source : ABNA
Ijumaa
24 Januari 2020
19:22:12
1005085
Habari MuhimuPichaAsiaSehemu maalumu ya mashujaa Makamanda wa Kislamu Haji Qassim Soleimani Na Abumahdi Almuhandisi
habari za picha
Mamilioni ya wananchi wa Iraq wajitokeza dhidi ya Marekani-3
Shirika la habari AhlulBayt (a.s) ABNA: mamilioni ya wananchi wa Iraq waandamana kupinga kuwepo kwa majeshi ya Marekani nchini humo maandamano ambayo yameitishwa na kiongozi wa kikundi cha Sadr ambaye ni Muqtada Sadr na kufanya leo siku ya Ijumaa nchini humo.