source : Abna
Jumatano
4 Septemba 2024
04:38:07
1482800
Habari Pichani | Marasimu ya Maombolezo tarehe 28 Safar katika Husseinia ya Kituo cha Parachenar, Pakistan
Kwa mujibu wa ripoti ya Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul_Bayt (a.s) - ABNA - Hafla ya Maombolezo ya Kifo cha Mtume Muhammad (s.a.w.w) ilifanyika "Husseiniyeh Central" huko Parachenar, Pakistan, kwa kuhudhuriwa na Wafuasi wa Ahlul_Bayt (a.s).