source : Abna
Jumamosi
20 Julai 2024
08:23:35
1473178
Maombolezo ya Muharram yalivyofanyika katika mji mkuu wa Kenya, Nairobi
kwa mujibu wa shirika la habari la Ahlul Bayt (a.s) - Abna - katika mji mkuu wa Kenya, Nairobi, Mashia kama ilivyokuwa miaka ya nyuma walikusanyika katika vikao vya maombolezo ya Muharram.