Main Title

source : ABNA
Jumatano

10 Julai 2024

06:08:14
1470920

Ripoti katika picha | Kuanzishwa kwa Majalis za Sayyid al-Shuhadaa (a.s) katika Mada'risi (Shule) na vituo vya Hujjatul ​​Asr (a.s) - Tanzania

Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Ahlul_bayt (a.s) - ABNA - katika Muharram ya mwaka huu, kama ilivyokuwa miaka ya nyuma, Taasisi ya Hujjat -ul- Asr (atfs) ya Tanzania imeandaa majalis ya maombolezo ya Imam Hussein (a.s) katika Shule na vituo vyake mbalimbali.