source : Abna
Jumamosi
7 Septemba 2024
15:43:27
1483482
Video | Maandamano ya mamilioni ya watu wa Yemen katika kuunga mkono na kuihami Gaza
Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Ahlul-Bayt (a.s) - ABNA - Jimbo la Sana'a nchini Yemen litashuhudia maandamano makubwa ya kuiunga mkono Palestina. Huku wakiwa wamebeba Bendera za Yemen na Palestina, waandamanaji hao wa Yemen walitoa wito wa kususiwa bidhaa za utawala wa Marekani na Kizayuni, na wakasisitiza tena juu ya kuiunga mkono Gaza na kushikamana na masuala ya Umma wa Kiislamu na kuunga mkono Matukufu yake.