Main Title

source : Parstoday
Jumanne

10 Januari 2023

15:38:39
1337454

Imarati yajikomba zaidi kwa Israel, shule za nchi hiyo kufunza 'Holocaust'

Umoja wa Falme za Kiarabu unaendelea kujidhalilisha na kujipendekeza kwa utawala haramu wa Israel, na sasa shule za nchi hiyo zinazatamiwa kuanza kufundisha 'ngano ya Holocaust' yaani mauaji ya halaiki ya Wayahudi yanayodaiwa kufanywa na utawala wa Kinazi wa Ujerumani chini ya uongozi wa Adolf Hitler.

Hayo yalitangazwa jana Jumatatu na ubalozi wa Imarati nchini Marekani na kueleza kuwa, shule za msingi na sekondari za Umoja wa Falme za Kiarabu karibuni zitaanza kufunza 'Holocaust' katika somo la Historia.

Hata hivyo ubalozi huo haujatoa maelezo ya kina kuhusu uamuzi huo lakini umesisitiza katika ujumbe wa Twitter kuwa: Kufuatia makubaliano ya kihistoria ya Abraham, (UAE) sasa itajumuisha Holocaust katika mitaala ya shule za msingi na upili.

Wazayuni na Wamarekani wamepongeza tangazo hilo la Imarati, ambalo weledi wa mambo wamelitaja kuwa ni kuendelea kuhudumia maslahi ya utawala pandikizi unaoua watoto wa Kipalestina. Tangazo hilo la UAE limekosolewa vikali na aghalabu ya wananchi wa Imarati na nchi nyingine za Kiarabu katika mitandao ya kijamii.

Utawala wa Kizayuni wa Israel kwa muda mrefu sasa umekuwa ukieneza propaganda kwamba chama cha Kinazi cha Ujerumani kiliua kwa umati karibu Mayahudi milioni sita katika Vita vya Pili vya Dunia, ngano ambayo hadi hivi sasa wameshindwa kuthibitisha ukweli wake.

Pamoja na hayo, ni kosa la jinai hata kutilia shaka tu ngano hiyo ya Wazayuni, katika nchi za Magharibi. Mapema mwaka jana, Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa likiungwa mkono na utawala wa Kizayuni na Ujerumani, lilipitisha azimio la kupiga marufuku ukanushaji wa Holocaust au kinachodaiwa kuwa ni mauaji ya Wayahudi katika Vita vya Pili vya Dunia.

Imarati imechukua hatua ya kujikurubisha zaidi kwa Wazayuni katika hali ambayo, wananchi wa UAE na mataifa mengine ya Kiarabu na Kiislamu wameendelea kupinga vikali hatua yoyote ya kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala ghasibu wa Israel hasa kutokana na kuwa, hatua hiyo haina maslahi kwa wananchi wa Palestina na malengo yao ya kujikomboa na kujiamulia mustakabali wao.

342/