source : Abna
Jumatatu
12 Agosti 2024
10:53:23
1478090
Ripoti pichani| Washiriki katika Ziara ya Arbaeen wakikutana na Sheikh Zakzaky Mjini Abuja
Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Ahlul_Bayt (a.s) - ABNA - Kundi la washiriki wa Ziara ya Arbaeen wamekutana na Sheikh Ibrahim Zakzaky katika makazi yake huko Abuja.