-
Mkesha wa kwanza wa Laylatul Qadr waadhimishwa Iran na maeneo mengine duniani
Usiku wa kuamkia leo Alkhamisi yaani mwezi 19 Ramadhani, ulikuwa ni mkesha wa kwanza wa Laylatul…
-
Baqaei alaani hujuma za kijeshi dhidi ya Yemen na mauaji ya kimbari Ukanda wa Gaza
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani kuendelea mashambulizi ya anga ya Marekani…
-
Salamu za Nouruzi za Rais Pezeshkian kwa Wairan: Tutaifanya qadar yetu iwe bora na tukufu zaidi
Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameeleza katika ujumbe na salamu zake…
-
Tutajitahidi kufanya thamani yetu kuwa bora zaidi na ya juu zaidi kuliko ilivyo kwa sasa katika mzunguko mpya wa nyakati
Akisema kwamba Nowruz na na Nyusiku za Lailat al-Qadr ni miale miwili ya nuru moja na madhihirisho…
-
Jeshi la Yemen limeushambulia uwanja wa ndege wa "Ben Gurion"
Jeshi la Yemen limetangaza shambulizi la kulipiza kisasi la kombora kwenye uwanja wa ndege…
-
Ujumbe wa Waziri wa Miongozo katika hafla ya Nowruz na Nyusiku za Lailat -ul- Qadr
Waziri wa Utamaduni na Miongozo ya Kiislamu, kwa mnasaba wa kuwasili kwa Nowruz ya mwaka mpya…
-
Iran yakosoa vikali uingiliaji wa nchi za Magharibi katika kazi za Baraza la Haki za Kibinadamu UN
Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Ofisi ya Umoja wa Mataifa…
-
Masharti ya Iran katika kufanya mazungumzo na nchi za Magharibi
Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetangaza wazi masharti yake ya kufanya mazungumzo na nchi za…
-
Iran imeuza madini yenye thamani ya dola bilioni 12 katika kipindi cha mwaka mmoja
Mauzo ya nje ya madini ya Iran yameongezeka katika miezi 11 ya mwaka wa Kiirani hadi mwishoni…
-
Hizbullah: Lebanon haitaanzisha katu uhusiano wa kidiplomasia na utawala wa Kizayuni Israel
Mwakilishi wa Hizbullah katika Bunge la Lebanon amesisitizia msimamo wa kudumu wa nchi hiyo…
-
UNICEF: Asilimia 90 ya wakazi wa Ghaza wanashindwa kupata maji safi ya kunywa
Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF) limetahadharisha kuwa uhaba mkubwa…
-
Israel imeficha gharama za vita
Vyombo vya habari vya Israel vimeripoti kuwa gharama za vita za utawala huo zimefichwa mwaka…
-
Baqaei: Chanzo cha ukosefu wa amani Asia Magharibi ni mauaji na kukaliwa Palestina
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani hujuma za majeshi ya Marekani na Uingereza…
-
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu: Bila shaka yoyote taifa la Yemen litaibuka mshindi
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amelipongeza taifa…
-
Sisitizo la Iran la kukabiliana na siasa za mabavu za Marekani
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Seyed Abbas Araghchi alisema Jumapili, Machi 16, katika kujibu…
-
Baqaei: Jumbe za Marekani zinakinzana
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa jumbe zinazotoka Marekani zinakinzana…
-
Video | Sherehe ya kufunga warsha ya "Wanawake na Upinzani (Muqawamah)" iliyoandaliwa na Tamasha la Kimataifa la Filamu la Upinzani (Muqawamah).
Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Kimataifa la Ahl al-Bayt (AS) - Abna - Hafla ya kufunga…
-
Ripoti ya Picha | Kusherehekea Saumu ya Kwanza katika Zainabiyah, Isfahan
Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Ahl al-Bayt (AS) - Abna - Sherehe ya mfungo wa kwanza imefanyika…
-
Dk. Pezeshkian: Ikiwa mwongozo wa Qur'an hauonekani katika matendo na maisha yetu, basi tunapaswa kufikiria upya tabia zetu.
Akisisitiza umuhimu wa kuunganisha maarifa ya Qur'an na matendo ya kijamii, Rais wa Iran amesema:…
-
Waziri Mkuu mteule asema Greenland katu haitauzwa, aitaka Ulaya isimame nayo kukabiliana na Trump
Waziri Mkuu mteule wa Greenland Jens-Frederik Nielsen ameziomba nchi za Ulaya zisimame pamoja…