Mamilioni ya wananchi wa Iran wamejitokeza mabarabarani katika miji na vijiji vya nchi hii kushiriki matembezi ya Bahman 22, kwa mnasaba wa kutimia mwaka wa 41 wa Ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu.
Endelea ...-
-
Velayati: Muamala wa Karne ni mpango wa kipumbavu; uwepo wa Marekani huko Syria na Iraq umefikia tamati
Februari 9, 2020 - 1:04 alasiriAli Akbar Velayati, Mshauri wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika masuala ya kimataifa amesema kuwa, Muamala wa Karne ni mpango wa kipumbavu kwani Wamarekkani wamefanya biashara na kitu ambacho siyo miliki yao.
Endelea ... -
Ayatullah Kashani: Mapinduzi ya Kiislamu yamezuia ubeberu wa Marekani na utawala wa Kizayuni
Februari 8, 2020 - 11:43 asubuhiKhatibu wa Swala ya Ijumaa ya leo mjini Tehran amesema kuwa, lau kama si Mapinduzi ya Kiislamu hii leo Marekani na utawala haramu wa Israel zingekuwa zinaidhibiti Iran na ulimwengu wa Kiislamu.
Endelea ... -
Kiongozi Muadhamu: Muamala wa Karne utakufa kabla ya Trump kufa
Februari 6, 2020 - 8:06 asubuhiKiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, mpango wa Marekani uliopachikwa jina la Muamala wa Karne utakufa hata kabla ya Trump mwenyewe kufa na kuongeza kuwa, njia ya kukabiliana na mpango huo ni kusimama kidete na kufanya jihadi kishujaa taifa na makundi ya Palestina pamoja na uungaji mkono wa ulimwengu wa Kiislamu kwa taifa hilo.
Endelea ... -
Mkutano wa siri wa Marekani, UAE na Israel kujadili njama dhidi ya Iran
Februari 5, 2020 - 12:04 alasiriKumefanyika mkutano wa siri kati ya Marekani, utawala wa Kizayuni wa Israel na Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) kwa lengo la kujadili njama dhidi ya Iran.
Endelea ... -
Sisitizo la Iran na Algeria kuhusu msimamo imara dhidi ya 'Muamala wa Karne'
Februari 5, 2020 - 11:52 asubuhiMawaziri wa mambo ya nje wa Iran na Algeria wamesisitiza kuhusu ulazima wa kuchukuliwa msimamo imara pamoja na kuwepo mshikamano wa Ulimwengu wa Kiislamu katika kukabliana na njama ya Kimarekani-Kizayuni iliyopewa jina la 'Muamala wa Karne'.
Endelea ... -
Zarif: Iran inaunga mkono haki za wananchi wa Palestina
Februari 5, 2020 - 11:52 asubuhiWaziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Tehran inaunga mkono haki za wananchi wa Palestina katika kuainisha hatima na mustakabali wao.
Endelea ... -
Shamkhani: Muamala wa Karne ni mwendelezo wa uwepo wa Daesh kwa ajili ya kueneza chuki dhidi ya Uislamu
Februari 5, 2020 - 11:52 asubuhiKatibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran amesema kuwa Muamala wa Karne ni mchezo wa Marekani na utawala haramu wa Kizayuni kwa lengo la kuendelea kuwepo kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) kwa ajili ya kueneza chuki dhidi ya Uislamu.
Endelea ... -
Usama Hamdan: Muamala wa Karne ni sehemu ya njama za Marekani za kuiangamiza Palestina
Februari 4, 2020 - 11:38 asubuhiMjumbe wa ngazi za juu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) amesisitiza kuwa, mpango wa Muamala wa Karne ni sehemu ya njama za Marekani zenye lengo la kuiangamiza kadhia ya Palestina na kuhalalisha uwepo wa utawala vamizi wa Israel katika Asia Magharibi.
Endelea ... -
Iran: Muamala wa Karne ni "amani ya kutwisha na kuziuza ardhi za Palestina"
Februari 4, 2020 - 11:24 asubuhiMsemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, njia pekee ya kuiondoa Palestina katika mkwamo wa miaka 70 ni kurejea katika kura za uma kuhusiana na hatima ya taifa la Palestina na kwamba, Muamala wa Karne ni amani ya kutwisha na kuuza ardhi za Palestina.
Endelea ... -
Iran na Uturuki zahimiza kususiwa kikamilifu "Muamala wa Karne"
Februari 4, 2020 - 11:20 asubuhiMawaziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Uturuki wametilia mkazo msimamo imara wa ulimwengu wa Kiislamu wa kususia kikamilifu mpango wa Kimarekani-Kizayuni uliopachikwa jina la "Muamala wa Karne."
Endelea ... -
Mkuu wa kikosi cha Quds cha IRGC asisitiza kuendelea kuunga mkono ukombozi wa Palestina
Februari 3, 2020 - 10:55 asubuhiKamanda mpya wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran itaendelea kuwaunga mkono Wapalestina na kuhakikisha kuwa ndoto zao za kuwa taifa huru zinafanikiwa.
Endelea ... -
Ali Akbar Velayati: Wazayuni na Wamarekani wataondoka eneo la Asia Magharibi
Februari 1, 2020 - 11:47 asubuhiAkbar Velayati, Mshauri wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika masuala ya kimataifa amesema kuwa Muamala wa Karne ni mpango wa kuziuza na kuzigawa ardhi za Waislamu na kuongeza kuwa, hatua hiyo ya Rais Trump wa Marekani na Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa Utawala Khabithi wa Israel ni mwendelezo wa Vita vya Msalaba.
Endelea ... -
Kiongozi Muadhamu: Muamala wa Karne kamwe hautazaa matunda
Februari 1, 2020 - 11:47 asubuhiKiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema pendekezo la Marekani lililopewa jina la 'Muamala wa Karne' katu halitazaa matunda kwa Rehema za Mwenyezi Mungu.
Endelea ... -
Raia wa Yemen wafanya maandamano makubwa kulaani "Muamala wa Karne"
Februari 1, 2020 - 11:47 asubuhiWananchi wa Yemen wamefanya maandamano makubwa ya kulaani njama mpya za Marekani dhidi ya taifa madhlumu la Palestina na wamelaani vikali mpango wa Donald Trump wa "Muamala wa Karne."
Endelea ... -
Khatibu wa Sala ya Ijumaa: Muamala wa Karne utafeli tu
Februari 1, 2020 - 11:47 asubuhiKhatibu wa Sala ya Ijumaa iliyosaliwa leo hapa mjini Tehran ameilaani Marekani kwa kuanzisha njama mpya dhidi ya Waislamu kwa jina la "Muamala wa Karne" na kusema kuwa, njama hizo zitafeli na kushindwa tu.
Endelea ... -
Rais Rouhani: Muamala wa Karne ni mpango muovu kabisa wa karne
Februari 1, 2020 - 11:47 asubuhiRais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran usiku wa kuamkia leo amesema kuwa, mpango wa Marekani wa Muamala wa Karne ni mpango muovu kabisa wa karne.
Endelea ... -
Rais wa Palestina azitaka nchi za Kiislamu na Kiarabu kususia "Muamala wa Karne" wa Trump
Januari 28, 2020 - 11:01 asubuhiRais wa Serikali ya Mamlaka ya Ndani ya Palestina amezitaka nchi za Kiislamu na Kiarabu kususia uzinduzi wa mpango wa Rais Donald Trump wa Marekani kuhusiana na mgogoro wa Palestina uliopewa jina la "Muamala wa Karne".
Endelea ...