Siku kama hii ya leo ni siku ulimwengu uliondokewa na mwanazuni muhimu katika historia ya kiislamu nae Imam Jaafar Saadiq(as) mwalimu mwenye taathira kubwa katika kuendeleza harakati za uislamu. Endelea ...
-
-
Afrika imehusika kidogo mno na uchafu wa mazingira, lakini ndiyo inayoathirika zaidi duniani
Mei 26, 2022 - 4:46 PMUchunguzi mpya uliofanywa na Mo Ibrahim unaonesha kuwa, nchi zote za bara la Afrika, zimechangia kwa asilimia 3.3 tu ya uzalishaji wa gesi chafu na uchafuzi wa mazingira duniani tangu mwaka 1960, lakini pamoja na hayo, nchi za bara hilo ndizo zinazoathiriwa zaidi mabadiliko ya tabianchi. Endelea ...
-
Vitoto vichanga 11 vyatekeketea kwa moto hospitalini nchini Senegal
Mei 26, 2022 - 4:46 PMWatoto wachanga 11 wamefariki dunia katika ajali ya moto iliyotokea kwenye hospitali moja ya mji wa Tivaouane wa magharibi mwa Senegal. Endelea ...
-
Indhari ya Antonio Guterres kuhusu ukimbizi; Asia Magharibi kitovu cha mgogoro
Mei 26, 2022 - 4:45 PMAntonio Guterres, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amekosoa vikali mwenendo wa kulazimika watu wa mataifa mbalimbali kuyakimbia makazi yao na kuutaja ukimbizi kuwa ni mgogoro wa kisiasa. Endelea ...
-
Nasrullah: Hatua yoyote dhidi ya Msikiti wa al-Aqswa itapelekea kutokea mlipuko Asia Magharibi
Mei 26, 2022 - 4:44 PMKatibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon sambamba na kuuonya utawala haramu wa Israel amesisitiza kuwa, hatua yoyote iliyo dhidi ya Msikiti wa al-Aqswa italilipua eneo la Asia Magharibi. Endelea ...
-
Iran: Tuna nia ya kweli ya kufikia mapatano imara na madhubuti ya nyuklia
Mei 26, 2022 - 4:44 PMWaziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Tehran ina ni ya kweli ya kufikia makubaliano yenye nguvu na madhubuti ya nyuklia katika mazungumzo ya mjini Vienna Austria. Endelea ...
-
ICC yatakiwa ichunguze uhalifu wa kivita wa Israeli Gaza
Mei 26, 2022 - 4:43 PMMashirika kadhaa ya kutetea haki za Wapalestina yameikabidhi Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) maelezo ya kina kuhusu jinai za kivita na jinai dhidi ya binadamu zilizofanywa na utawala wa Israel wakati wa hujuma zake za kijeshi dhidi ya Wapalestina katika Ukanda wa Gaza mwaka 2021. Endelea ...
-
Mauaji mapya ya ufyatuaji risasi huko Marekani na radiamali ya pupa ya Biden
Mei 26, 2022 - 4:42 PMKatika kisa kingine cha ufyatuaji risasi dhidi ya umati nchini Marekani ambacho kimepelekea kuuawa wanafunzi wengi ya shule ya msingi, Rais Joe Biden wa nchi hiyo kama alivyofanya katika siku za nyuma, ametoa radiamali ya pupa na isiyo ya busara katika uwanja huo. Endelea ...
-
Seneta Murphy: Kununua silaha Marekani ni rahisi kuliko kununua mnyama wa kufuga
Mei 26, 2022 - 4:42 PMSeneta wa chama cha Republican amekiri kwamba, kununua silaha nchini Marekani ni rahisi mno kuliko hata kununua mnyama wa kufuga. Endelea ...
-
Rais wa zamani wa Gambia, Yahya Jammeh, kuburuzwa mahakamani karibuni hivi
Mei 26, 2022 - 4:41 PMSerikali ya Gambia imekubaliana na mapendekezo yaliyotolewa na tume ya ukweli na maelewano iliyopendekeza rais wa zamani wa nchi hiyio, Yahya Jammeh apandishwe kizimbari kwa tuhuma za mauaji na utesaji watu wakati wa utawala wake. Endelea ...
