Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema kuwa, harakati hiyo kamwe haitoruhusu utawala wa Kizayuni uendelee kufanya jinai dhidi ya Msikiti wa al Aqsa (Kibla cha Kwanza cha Waislamu).
Endelea ...-
-
Sayyid Nasrullah: Utawala wa kibaguzi wa Israel utaangamia
Mei 28, 2020 - 1:50 alasiriKatibu Mkuu wa Harakati ya Muqawama ya Hizbullah ya Lebanon amesema utawala wa Kizayuni wa Israel utasambaratika na kuangamia na kwamba matukio yote yanayoshuhudiwa hivi sasa katika eneo la Asia Magharibi yapo dhidi ya maslahi ya utawala huo pandikizi.
Endelea ... -
Kiongozi Muadhamu: Mhalifu mkuu wa maafa ya Palestina ni serikali za Magharibi na siasa zao za kishetani
Mei 22, 2020 - 3:05 alasiriAyatullah Ali Khameni, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameashiria ukubwa wa maafa ya kughusubiwa nchi ya Palestina na kubuniwa kwa donda la saratani la uzayuni na kusisitiza kwamba mhalifu mnkuu wa maafa ya Palestina ni serikali za nchi za Magharibi na siasa zao za kishetani.
Endelea ... -
Siku ya Kimataifa ya Quds: Viongozi wa Hamas, Ansarullah na Hizbullah wazungumza
Mei 21, 2020 - 5:46 alasiriMkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) amesema "Muamala wa Karne" unakusudia kusambaratisha kadhia ya Palestina.
Endelea ... -
Hotuba za viongozi wa mrengo wa Mapambano ya Kiislamu kuhusu Siku ya Kimataifa ya Quds
Mei 21, 2020 - 5:44 alasiriViongozi wa mrengo wa Mapambanoya Kiislamu katika eneo la Asia Magharibi jana Jumatano na katika kukaribia maadhimisho ya mwaka wa 41 wa Siku ya Kimataifa ya Quds walitoa hotuba muhimu kuhusu siku hiyo na suala zima la Palestina.
Endelea ... -
Siku ya Kimataifa ya Quds, siku ya ushindi wa heshima dhidi ya udhalili
Mei 21, 2020 - 5:42 alasiriMiaka 41 iliyopita, Imam Khomeini, mwasisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran aliitangaza Ijumaa ya mwisho ya mwezi mtukufu wa Ramadhani kuwa ni Siku ya Kimataifa ya Quds.
Endelea ... -
IRGC: Palestina ni kadhia muhimu zaidi katika eneo, jamii ya kimataifa na ulimwengu wa Kiislamu
Mei 21, 2020 - 5:40 alasiriJeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) limetangaza kuwa, kadhia ya Palestina ingali kadhia muhimu zaidi katika eneo, kimataifa na katika ulimwengu wa Kiislamu.
Endelea ... -
Palestina yafuta makubaliano yote iliyofikia na Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel
Mei 20, 2020 - 5:24 alasiriRais Mahmoud Abbas wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina amefuta makubaliano yote yaliyofikiwa kati ya mamlaka hiyo na Marekani na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel.
Endelea ... -
Siku ya Quds, dhihirisho la nguvu ya umma wa Kiislamu katika kuwaunga mkono wanaodhulumiwa duniani
Mei 20, 2020 - 5:12 alasiriBaraza la Wanazuoni Wataalamu Wanaomchagua Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu limetoa taarifa wakati wa kukaribia Siku ya Kimataifa ya Quds na kusisitiza kuwa, siku hii ni uga wa kudhihirisha nguvu ya umma wa Kiislamu katika kuunga mkono wanaodhulumiwa duniani hasa taifa la Palestina sambamba na kutangaza kujibari na mustakbirina.
Endelea ... -
Umoja wa Mataifa: Virusi vya Corona nchini Yemen vitakuwa angamizi
Mei 19, 2020 - 4:18 alasiriMkuu wa Kamisheni Kuu ya Umoja wa Mataifa katika Masuala ya Wakimbizi nchini Yemen ametahadharisha juu ya hali mbaya ya nchi hiyo na taathira zinazotokana na virusi hatari vya Corona.
