Majeshi ya Majini ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Russia yatafanya mazoezi ya pamoja ya kivita kaskazini mwa Bahari ya Hindi. Hayo yamedokezwa na Admeri Habibullah Sayyari, Mratibu Mkuu wa Majeshi ya Iran ambaye ameongeza kuwa: "Kufanyika mazoezi hayo ni dhihirisho la nguvu za Majeshi ya Iran."
Endelea ...-
-
Jeshi la Iran la IRGC lafanya majaribio makubwa ya makombora mapya + Video
Januari 16, 2021 - 1:56 alasiriJeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) linafanya mazoezi makubwa ya makombora katika jangwa la kati mwa Iran ambapo limefanyia majaribio makombora mapya ya balistiki na ndege za kivita zisizo na rubani.
Endelea ... -
Mtazamo wa Kiongozi Muadhamu; fedheha ya kidemokrasia ya Marekani na mustakabali wa JCPOA
Januari 9, 2021 - 6:26 alasiriKiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametoa hotuba muhimu kwa mnasaba wa siku ya leo ya maadhimisho ya mapambano ya Dei 19 ya wananchi wa Qum dhidi ya utawala wa kiimla wa Shah ambapo ameashiria matukio ya hivi karibuni nchini Marekani, sharti la Iran la kurejea Washington katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA na uwepo wa kieneo na uwezo wa kiulinzi wa Iran.
Endelea ... -
Iran Yazindua kituo kikubwa cha chini ya ardhi cha makombora Ghuba ya Uajemi + VIDEO
Januari 9, 2021 - 6:24 alasiriJeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) limezindua kituo kikubwa na cha kistratijia cha makombora chini ya ardhi katika eneo la Ghuba ya Uajemi.
Endelea ... -
Brigedia Jenerali Qaani: Njia ya Kikosi cha Quds haitabadilishwa kwa ushetani wa Marekani
Januari 2, 2021 - 12:06 alasiriKamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (Sepah) nchini Iran amesema kuwa Shahidi Qassem Soleimani ni shujaa wa taifa la Iran, Umma wa Kiislamu na vilevile shujaa wa kuyashinda madola ya kibeberu na kuongeza kuwa, njia ya Kikosi cha Quds na wanamuqawama haiwezi kubadilishwa kwa ushetani wa Marekani.
Endelea ... -
Iran italipiza kisasi mauaji ya mwanasayansi maarufu, shahidi Fakhrizadeh
Novemba 28, 2020 - 11:35 asubuhiWaziri wa Intelijensia wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa Iran italipiza kisasi kufuatia kuuawa shahidi Mohsen Fakhrizadeh ambaye alikuwa Mkuu wa Shirika la Utafiti na Ubunifu katika Wizara ya Ulinzi ya Iran.
Endelea ... -
Msafara wa kijeshi wa Marekani washambuliwa kwa mabomu Iraq
Julai 12, 2020 - 3:36 alasiriMsafara wa magari ya kijeshi ya Marekani umeshambuliwa kwa mabomu ya kuelekezwa kutoka mbali (VBIED) baina ya barabara ya Samawah na Diwaniyah, kusini mwa mji mkuu wa Iraq, Baghdad.
Endelea ... -
Jeshi la Anga la Iran lapokea ndege za kivita za 'Kauthar'
Juni 25, 2020 - 5:36 alasiriKikosi cha Anga cha Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kimepokea ndege tatu za kivita aina ya 'Kauthar' zilizotengenezwa na wataalamu wa humu nchini.
Endelea ... -
Mwafrika aokoa maisha ya mzungu mwenye chuki kali za kibaguzi nchini Uingereza + Video
Juni 15, 2020 - 12:28 alasiriKitendo cha uungwa na kiwango cha juu cha ubinadamu kilichooneshwa na rais mmoja wa Uingereza mwenye asili ya Afrika cha kuokoa maisha ya mzungu mwenye chuki kali za kibaguzi wakati wa ugomvi huko mjini London Uingereza, kimevigusa sana vyombo vya habari na mitandao ya kijamii.
