Main Title

source : ABNA
Jumanne

9 Julai 2024

09:28:57
1470686

Ripoti katika picha | Waendesha Baiskeli wa Japan waunga mkono watu wanaodhulumiwa wa Gaza

Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Ahlul-Bayt (a.s) - ABNA - watu wa Japan walifika katika Barabara za Tokyo kwa Baiskeli kwa lengo la kuwaunga mkono watu wanaodhulumiwa wa Gaza, ambapo waliandamana (wakiendesha Baiskeli zao ili) kupinga na kulaani mashambulizi yanayoendelea ya jeshi la Kizayuni dhidi ya Wananchi wa Palestina.