-
Kissinger: Kufeli mazungumzo ya Russia na Ukraine kutakuwa na madhara makubwa kwa Ulaya
Mei 26, 2022 - 4:40 PMWaziri wa zamani wa mambo ya nje wa Marekani amesema kuwa, kufeli juhudi za kuitisha mazungumzo baina ya Ukraine na Russia kutakuwa na madhara makubwa ya muda mrefu kwa nchi za Ulaya. Endelea ...
-
Watu zaidi ya elfu 15 wameuawa mashariki mwa DRC tangu mwaka 2007
Mei 25, 2022 - 6:00 PMRaia zaidi ya 15,000 wameuawa kwa sababu ya vita kwa kipindi cha miaka 15 iliyopita, Wilayani Beni, jimbon Kivu Kaskazini pamoja na Irumu na Mambasa, mkoani Ituri, mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Endelea ...
-
HAMAS yawataka Wapalestina kujitokeza kwa wingi kuutetea Msikiti wa al-Aqswa
Mei 25, 2022 - 6:00 PMMsemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amewatolea wito Wapalestina wote kujitokeza kwa wingi katika msikiti wa al-Aqswa kwa ajili ya kulitetea eneo hilo takatifu. Endelea ...
-
Jeshi la Yemen latungua ndege ya tatu ya kijasusi ya Saudi Arabia
Mei 25, 2022 - 5:59 PMJeshi la Yemen limetangaza kuwa limefanikiwa kutungua droni yaani ndege isiyo na rubani ya Saudi Arabia katika eneo la kaskazini magharibi mwa Yemen. Endelea ...
-
Mkuu wa maulamaa wa Iraq: Marekani inadhamini 85% ya silaha za DAESH (ISIS)
Mei 25, 2022 - 5:57 PMMkuu wa Muungano wa Maulamaa wa Kiislamu Iraq amesema, Marekani ndiyo inayodhamini asilimia 85 ya silaha za kundi la kigaidi na ukufurishaji la DAESH (ISIS). Endelea ...
-
Uturuki yazidi kustawisha uhusiano na Israel, waziri wake wa mambo ya nje awasili Tel Aviv
Mei 25, 2022 - 5:56 PMWaziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki Mevlut Cavusoglu amewasili uwanja wa ndege wa Ben Gurion mjini Tel Aviv katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu (Israel). Endelea ...
-
Iran yasambaratisha genge la magendo ya silaha kusini mashariki mwa nchi
Mei 25, 2022 - 5:55 PMKaimu Kamanda wa Jeshi la Polisi la mkoa wa Sistan va Balichustan ametangaza habari ya kusambaratishwa genge la magendo ya silaha kwenye mkoa huo wa kusini mashariki mwa Iran. Endelea ...
-
Uhaba wa chakula duniani na matokeo yake
Mei 25, 2022 - 5:51 PMLinda Thomas Greenfield, balozi wa Marekani katika Umoja wa Mataifa ametangaza kuwa, indhari ya uhaba wa chakula duniani inayotokana na vita vya Ukraine na Rusia imefikia katika kiwango cha juu kabisa na mazingira ya akthari ya watu ulimwenguni ya kupata chakula yamezidi kuwa magumu siku baada ya siku. Endelea ...
-
Kiongozi Muadhamu: Kudumu kuwa mwanamapinduzi ni muhimu zaidi kuliko kuwa tu mwanamapinduzi
Mei 25, 2022 - 5:50 PMKiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa kuendelea kubaki kuwa mwanamapinduzi ni muhimu zaidi kuliko kuwa tu mwanamapinduzi. Endelea ...
-
Mazungumzo ya siri ya Marekani na Saudia; Riyadh iko mbioni kuanzisha uhusiano wa kawaida na Israel
Mei 25, 2022 - 5:48 PMDuru za kuaminika zinaripoti kuwa, kuna mazungumzo ya siri yanafanyika baina ya Marekani na Saudi Arabia ili kuandaa mazingira ya kuanzishwa uhusiano wa kawaida wa Riyadh na utawala wa Kizayuni wa Israel. Endelea ...
-
Jinai mpya Marekani, watoto wadogo 19 wauliwa kwa umati na gaidi shuleni
Mei 25, 2022 - 5:48 PMTelevisheni ya CNN ya Marekani imeripoti kuwa watoto wadogo wasiopungua 19 wameuawa kwa umati baada ya gaidi mmoja aliyetajwa kwa jina la Salvador Ramos kuvamia shule yao huko Uvalde Texas jana Jumanne kwa wakati wa eneo hilo. Endelea ...
