Main Title

source : Abna
Jumatano

4 Septemba 2024

04:49:58
1482805

Ongezeko la utapiamlo miongoni mwa Watoto huko Bamiyan, Afghanistan

Kulingana na ripoti ya Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul_Bayt (a.s) - ABNA - Maafisa wa afya wa jimbo la Bamyan nchini Afghanistan, ambalo lina wakazi wengi wa Shia Ithna Ashari, waliripoti kuongezeka kwa utapiamlo miongoni mwa Watoto katika jimbo hili katika miezi ya hivi karibuni. Madaktari katika Hospitali ya Jimbo la Bamyan walisema kuwa katika kipindi cha miezi mitatu iliyopita, zaidi ya watoto 160 walio na utapiamlo mkali wamelazwa katika Hospitali hii, na watatu kati yao wamefariki.