Harakati ya Kiislamu ya Nigeria (IMN) imetoa wito wa kufanyika uchunguzi kuhusu shambulizi lililofanywa na polisi ya nchi hiyo dhidi ya Waislamu waliokuwa katika shughuli ya kidini ya kukumbuka mauaji ya mjukuu wa Mtume Muhammad (saw) katika jimbo la Kaduna.
Endelea ...-
-
Jeshi la Nigeria laua Waislamu wakimuomboleza Imam Hussein AS
Agosti 23, 2020 - 3:10 alasiriWanajeshi wa Nigeria wamewashambulia Waislamu waliokuwa wamekusanyika kwa ajili ya maombolezo ya Muharram ya Imam Hussein AS, katika jimbo la Kaduna.
Endelea ... -
Wafuasi wa Sheikh Zakzaky waandamana Abuja wakitaka kuachiliwa huru kiongozi wao
Agosti 13, 2020 - 5:18 alasiriWafuasi wa Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria wameandamana katika mji mkuu Abuja wakilalamikia kuendelea kushikiliwa kizuizini kiongozi wao pamoja na mkewe.
Endelea ... -
Nigeria yatakiwa kumwachia huru Sheikh Zakzaky wakati huu wa corona
Aprili 12, 2020 - 11:15 alasiriHarakati ya Kiislamu ya Nigeria (IMN) imetoa mwito wa kuachiwa huru kiongozi wake, Sheikh Ibrahim Zakzaky anayekabiliwa na hatari ya kuambukizwa virusi vya corona akiwa kizuzini.
Endelea ... -
Ripoti ya X-Ray: Kuna vipande 43 vya mabaki ya risasi kwenye mwili wa Zakzaky
Desemba 29, 2019 - 11:14 asubuhiHuku tahadhari juu ya hali mbaya ya kiafya ya Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria, Sheikh Ibrahim Zakzaky zikiendelea kutolewa; duru za hospitali zimefichua kuwa, vipande vya mabaki ya risasi vimekwama kwenye mwili wa mwahanarakati huyo wa Kiislamu.
Endelea ... -
Jumuiya ya Kimataifa ya AhlulBayt: Sheikh Zakzaky anapigania umoja wa Waislamu duniani
Desemba 25, 2019 - 11:41 asubuhiKatibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya AhlulBayt amesema kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria (IMN) Sheikh Ibrahim Zakzaky ni shakhsia anayepigania umoja katika ulimwengu wa Kiislamu.
Endelea ... -
Ripoti: Sheikh Zakzaky na mkewe wanakabiliwa na hali mbaya gerezani
Desemba 24, 2019 - 11:27 asubuhiOfisi ya Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria imetangaza kuwa, kiongozi huyo pamoja na mkewe Malama Zeenat wanakabiliwa na hali mbaya katika gereza wanaloshikiliwa.
Endelea ... -
Serikali ya Nigeria yaendeleza njama dhidi ya kiongozi wa Harakati ya Kiislamu nchini humo
Agosti 21, 2019 - 2:23 alasiriAskari usalama wa Nigeria wameendeleza vitimbi na njama zao dhidi ya Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya nchi hiyo (IMN) Sheikh Ibrahim Zakzaky na kumpeleka mahala pasipojulikana.
Endelea ... -
Waislamu waandamana Abuja, Nigeria wakitaka kuachiliwa huru Sheikh Zakzaky
Agosti 21, 2019 - 2:00 alasiriWaislamu katika mji wa Abuja nchini Nigeria wameandamana wakitaka kuachwa huru Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya nchi hiyo.
Endelea ... -
Serikali ya Nigeria inajaribu kumuua Sheikh Zakzaky
Agosti 17, 2019 - 1:00 alasiriHarakati ya Kiislamu nchini Nigeria imetangaza kuwa, serikali ya nchi hiyo inajaribu kumuua kiongozi wa harakati hiyo Sheikh Ibrahim Zakzaky.
Endelea ... -
Ayatullah Araki afanya mazungumzo na Sheikh Ibrahim Zakzaky
Agosti 17, 2019 - 12:55 alasiriKatibu Mkuu wa Jumuiya ya Kukurubisha Pamoja Madhehebu za Kiislamu mapema leo amefanya mazungumzo ya simu na Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria (IMN) Sheikh Ibrahim Zakzaky aliyepelekwa India kwa ajili ya matibabu.
Endelea ... -
Sheikh Zakzaky: Nigeria imeipotosha India kuhusiana na hali yangu ya kiafya
Agosti 17, 2019 - 12:45 alasiriSheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria amesema kuwa, serikali ya Abuja imeipatia India taarifa za uongo kuhusiana na hali yangu ya kiafya hatua ambayo imekwamisha mwenendo wa matibabu yake.
Endelea ... -
Sheikh Zakzaky na mkewe hatimaye waelekea India kupata matibabu
Agosti 13, 2019 - 1:00 alasiriHatimaye Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria leo ameondoka Abuja na kuanza safari ya kuelekea nchini India kwa ajili ya matibabu.
