source : Abna
Jumapili
21 Julai 2024
18:13:53
1473589
Sheikh Dr. Alhadi Mussa Salum: Maadui wa Kiislamu siku zote wangependa kuona Mashia na Masunni wakibughudhiana na kuuana + video
Kwa mujibu wa ripoti ya Shirika la Habari la Ahlul-Bayt (a.s) – ABNA – mwenyekiti JMAT Taifa Sheikh Dr. Alhadi Mussa Salum katika hotuba yake siku ya Ashura alisema: Mtume (s.a.w.w) alitufundisha Waislamu wote Masunni na Mashia juu ya kuwapenda Ahlul_Bayt wake (a.s), na yeyote asiyekuwa na mahaba ya kuwapenda watu wa Nyumba ya Mtume (s.a.w.w), huyo sio Muislamu.