source : Abna
Jumamosi
7 Septemba 2024
15:46:51
1483488
Video na Picha | Maonyesho ya Uchoraji ya Muharram "Maombolezo ya Brashi ya Uchoraji" kupitia juhudi za Wahamiaji wa Afghanistan huko Mash'had - Iran
Kwa mujibu wa ripoti ya Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (a.s) - ABNA - Sambamba na Siku za mwisho za Mwezi wa Safar, yamefanyika maonyesho ya uchoraji ya Muharram yenye jina la "Maombolezo ya Brashi ya Uchoraji" kupitia wasanii wahamiaji wa Afghanistan wanaoishi huko Mash'had katika 'Nyumba ya Sanaa ya Wahamiaji' (Khaneh Honar Mohajerin) huko Razavi Khorasan (Mash'had).