Endelea ... -
Kwa uchache watu 11 wajeruhiwa Australia baada ya dereva mmoja kulipigiza gari na duka la Hijab + Video
Mei 21, 2020 - 5:35 alasiriKwa uchache watu 11 wamejeruhiwa baada ya gari moja kuvamia kwa makusudi duka moja la nguo za staha ya mwanamke Muislamu yaani Hijab huko Greenacre, New South Wales, Australia. Dereva wa gari hiyo amegonga gari nyingine kabla ya kukanyaga mafuta kwa nguvu zote na kuipigiza gari hiyo na duka hilo la Hijab.
Endelea ... -
Kim Jong-un, Kiongozi wa Korea Kaskazini aonekana hadharani
Mei 3, 2020 - 2:02 alasiriShirika la Serikali ya Korea Kaskazini limeripoti habari ya kuonekana hadharani kiongozi wa nchi hiyo.
Endelea ... -
Video: Mauaji ya kinyama dhidi ya vijana wa Kipalestina
Februari 24, 2020 - 10:18 asubuhiKwa kile kinachoaminika kuwa na mwendelezo wa unyama na ukatili dhidi ya Wapalestina, Wanajeshi wa Israel siku ya jana (Jumapili) wameendeleza mauaji hayo yaliyosababisha kifo cha kijana mmoja na wengine wanne kujeruhiwa.
Endelea ... -
Video: Je, hivi ndivyo magaidi namba moja huagwa?
Februari 14, 2020 - 11:34 asubuhi“...Jana usiku kwa amri yangu, Jeshi la Marekani liliweza kufanya shambulio makini sana bila ya kukosea, na kufanikiwa kumuua Gaidi namba moja wa ulimwengu, Qasem Suleimani...” haya yalikuwa ni maneno ya Rais Trump baada tu ya masaa machche kupita tangu kutokea kwa shambulio hilo.
Endelea ... -
Je, ni kweli Trump yupo pamoja na wananchi wa Iran? -Video
Januari 29, 2020 - 1:39 alasiriNi mara kadhaa Rais wa Marekani amekuwa akiashiria kusimama pamoja na wananchi wa taifa la Iran, lakini swali la kujiuliza hapa ni kwamba kwa kiasi gani na vipi maneno haya yanaendana na hali halisi?.
Endelea ... -
Video: Qasem Soleimani hakuwa na lingine zaidi ya kusimamia wanyonge
Januari 7, 2020 - 11:13 asubuhiMamia ya waumini wa Kikristo mjini Aleppo nchini Syria, wamekusanyika Katika kanisa lao kwa ajili ya kuomboleza na kukumbuka kifo cha Qasem Soleimani.
Endelea ... -
Mtuhumiwa mwengine wa mashambulizi ya Ubelgiji akamatwa
Machi 25, 2016 - 11:54 alasiriPolisi nchini Ubelgiji inasema imefanikiwa kumkamata mshukiwa mwengine wa mashambulizi ya kigaidi ya Jumanne mjini Brussels, huku kamata kamata ikiendelea kwa siku ya tatu mfululizo kote barani Ulaya.
Endelea ... -
Video Ikionyesha makundi ya magaidi wakiingia Syria kupitia mipaka ya Uturuki
Machi 10, 2016 - 1:31 asubuhiSerikali ya Uturuki ikishirikiana na Marekani na baadhi ya nchi za Ulaya zimekuwa mstari wa mbele katika kuhakikisha wanauangusha utawala halali wa Syria. kwa kutuma askari wanaojitolea kwa kulipwa pesa nyingi na kwenda kujiunga na makundi ya kigaidi wakipita mipaka ya Uturuki kuingia Syria.
Endelea ... -
Video ya Jenerali wa jeshi la Iran akigawa pipi kwa watoto katika maeneo ya vita nchini Syria
Machi 5, 2016 - 12:34 asubuhiJeneral Qasem Suleiman mtaalamu wa vita anayesifika duniani kwa ustadi wake katika uwanja wa vita, ambaye anaongoza vita dhidi ya magaidi wa Daeshi nchini Syria na Iraq. Jenerali huyu ndiye sababu kubwa ya Magaidi wa Daesh kuishiwa nguvu na kujikuta wakirudi nyuma siku baada ya siku.
