Main Title

source : Abna
Jumatatu

27 Januari 2020

11:45:12
1005926

Picha: Sherehe maalumu za kuadhimisha kifo cha Qasem Suleimani nchini Syria

Sherehe maalumu kabisa za kuadhimisha na kukumbuka kifo cha aliyekuwa kiongozi wa Jeshi la Quds nchini Iran zimefanyika nchini Syria.

Shirika la habari la Ahlubayt (as):

Sherehe maalumu kabisa za kuadhimisha na kukumbuka kifo cha aliyekuwa kiongozi wa Jeshi la Quds nchini Iran zimefanyika nchini Syria.

Katika sherehe hizo kulishuhudiwa uwepo wa mwakilishi rasmi wa kiongozi mkuu wa mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran, viongozi wakuu wa makabila na baadhi ya viongozi wakubwa kutokea nchini Iran na Syria.