwa, duru ya nne ya mazungumzo yasiyo ya moja kwa moja kati ya Iran na Marekani itafanyika Jumamosi ijayo huko Muscat, Oman.
-
serviceAraghchi: Kuendelea kuzingirwa Gaza na kuuawa watu wasio na hatia ni jinai isiyo na mfano
Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kuendelea kuzingirwa Gaza na kuuawa watu wasio na hatia ni jinai isiyo na mfano katika historia ya mwanadamu.
-
serviceRais Pezeshkian: Mafungamano ya kihistoria ya Iran na Azerbaijan ni ufunguo wa maendeleo ya ushirikiano
Rais Masoud Pezeshkian wa Iran amesema kuwa, mafungamano ya kihistoria kati ya ya Iran na Azerbaijan yanafungua njia ya maendeleo ya ushirikiano kati ya nchi hizo mbili.
-
serviceHabari ya Kusikitisha | Uhalifu Mpya wa Marekani na Mauaji ya Watoto na Raia Wasio na Hatia huko Yemen + Picha
Kwa mujibu wa Shirika la Habari Ahlul-Bayt (a.s) - ABNA - Ndege za kivita za Marekani katika uhalifu wao wa hivi karibuni zimelipua maeneo ya makazi katika Mji Mkuu wa Yemen na kuwaua makumi ya watu, wakiwemo wahamiaji…
-
serviceUfunguzi wa Masomo katika Madrasat Al-Hadi Islamic Center ulioambatana na Kisomo cha Qur'an Tukufu - Nchini Malawi + Picha
Shirika la Habari la Ahlul-Bayt (a.s) - ABNA - Leo hii tarehe 28 April, 2025, imekuwa ni siku rasmi ya ufunguzi wa masomo katika Madrasat Al-Hadi Islamic Center iliyopo chini ya Uwakilishi wa Jamiat Al-Mustafa (s)…
-
serviceUjumbe wa Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu kufuatia tukio la moto katika Bandari ya Shahid Rajaei, Bandar Abbas
Ayatollah Khamenei amewaombea Marehemu rehma na msamaha kutoka kwa Mwenyezi Mungu, na amewatakia familia za wahanga subira na utulivu wa moyo. Vilevile, amewaombea majeruhi wapate uponyaji wa haraka.
-
special-issueMwanakaligrafia wa Bahrain asema kuandika Qur'an kwa mkono kumeongeza hamasa kwa Kaligrafia ya Kiarabu
Mwanakaligrafia kutoka Bahrain amesema kuwa wazo lake la kuandika Qur'ani kwa mkono limeongeza idadi ya watu wanaovutiwa na sanaa ya kaligrafia ya Kiarabu.
-
serviceIran iko tayari kuimarisha mahusiano na Afrika katika nyanja zote
Rais Masoud Pezeshkian wa Iran amesisitiza uwezo wa bara la Afrika na ulazima wa kuwepo ushirikiano na kwamba, IIran iko tayari kupanua ushirikiano wake na bara la Afrika katika nyanja zote.
-
serviceWanachuo wampigisha magoti Trump, awarejeshea viza
Utawala wa Trump umelazimika kuwarejeshea viza maelfu ya wanafunzi wa kigeni wanaosoma nchini Marekani ambao alikuwa amewafutia vibali vya kuishi nchini humo kutokana na kuunga mkono Palestina na kulaani jinai za…
-
serviceZelensky: Kombora lililoua raia 12 Kiev lilikuwa na vifaa vilivyotengezwa na makampuni ya silaha ya Marekani
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskyy amedai kuwa vifaa vilivyotengenezwa na makampuni ya Marekani vilipatikana kwenye kombora lililotumiwa kushambulia mji mkuu wa nchi hiyo Kyiv mapema wiki hii na kuua watu 12.
-
serviceUN yatuma salamu za pole na rambirambi kwa wananchi na serikali ya Iran kufuatia mripuko wa Bandar Abbas
Umoja wa Mataifa umetuma salamu za pole kwa wananchi na serikali ya Iran kufuatia mripuko mkubwa uliotokea katika bandari ya Shahidi Rajaee kusini mwa Iran jana Jumamosi.