source : Abna
Jumamosi
20 Julai 2024
12:14:45
1473215
Matembezi ya Amani yaliofanyika kwa ushirikiano wa Taasisi tatu (Tanzania) + Picha na video
Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Ahlul_Bayt (a.s) - ABNA - Matembezi ya Amani yamefanyika nchini Tanzania kwa ushirikiano wa Taasisi za: "Bilal Muslim Mission, "Hojjatul Asr Society of Tanzania" na "Ahlul_Bait Centre" katika kuadhimisha tukio la Karbala.