-
Dk Tedros Adhanom achaguliwa tena kwa muhula wa pili kuwa Mkurugenzi Mkuu wa WHO
Mei 25, 2022 - 5:46 PMNchi wanachama wa Shirika la Afya Duniani (WHO) jana Jumanne zilithibitisha kuchaguliwa tena Dk Tedros Adhanom Ghebreyesus kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya la Umoja wa Mataifa kwa kipindi kingine cha pili. Endelea ...
-
Mfumuko wa bei za vyakula, mgogoro wa pili kwa ukubwa UK; vikwazo vya Russia vyachangia
Mei 25, 2022 - 5:45 PMMatokeo ya uchunguzi wa maoni waliofanyiwa wananchi wa Uingereza yanaonesha kuwa, mfumuko wa bei za vyakula umefikia kiwango cha juu kabisa nchini humo kuliko miaka 13 iliyopita na kwamba mfumuko huo ni mgogoro wa pili kwa ukubwa huko Uingereza baada ya kupanda vibaya bei ya nishati. Endelea ...
-
Indhari; hali mbaya kabisa ya uchumi wa dunia kuwahi kushuhudiwa tangu Vita vya Pili vya Dunia
Mei 25, 2022 - 5:44 PMBaada ya miaka miwili ya msambao wa maradhi ya Covid-19 pamoja na matokeo mabaya yaliyosababishwa na janga hilo na katika hali ambayo, mataifa mbalimbali yalikuwa katika mkakati wa kuboresha uchumi, kutokea vita vya Ukraine na Russia kumevuruga zaidi hali ya uchumi wa dunia. Endelea ...
-
Katibu Mkuu wa UN: Dunia inakabiliwa na kitisho cha Vita vipya Baridi
Mei 25, 2022 - 5:42 PMKatibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ametahadharisha kuwa, dunia hivi sasa inakabiliwa na kitisho cha Vita vipya Baridi vinavyoambatana na uchukuaji hatua za kinyuklia pamoja na changamoto zingine mbalimbali. Endelea ...
-
Jibu la Pakistan kwa msimamo wa India kwamba Kashmir itaendelea kuwa sehemu ya ardhi yake
Mei 24, 2022 - 6:16 PMMwakilishi wa Pakistan katika Umoja wa Mataifa amepinga msimamo uliotangazwa na India kwamba eneo la Kashmir halitatenganishwa na ardhi ya nchi hiyo na akasisitiza kwa mara nyingine tena kuwa, Jamu na Kashmir haijawahi na wala katu haitakuwa sehemu ya India; na New Delhi haina haki yoyote katika eneo hilo. Endelea ...
-
Upeo mpya katika uhusiano wa Iran na Oman kufuatia safari ya Raisi mjini Muscat
Mei 24, 2022 - 6:15 PMKufuatia safari ya Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Oman, upeo mpya umefunguliwa katika uhusiano na ushirikiano wa nchi hizi mbili. Endelea ...
-
Jeshi la Yemen latungua ndege ya kivita ya Saudia katika anga ya Sana'a
Mei 24, 2022 - 6:14 PMMuungano vamizi unaoongozwa na Saudi Arabia umerusha ndege ya kivita isiyo na rubani katika anga ya mji mkuu wa Yemen, Sana'a kwa lengo la kutekeleza oparesheni za kichokozi lakini Jeshi la Yemen limefanikiwa kuitambua ndege hiyo vamizi ya adui na kuitungua papo hapo. Endelea ...
-
Iran na Afrika Kusini zitilia mkazo wajibu wa kustawishwa uhusiano baina yao
Mei 24, 2022 - 6:13 PMNaibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran katika masuala ya kisiasa ametilia mkazo wajibu wa kuimarishwa ushirikiano baina ya nchi yake na Afrika Kusini na kusisitiza kuwa, kutiwa nguvu ushirikiano baina ya Tehran na Pretoria ni jambo la dharura sana kwa ajili ya kupambana na fikra potofu ya kila nchi kujikumbizia mambo yote upande wake. Endelea ...
-
Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran na Oman wafanya mazungumzo mjini Muscat
Mei 24, 2022 - 6:13 PMMawaziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Oman wamefanya mazungumzo ya pamoja mjini Muscat na kutilia mkazo wajibu wa kuimarishwa zaidi na zaidi uhusiano wa nchi hizi mbili ndugu. Endelea ...