"Imam Hussein (amani iwe juu yake) ni shakhsia wa Ulimwengu mzima na wala si wa Umma wa Kiislamu pekee. Alipigana dhidi ya udhalimu. Watu wengi Ulimwenguni humfuata Imam Hussein (a.s) katika kupigania kuisimamisha Haki Ulimwenguni".
source : Abna
Jumanne
27 Agosti 2024
20:00:08
1481187
Video | Mazuwwari wa Kiafrika: Imam Hussein (a.s) ni (Shakhsia) mtu wa Ulimwengu mzima, na wala si wa Umma wa Kiislamu pekee
Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Ahlul-Bayt (a.s) - ABNA - Mmoja wa Mazuwwari wa Kiafrika walioshiriki katika maandamano ya Arbaeen ya Hussain alisema: "Nina furaha sana kwamba niko njiani katika msafara wa kutoka Najaf kwenda Karbala ili kumzuru na kumtembelea Imam Hussein (amani iwe juu yake)".