Main Title

source : Abna
Jumatano

4 Septemba 2024

21:11:23
1482978

Ripoti pichani | Maombolezo ya Kifo cha Imam Ridha (a.s) katika Kaburi la Hadhrat Masoumeh (a.s)

Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Ahlul-Bayt (a.s) - ABNA - Sambamba na tarehe 30 ya Mwezi wa Safar na kuuawa Kishahidi kwa Hadhrat Ali bin Musa al-Ridha (a.s), vikundi kadhaa vya Maombolezo vilielekea kwenye Haram Tukufu ya Hadhrat Fatima Masoumeh (s.a) na kumpa pole Bibi huyo mpendwa juu ya Kifo cha Kishahidi cha Kaka yake Mtukufu Ali bin Mussa Al_Ridha(a.s).