Endelea ... -
Mahakama ya Kaduna Nigeria yatoa hukumu ya kuachiliwa Sheikh Zakzaky kwa ajili ya matibabu
Agosti 6, 2019 - 2:10 alasiriMahakama Kuu ya Kaduna nchini Nigeria leo imetoa hukumu ya kuachiliwa huru Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu yay Nigeria na kuruhusiwa kwenda kutibiwa nje ya nchi.
Endelea ... -
Wanigeria wamiminika mabarabarani kusherehekea kuachiwa huru kwa dhamana Sheikh Zakzaky
Agosti 6, 2019 - 2:09 alasiriWananchi wa Nigeria wamemiminika mabarabarani na kusherehekea kwa nderemo na vifijo kutangazwa hukumu ya kuachiwa huru kwa dhamana kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya nchi hiyo Sheikh Ibrahim Zakzaky ili asafiri kuelekea nje ya nchi kwa ajili ya matibabu.
Endelea ... -
Serikali ya Nigeria yakataa ombi la kuachiliwa huru Sheikh Zakzaky na kuletwa Iran kwa ajili ya matibabu
Agosti 4, 2019 - 1:52 alasiriSerikali ya Nigeria imekataa ombi la Iran la kuachiliwa huru Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria na kisha aletwe hapa nchini kwa ajili ya matibabu.
Endelea ... -
Kupigwa marufuku shughuli za Harakati ya Kiislamu ya Nigeria na taathira zake
Julai 30, 2019 - 2:30 alasiriWakati Waislamu wa Nigeria wakiendeleza jitihada za kuhakikisha kwamba kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya nchi hiyo, Sheikh Ibrahim Zakzaky anaachiwa huru, Rais wa nchi hiyo amepiga marufuku shughuli zote za harakati hiyo.
Endelea ... -
Kesi ya Sheikh Zakzaky yaakhirishwa hadi Agosti 5, mawakili wataka aachiwe huru kwa ajili ya matibabu
Julai 30, 2019 - 2:29 alasiriMahakama ya Nigeria leo imeakhirisha kikao cha kusikiliza kesi iliyowasilishwa kwa ajili ya kumwachia huru kwa dhamana kiongozi wa Harakati ya Kiislamu nchini humo IMN, Sheikh Ibrahim Zakzaky ambaye wafuasi wake wasiopungua 20 waliuawa juma lililopita wakiandamana kwa amani ili kuishinikiza serikali imwachie huru.
Endelea ... -
Jeshi la Nigeria lawafyatulia risasi hai waandamanaji wanaotaka kuachiwa Sheikh Zakzaky
Mei 19, 2019 - 12:51 alasiriWatu kadhaa wamejeruhiwa baada ya jeshi la Nigeria kuwafyatulia risasi hai waandamanaji wanaotaka kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya nchi hiyo Sheikh Ibrahim Zakzaky aachiliwe huru.
Endelea ... -
Habari picha/ Zakizakiy gerezani wafuasi wake barabarani/ maandamano ya siku ya Quds mjini Sokoto na Kaduna nchini Nigeria
Julai 2, 2016 - 3:07 asubuhiShirika la habari AhlulBayt (a.s) ABNA: pamoja ya kuwa majeshi ya Nigeria kufanya juhudi kubwa za kuweka vikwazo vya kutofanyika maandamano ya siku ya Quds nchini humo, ama wananchi wa nchi hiyo wamejitokeza kwa wingi katika mikoa kadhaa wakishiriki kuadhimisha siku ya Quds nchini humo ikiwemo mji wa Zaria, Sokoto, Kaduna nk, ambapo picha za habari hii ni yale maandamano yaliofanyika katika mji wa Kaduna na Sokoto, huku ripoti zikiashiria kufika mwisho kwa maandamano hayo kwa salama na amani, ambapo katika maandamano yaliofanyika katika mji Sokoto imeripotiwa kushiriki kwa naibu wa Sheikh Ibrahim Zakizaky pamoja na wananchi wa mji huo.
Endelea ... -
Sheikh Zakizakiy anapaswa kuachwa huru ndani ya masaa 24 yajayo
Aprili 7, 2016 - 7:20 alasiriWakili mmoja wa Kinigeria ambaye aliruhusiwa kumuona na (Sheikh Zakizakiy) ameitaka serikali ya Nigeria kumwacha huru kiongozi huyo wa kikundi cha harakati ya Kiislamu ndani ya muda wa masaa 24 yajayo bila ya masharti yoyote.
Endelea ... -
Wamarekani wafanya Maandamano ya kupinga mauaji yaliyofanywa na jeshi la Nigeria dhidi ya Mashia
Desemba 20, 2015 - 11:53 alasiriHizi ni picha za wakazi wa mji wa Newyork Marekani wakipinga mauaji na dhuluma iliyofanywa na majeshi ya Nigeria dhidi ya waislamu wa dhehebu la Shia. ambapo jeshi hilo lilivamia waumini hao na kuua mamia ya waislamu hao wasio na hatia.
