Main Title

source : ABNA
Jumanne

17 Machi 2020

07:54:20
1018214

Picha: Ushindi wa wananchi wa Yemen dhidi ya vita

Pamoja na kuwa katika vita kali zenye kuandaliwa dhidi yao, wananchi madhulumu wa Yemen bado wana kila njia ya kukabiliana na hatimaye kushinda kila aina ya vita hizo.

Shirika la habari la Ahlubayt (as)ABNA:

Pamoja na kuwa katika vita kali zenye kuandaliwa dhidi yao, wananchi madhulumu wa Yemen bado wana kila  njia ya kukabiliana na hatimaye kushinda kila aina ya vita hizo.

Vita za uchumi, matatizo ya wao kwa wao ambazo kwa pamoja zimekuwa zikielekezwa kwao tena kutokea nchini za Kiarabu, kwa kushikamana na Dini sahihi, kusimamia utaifa bila shaka zinaweza kumalizika.