Main Title

source : ABNA
Alhamisi

11 Julai 2024

08:33:57
1471194

Ripoti katika picha | Marasimu ya Maombolezo ya Mashia wa Australia katika Mwezi wa Muharram huko "Melbourne"

Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Ahlul-Bayt (a.s) - ABNA - Marasimu (Majlis) ya Maombolezo ya Usiku wa tatu wa Muharram ilifanyika kwa mahudhurio makubwa ya Wafuasi wa Madhehebu ya Ahlul-Bayt (a.s) katika Kituo cha Kiislamu cha (Taha) katika eneo la "Dandenong" ndani ya Jiji la "Melbourne", Australia.