Tite2
-
Vipande 62 vya Mabaki ya Miili ya Wanafunzi Waliodhulumiwa wa Minab vimepatikana na kufanyiwa vipimo vya DNA
Vipande 62 vya mabaki ya miili ya wanafunzi wa Minab vimefanyiwa vipimo vya DNA na kubainika…
-
Chuo cha Kimataifa cha Al-Mustafa (s) Dar es Salaam Chaendelea Kuimarisha Elimu ya Qur'an Tukufu +Picha
Darasa la mafunzo ya Qur'an Tukufu limeendelea katika Chuo cha Kimataifa cha Al-Mustafa (s)…
-
Iraq yatangaza vituo vya mipakani kwa raia wa kigeni na wahamiaji watakaoshiriki Arubaini ya Imam Husayn (as)
Serikali ya Iraq imetangaza taratibu za kuingia na kutoka nchini kupitia vituo maalumu vya…
-
Waumini Nakuru, Kenya Waadhimisha Kumbukumbu ya Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran kwa Dua na Maombolezo +Picha
Waumini mjini Nakuru nchini Kenya wamekusanyika katika hafla ya maombolezo na dua kwa ajili…
-
Marasimu ya Maombolezo na Kumbukumbu ya Imam Shahidi Yaandaliwa katika Haram ya Bibi Fatima Ma'suma (s.a) Qom +Picha
Sherehe ya kuenzi kumbukumbu ya Imam Shahidi, Sayyid Ali Khamenei (Mwenyezi Mungu ainue daraja…
-
Shule ya Wasichana Yaadhimisha Shahada ya Imam Sajjad (a.s.) kwa Majlisi ya Maombolezo +Picha
Majlisi ya maombolezo ya kumbukumbu ya shahada ya Imam Ali ibn al-Husayn As-Sajjad (a.s.) imefanyika…
-
Tazama Waombolezaji Walivyodhihirisha Mapenzi ya Dhati kwa Shahidi Sayyid Ali Hussein Khamenei (ra) Wakisubiri Kuwasili kwa Mwili Wake +Picha
Waombolezaji walikesha katika maeneo ya mazishi wakiwa wamelala huku wakikumbatia picha za…
-
Mwili wa Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu na Mashahidi wa Familia Yake Wawasili Mashhad Ukisindikizwa na Ndege za Kivita +Video
Ndege za kivita za Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran zimesindikiza ndege iliyobeba mwili…
-
Kisa cha Kihistoria:Jinsi na Kwa Nini Shahidi Hujjatul Islam Sayyid Abdul Karim Hashimi Nejad Aliuawa na Shirika la Kigaidi la Mujahideen-e Khalq /MEK
Kwa mujibu wa simulizi za kihistoria, kuuawa kwa Shahidi Hujjatul Islam Sayyid Abdul Karim…
-
Hali na Matukio mbalimbali ya Karbala Jinsi Yalivyokuwa Wakati wa Kumpokea Imam Shahidi Sayyid Ali Khamenei (ra) +Picha
Mji Mukufu wa Karbala jana ulitawaliwa na huzuni kubwa na hali ya maombolezo pindi Waumini…
-
Wanafunzi wa Jamiat AlMustafa(s)Tanzania Washiriki Mazishi ya Ayatollah Imam Sayyid Ali Khamenei(ra) Wakifuatilia Moja kwa Moja Kupitia Mtandao+Picha
Wanafunzi wa Taasisi ya Kimataifa ya Al-Mustafa nchini Tanzania walifuatilia kwa njia ya matangazo…
-
Swala ya Maiti Yasalishwa kwa Mwili wa Ayatollah Sayyid Ali Husseini Khamenei katika Haram ya Amirul Muuminiin (a.s.) mjini Najaf + (Video 7 +Picha 4)
Swala ya maiti ya Ayatollah Sayyid Ali Husseini Khamenei imesaliwa katika Haram Tukufu ya Amirul…
-
Mwili wa Kiongozi Shahidi Ayatollah Sayyid Ali Khamenei Wafikishwa katika Haram ya Imam Hussein (a.s.) Karbala +Picha
Mwili mtukufu wa Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatollah Sayyid Ali Hussein Khamenei,…
-
Msiba wa mwili mtakatifu wa kiongozi aliyeuawa wa mapinduzi na familia yake katika mji mtakatifu wa Qom.
Ibada kuu ya mazishi ya mwili mtakatifu wa kiongozi aliyeuawa wa mapinduzi na familia yake…
-
Malawi: Waumini Wakamilisha (Kisomo) Khatmu ya Qur'an Tukufu kwa Ajili ya Roho na Nafsi ya Shahidi Sayyid Ali Khamenei +Picha
Waumini nchini Malawi wamekusanyika katika Shule ya Al-Hadi chini ya uwakilishi wa Al-Mustafa…
-
Viongozi wa Dini na Serikali Waungana na Mamilioni ya Wananchi Katika Mji wa Qom kushiriki Mazishi ya Shahidi Sayyid Ali Khamenei +Picha
Maulamaa, wanazuoni, viongozi wa kidini na serikali pamoja na mamilioni ya wananchi kutoka…
-
Mamilioni Wafurika Qom Kumuaga na Kumuenzi Shahidi Ayatollah Sayyid Ali Khamenei +Picha
Mamilioni ya waombolezaji walikusanyika katika Msikiti wa Jamkaran mjini Qom kushiriki katika…
-
Maelfu na Mamilioni ya Waombolezaji Washiriki Katika Mazishi ya Shahidi Ayatollah Sayyid Ali Khamenei nchini Iran+Picha
Mamilioni ya waombolezaji kutoka maeneo mbalimbali ya Iran na baadhi ya nchi nyingine walijitokeza…
-
Mazishi ya miili mitakatifu ya kiongozi mshahidi wa Mapinduzi mjini Tehran
Sherehe ya mazishi ya miili mitakatifu ya Imam-Mujahid-Shahidi, Eminence yake Ayatollah Mkuu…
-
Dunia Yashuhudia Mamilioni ya Waombolezaji Wakimzika Shahidi Ayatollah Sayyid Ali Khamenei +Picha
Mamilioni ya watu walifurika katika mitaa ya mji mkuu wa Tehran kushiriki mazishi ya Kiongozi…