• Kufundisha Maarifa ya Kiislamu. katika vituo tofauti.
• Kuendesha programu za kitamaduni.
• Malezi kwa Wanafunzi.
Wale wanaopenda kueneza maarifa ya Kiislamu; wanaweza kuwasiliana nasi kupitia namba ifuatayo ya mawasiliano ili kusaidia taasisi hii.
+255787103888
Syed Aref Ali Naqvi