source : Abna
Jumapili
14 Julai 2024
10:28:25
1471938
Kwa mujibu wa Shirika la Habari la ABNA, wakati huo wa mwanzo wa Mwezi wa Muharram, vipindi (au ratiba za majlisi) mbalimbali hufanyika katika Mikoa tofauti ya Tanzania ili kumtambulisha Imam Hussein (a.s) na mapinduzi yake.