Endelea ... -
Ofisi ya Sheikh Zakzaky: Israel ni COVID ya mwaka 1948
Mei 16, 2020 - 2:36 alasiriOfisi ya Katibu Mkuu wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria imetoa ujumbe kwa mnasaba wa kumbukumbu ya kuasisiwa utawala pandikizi wa Kizayuni uliopachikwa jina bandia katika ardhi walizoporwa Wapalestina na kusema kuwa, Israel ni "COVID-1948."
Endelea ... -
Muqawama; njia pekee ya kukabiliana na utawala ghasibu wa Kizayuni
Mei 14, 2020 - 2:04 alasiriViongozi wa makundi ya kupigania ukombozi wa Palestina pamoja na wananchi wamesisitiza kuwa njia pekee ya kukabiliana na utawala wa Kizayuni wa Israel ni muqawama au mapambano.
Endelea ... -
HAMAS yatahadharisha kuhusu njama za kuiyahudisha Palestina
Mei 7, 2020 - 3:23 alasiriHarakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imeutaja mpango wa kuunganisha Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan na ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu (Israel) kama njama hatari zaidi ya kuziyahudisha ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu.
Endelea ... -
Harakati za Palestina na Russia wakubaliana kukabiliana na "Muamala wa Karne"
Machi 18, 2020 - 12:09 alasiriHarakati za kupigania ukombozi wa Palestina zimekubaliana na Russia juu ya jinsi ya kukabiliana na mpango uliopendekezwa na Rais Donald Trump wa Marekani kwa ajili eti ya amani Mashariki ya Kati maarufu kwa jina la "Muamala wa Karne".
Endelea ... -
Iran na Hamas zataka nchi za Kiislamu kuchukua msimamo mmoja kukabiliana na Muamala wa Karne
Machi 7, 2020 - 10:52 asubuhiJamhuri ya Kiislamu ya Iran na Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) zimetoa wito kwa nchi za Kiislamu kuchukua msimamo mmoja kwa ajili ya kukabilina na mpango wa kibaguzi wa Marekani wa Muamala wa Karne.
Endelea ... -
HAMAS yatupilia mbali ombi la Marekani la kuweko uhusiano wa kidiplomasia baina yao
Machi 4, 2020 - 10:29 asubuhiMkuu wa Ofisi ya Kisiasa wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu wa Palestina HAMAS ametupilia mbali ombi la Marekani la kutaka Washingto iwe na uhusiano wa kisiasa na harakati hiyo ya Kiislamu.
Endelea ... -
HAMAS: Umoja wa Muqawama wa Palestina utaushinda 'Muamala wa Karne'
Februari 27, 2020 - 9:52 asubuhiMjumbe wa ofisi ya kisiasa ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS ameashiria jibu la wanamapambano wa Palestina dhidi ya mashambulio ya karibuni ya Wazayuni na kusisitiza kuwa: Muqawama utaushinda pia mpango wa Muamala wa Karne.
Endelea ... -
Baraza la Usalama la UN launga mkono suala la kuundwa nchi huru ya Palestina
Februari 26, 2020 - 9:45 asubuhiBaraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limetangaza uungaji mkono wake kamili kwa suala la kuundwa nchi huru ya Palestina na kuendelezwa "mazungumzo yenye itibari" baina ya pande mbili.
Endelea ... -
Mashambulizi mapya ya Israel dhidi ya Wapalestina, matunda ya mwanzo ya "Muamala wa Karne"
Februari 25, 2020 - 11:48 asubuhiIkiwa haujapita mwezi mmoja sasa tangu Rais Donald Trump wa Marekani alipozindua rasmi mpango uliopewa jina la "Muamala wa Karne", utawala wa Kizayuni wa Israel umeanzisha duru mpya ya vita na mashambulizi dhidi ya makundi na harakati za kupigania ukombozi za Palestina.
Endelea ... -
Al Zahar: Jinai za Israel ni matunda ya kuanzishwa uhusiano baina yake na nchi za Kiarabu
Februari 25, 2020 - 11:31 asubuhiMjumbe wa ofisi ya kisiasa ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema, jinai unazofanya utawala ghasibu wa Israel dhidi ya wananchi wa Palestina ni matunda ya hatua ya baadhi ya nchi za Kiarabu ya kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala huo bandia.