Endelea ... -
Video ya Jeshi la Iran likikamata wanajeshi wa Marekani waliovuka mipaka yake
Januari 13, 2016 - 10:39 alasiriHii ni Video ya Jeshi la Iran likikamata wanajeshi wa Marekani waliovuka mipaka yake
Endelea ... -
Video ya Bint wa mfalme wa Saudia arabia akieleza masikitiko yake kufuatia mauaji yaliyofanywa na serikali yake dhidi ya Sheikh
Januari 11, 2016 - 12:14 asubuhiHii ni video ikinyesha binti wa mfalme wa Saudia arabia Sahar bint Abdullah bin Abdul aziz akielezea masikitiko yake kufuatia ufalme wa nchi hiyo kumuua mwanaharakati na mtetezi wa haki za raia wa nchi hiyo Sheikh Nimri
Endelea ... -
Video ya Jenerali mtaalam wa Vita wa Iran akiongoza vita dhidi ya magaidi Syria
Desemba 19, 2015 - 7:36 alasiriHii ni Video ya Jeneral Qassim Suleiman mtaalamu wa vita kutoka Iran ambaye anasifika kwa uwezo wake wa juu wa kuongoza vita, akiwa mstali wa mbele akiongoza vita dhidi ya magaidi nchini Syria. Jenerali huyu kwa sasa anaongoza vita nchini Syria na Iraq dhidi ya magaidi .
Endelea ... -
video ya matukio ya mauaji yaliyofanywa na jeshi la Nigeria dhidi ya waislamu wa dhehebu la Shia
Desemba 16, 2015 - 6:00 alasiriJeshi la Nigeria limevamia waislamu wa dhehebu la Shia na kuuawa mamia ya waumini hao ambao hawakuwa na silaha.
Endelea ... -
Video ya Mauaji yaliyofanywa na jeshi la Nigeria dhidi ya waislamu
Desemba 16, 2015 - 5:56 alasiriJeshi la Nigeria limevamia makazi ya kiongozi wa waislamu wa dhehebu la shia na kuua mamia ya watu katika mji wa Kaduna Jeshi la Nigeria badala ya kuwalinda waumini hawa, limechukua jukumu la kuwasaidia Bokoharam kuwaua waumini hawa madhulumu.
Endelea ... -
Video ya mlemavu akijikongoja kuelekea Karbalaa
Desemba 7, 2015 - 3:07 alasiriHii ni video ya mlemavu wa miguu akijikongoja kuelekea Karbalaa kwa ajili ya kushiriki arobaini ya mjukuu wa mtume Muhammad s.a.w Imam Husein a.s
Endelea ... -
Video Mashia wakiombeleza arobain ya Imam Husein
Desemba 7, 2015 - 2:59 alasirihii ni video ya waislamu wa dhehebu la shia wakiombeleza arobain ya Imam Husein
Endelea ... -
Video ya wanajeshi wa Hizollah wa Iraq wamewateka mamia ya magaidi wa Daesh
Julai 7, 2015 - 2:44 asubuhiHii ni video ya wanajeshi wa Jeshi la kishia la Hizbullah la Iraq likiwa limewateka mamia ya magaidi wa Daesh.
Endelea ... -
Video ya gaidi aliyejitolea muhanga katika sala ya Ijumaa Kuwait
Julai 7, 2015 - 2:36 asubuhiHii ni video ya Gaidi aliyejiripua wakati waumini wa kiislamu wa dhehebu la Shia wakiwa katika ibada ya sala ya ijumaa,kuwait
Endelea ... -
Video ya ndege isiyo na rubani ya Hizbullah ikishambulia maeneo ya magaidi wa Daesh
Julai 7, 2015 - 2:31 asubuhihii ni video ya ndege isiyo rubani ya jeshi la Hizbullah ikifanya mashambulizi dhidi ya kikundi cha kigaidi cha Daesh mipakani mwa syria na Lebanon
Endelea ... -
Video ya Magaidi wa Daesh wakifanya mauaji
Julai 7, 2015 - 12:56 asubuhiHii ni video ya mauaji yanayofanywa na wapiganaji wa kikundi cha kigaidi cha Daesh kinachohadai watu kuwa kina lengo la kutengeneza dola la kiislam.
Endelea ...
- 1