source : Abna
Jumatano
17 Julai 2024
21:38:50
1472750
Kambi ya ugawaji wa maji iliyofanyika mkoa wa pwani (Tanzania) + video
Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Ahlul-Bayt (a.s) -ABNA, vijana wa "Falah Islamic Development" nchini Tanzania, wakiwa katika usambazaji wa maji baina ya wapita njia, waliwafahamisha juu ya mafundisho ya Karbala.