Main Title

source : Abna
Jumatano

28 Agosti 2024

16:52:15
1481358

Ripoti pichani | Maombolezo ya Arbaeen ya Husseini huko Abidjan, Ivory Coast

Kwa mujibu wa ripoti ya Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul_Bayt (a.s) - ABNA - Hafla ya maombolezo ya Arbaeen ya Hussein ilifanyika katika "Kituo cha Al-Ghadir" katika Mji wa "Abidjan" nchini Ivory Coast kwa kuhudhuriwa na Wafuasi na Wapenzi wengi wa Ahlul-Bayt (a.s).