source : Abna
Jumanne
27 Agosti 2024
19:44:40
1481159
Video | Maandamano ya Arbaeen katika makazi makubwa zaidi ya watu weusi nchini Afrika Kusini
Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Ahlul_Bayt (a.s) - ABNA - Mamia ya Mashia na Waislamu kutoka Mji wa Soto nchini Afrika Kusini walisapoti na kuunga mkono Karbala ya Gaza wakiwa na mabango yao wakati wa kuadhimisha kukumbuka ya Arbaeen ya Imam Hussein (a.s).