Endelea ... -
Papa Francis akosoa mpango wa Trump wa Muamala wa Karne
Februari 24, 2020 - 11:37 asubuhiKiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, kwa njia isiyo ya moja kwa moja amekosoa mpango wa Rais Donald Trump wa Muamala wa Karne ambapo ameonya kuwa, mipango ya namna hiyo inayoegemea upande mmoja haiwezi kuupatia ufumbuzi mgogoro wa Palestina na Israel.
Endelea ... -
Seneti ya Pakistan yapasisha azimio dhidi ya njama ya Trump ya "Muamala wa Karne"
Februari 20, 2020 - 12:06 alasiriBaraza la Seneti la Pakistan limepasisha kwa sauti moja azimio linalopinga mpango wa Rais Donald Trump wa Marekani kuhusu Palestina uliopewa jina la "Muamala wa Karne" likisema kuwa unawataka Wapalestina wasalimu amri kwa utawala wa Kizayuni wa Israel.
Endelea ... -
HAMAS: Takwa la Wapalestina kwa Mamlaka ya Ndani ya Palestina ni kukata kikamilifu uhusiano na Marekani
Februari 18, 2020 - 1:45 alasiriMsemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) amesisitiza kuwa, takwa la taifa la Palestina kwa Mamlaka ya Ndani ya Palestina ni kukata kikamilifu uhusiano wake na serikali ya Marekani.
Endelea ... -
Spika wa Bunge la Iran: Marekani imetengwa ulimwenguni
Februari 18, 2020 - 1:31 alasiriSpika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria siasa za kibeberu za Marekani na kusema kuwa, Washington imekuwa ikitumia ubabe usio wa kimantiki hususan katika kipindi cha utawala wa Rais Donald Trump, sera ambazo zimelifanya dola hilo litengwe ulimwenguni.
Endelea ... -
Zarif: Suluhu ya kadhia ya Palestina ni muqawama na kura ya maamuzi
Februari 18, 2020 - 1:31 alasiriWaziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kusimama kidete katika njia ya muqawama na kuitishwa kura ya maamuzi ili Wapalestina wenyewe waamue mustakabali wao ndilo suluhisho la kadhia ya Palestina.
Endelea ... -
Rouhani: Vikwazo dhidi ya Iran havikuwa na faida kwa maadui
Februari 17, 2020 - 11:53 asubuhiRais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, vikwazo vilivyowekwa dhidi ya taifa la Iran havina faida kwa maadui na kuongeza kuwa: Jamhuri ya Kiislamu imevuka vikwazo vya kiwango cha juu vya Marekani.
Endelea ... -
Serikali ya Misri: Watakaopinga mpango wa Muamala wa Karne watakiona
Februari 16, 2020 - 11:48 asubuhiSerikali ya Misri imetoa onyo kali kwa shakhsia na wanadiplomasia wa nchi hiyo wanaoukosoa mpango wa Muamala wa Karne na kueleza kwamba, watakaoupinga mpango huo watakaiona.
Endelea ... -
Mpango wa Muamala wa Karne, utawala wa Saudia mfuasi bubu na kipofu wa Marekani
Februari 15, 2020 - 12:15 alasiriMsimamo uliotangazwa na maafisa wawili wa ngazi za juu wa utawala wa Saudi Arabia kuhusu Iran na mpango wa Kimarekani uliopewa jina la “Muamala wa Karne” umeonesha tena kwamba, baadhi ya tawala za Kiarabu zinashirikiana na Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel katika utekelezaji wa mpango huo khabithi na katika kufanya mabadiliko kwenye eneo la magharibi mwa Asia.
Endelea ... -
Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran: Muamala wa Karne ni fedheha kwa Trump
Februari 15, 2020 - 11:46 asubuhiKhatibu wa Sala ya Ijumaa iliyosaliwa leo hapa Tehran amesema mpango wa 'Muamala wa Karne' ni fedheha kubwa na kashfa kwa Rais Donald Trump wa Marekani.
Endelea ... -
Hizbullah: Yeyote mwenye kuwa pamoja na Iran na muqawama atapata ushindi
Februari 13, 2020 - 10:47 asubuhiNaibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, tajiriba inaonesha kuwa, yeyote mwenye kuwa pamoja na Iran au muqawama basi ataibuka na ushindi.
Endelea ...