Endelea ... -
Wananchi wa Kashmir waandamana kupinga mauaji ya Nigeria dhidi ya waislamu wa dhehebu la Shia
Desemba 19, 2015 - 7:40 alasiriPicha za wananchi wa Kashimir wa Pakistan wakipinga mauji yaliyofanywa na jeshi la Nigeria dhidi ya waislamu wa dhehebu la Shia. ambapo jeshi hilo lilivamia nyumba ya kiongozi mkuu wa mashia wa Nigeria sheikh Zakizaki na kuwamwagia risasi kwa kila waliyemuona mbele yao.
Endelea ... -
Mfalme wa Saudi Arabia: mauaji ya mashia wa Nigeria ni katika kutokomeza ugaidi
Desemba 18, 2015 - 11:42 alasiriMfalme Salmani amefanya mazungumzo ya simu na Rais wa jamhuri ya Nigeria (Muhammad Buariy) na kuyataja mauaji ya kikatili ya mamia ya mashia Wanigeria kuwa ni katika mpango wa kupambana na kutokomeza Ugaidi
Endelea ... -
Picha za wanafunzi wa Chuo kikuu cha kimataifa cha Iran wakipinga mauji yaliyofanywa na jeshi la Nigeria dhidi ya waislamu wa dh
Desemba 16, 2015 - 10:16 alasiriHizi ni Picha za wanafunzi wa Chuo kikuu cha kimataifa cha Iran wakipinga mauji yaliyofanywa na jeshi la Nigeria dhidi ya waislamu wa dhehebu la Shia. ambapo jeshi hilo lilivamia nyumba ya kiongozi mkuu wa mashia wa Nigeria sheikh Zakizaki na kuwamwagia risasi kwa kila waliyemuona mbele yao.
Endelea ... -
video ya matukio ya mauaji yaliyofanywa na jeshi la Nigeria dhidi ya waislamu wa dhehebu la Shia
Desemba 16, 2015 - 6:00 alasiriJeshi la Nigeria limevamia waislamu wa dhehebu la Shia na kuuawa mamia ya waumini hao ambao hawakuwa na silaha.
Endelea ... -
Waislamu wa Nigeria wafanya maandamano kupinga kukamatwa kiongozi wa Mashia
Desemba 16, 2015 - 5:52 alasiriJeshi la Nigeria limevamia makazi ya kiongozi wa Mashia na kuua mamia ya watu katika mji wa Kaduna, na kisha kumkamata kiongozi wa Mashia Sheikh Zakzaki. jeshi hilo mpaka sasa limeshindwa kutoa maelezo ya kutosha ya sababu ya kufanya mauaji hayo kwa watu wasio na silaha.
Endelea ... -
Wananchi wa Iran wakiandamana kwa harisa kupinga mauaji yalifanywa na jeshi la Nigeria dhidi ya waislamu wasio na hatia
Desemba 16, 2015 - 5:45 alasiriWairan wa mji wa Tehran wameandamana kupinga mauaji ya kinyama yaliyofanywa na jeshi la Nigeria dhidi ya waislamu wa dhehebu la Shia, ambao hawana hatia ya Ugaidi wala si kitisho cha serikali bali wao ni miongoni mwa vikundi vinavyowindwa na kundi la Bokoharam. Jeshi la Nigeria badala ya kuwalinda waumini hawa, limechukua jukumu la kuwasaidia Bokoharam kuwaua waumini hawa madhulumu. Jeshi la Nigeria limevamia makazi ya kiongozi wa Mashia na kuua mamia ya watu katika mji wa Kaduna
Endelea ... -
Picha za wananchi wa Iran wakiandamana mbele ya ubalozi wa Nigeria kupinga mauaji yalifanywa na jeshi la Nigeria dhidi ya Mashia
Desemba 16, 2015 - 5:42 alasiriWairan wa mji wa Mash-had wameandamana mbele ya ubalozi wa Nigeria kupinga mauaji ya kinyama yaliyofanywa na jeshi la Nigeria dhidi ya waislamu wa dhehebu la Shia, ambao hawana hatia ya Ugaidi wala si kitisho cha serikali bali wao ni miongoni mwa vikundi vinavyowindwa na kundi la Bokoharam. Jeshi la Nigeria badala ya kuwalinda waumini hawa, limechukua jukumu la kuwasaidia Bokoharam kuwaua waumini hawa madhulumu.
Endelea ... -
Picha za wanazuoni wa chuo kikuu cha Imam Swadiq wakiandamana mbele ya ubalozi wa Nigeria kupinga mauaji yalifanywa na jeshi la
Desemba 16, 2015 - 5:37 alasiriJeshi la Nigeria limevamia makazi ya kiongozi wa Mashia na kuua mamia ya watu katika mji wa Kaduna
Endelea ...